Jamani naomba sana kwa wale ambao hamtaki maandamano msitutukane sisi ambao tunataka kuandamana kwa ajili ya haki na uhuru wetu.
Ninyi mmeshasema mtatuua sasa mtuache basi tuendelee na kupanga maandamano yetu.
Napendekeza pasiwepo na huruma, aibu wala kumuonea haya yeyote yule atakae thubutu au kujitia kimbelembele kujaribu kuvuruga amani au kutatiza shughuli za uzalishaji za waTanzania kote nchini.
Natoa wito kwa wanausalama mahiri kote nchini, kutomchekea muandamanaji haramu yeyote yule kote...
Join #MariaXSpaces 📍 🇹🇿
Leo #MariaSpaces tunajadili: 7/7 Maandamano nchi nzima - tupo tayari au maneno tu?
Maandamano yametangazwa na madai ni #FreeTunduLissu #Haki za #MO29, #KatibaMpya #SamiaMustGo
Na hadi polisi wameanza kuandamana! Je tuko tayari kwa vitendo au maneno tu? Leo saa 2 uck...
Mgeni njoo mwenyeji aponeeeee!
Tetesi za maandamano tarehe 07/07/2026, wasio vaa uniform wamejaa hapa ninapo gonga nyagi wanasikilizia nyuzi,kidume nipo jamii forum nabonga na Wana uku nachati na Malaya.
Hii nchi pesa zinachezewa green GUD wanakunywa fedha za UMMA maana hapa sioni mjanja...
Chizi anachekesha kama hatokei kwenu.
Salaam jamiiforum, hope ni wazima na hata wale wagonjwa pole mtapata nafuu.
Kwanza niseme tu Mimi si muumini wa kupost habari za siasa,ila ni mfuatiliaji mzuri wa habari za siasa na nipo karibu mno.
Kunako social networks na sources kibao naona...
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimesikitishwa na kile kilichokiita ni mipango ya siri inayoratibiwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) yenye lengo la kuhamasisha vurugu nchini kupitia maandamano.
Kauli hiyo imetolewa leo Juni 13, 2026, Jijini Dodoma na Katibu wa Itikadi, Uenezi na...
Hamjambo Wote!
Wazazi wengi waliwatia uoga vijana wao. Simu zilikuwa zikiita kwa vijana zikiwaonya wasitoke. Wabaki ndani.
Makundi sogozu ya kindugu yalikuwa na hofu. Hakuna kujadili mambo ya kisiasa. Huku msisitizo mkuu ukiwa vijana wasitoke ndani siku hiyo. Vijana wabaki ndani.
Nakumbuka...
Ukienda kununua mafuta hauoneshi kadi ya CCM wala hausemi, Samia mitano tena. Badala yake unatakiwa ulipe kulingana na EWURA walivosema au zaidi.
Angalia mwenendo wa bei Dar:
Petroli: Feb TZS 2,788 → Mei TZS 4,115
Dizeli: Feb TZS 2,701 → Mei TZS 4,248
Ndani ya miezi mitatu petroli imepanda...
Wakati serikali ya Kenya ikiwafidia Gen Z, serikali ya Tanzania inaandaa mashtaka kwa Gen Z wa Tanzania walioshiriki maandamano ya Oktoba 29.
Hii ndiyo tofati ya serikali zinazojali maisha ya uhai wake.
========================
Serikali ya Kenya imetenga shilingi bilioni mbili za Kenya kama...
Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati na Petroli nchini Kenya (EPRA) imetangaza marekebisho mapya ya bei za mafuta, Katika mapitio hayo, bei ya dizeli imepunguzwa kwa Sh10.06 kwa lita, huku mafuta ya taa yakiongezeka kwa Sh38.60 kwa lita, wakati bei ya Super Petrol ikibaki bila mabadiliko. Mabadiliko...
Watu 4 wafariki dunia kufutia maandamano ya kupinga bei ya mafuta yaliyofanyika jana May 18, 2026, huku mgomo wa magari(matatu) ukiendelea kwa siku ya pili licha ya Diseli kushushwa kwa Tsh. 202.51 (KSH 10.06) na kuwa Tsh. 4687.47 (KSH 323.86) huku Petrol ikiendelea kuwa Tsh. 4312.85 (KSH...
Mamlaka ya Kudhibiti Nishati na Petroli nchini Kenya (EPRA) imetangaza kupunguza bei ya dizeli kwa Shilingi za Kenya 10.06 kwa lita baada ya shinikizo kutoka kwa waendeshaji wa sekta ya usafiri waliopinga ongezeko kubwa la bei ya mafuta.
Katika mapitio mapya yaliyotangazwa Jumatatu jioni, bei...
Bar, pub, hadi vioski vya pombe za kupima zilifungwa
bangi na mirungi viliadimika sana
maduka na vibanda vya sigara vilifungwa
Ofisi za betting pamoja na internet ilizimwa
Maandamano ya kitaifa ya kupinga kupanda kwa bei ya mafuta yamegeuka kuwa vurugu na kusababisha vifo Jumatatu, Mei 18, baada ya makabiliano makali kati ya polisi na waandamanaji katika maeneo mbalimbali nchini Kenya.
Huko Kakamega, watu wawili waliripotiwa kupigwa risasi na kufariki, huku...
Thousands of Kenyans were left stranded on Monday after a nationwide transport strike paralysed movement across major towns and cities, with public service vehicles (PSVs), boda bodas, taxis, and cargo transporters suspending operations in protest against soaring fuel prices.
The strike, which...
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo ambaye pia ni Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, akizungumza katika mahojiano na Bongo FM Mei 15, 2026, Msigwa alifafanua kuwa namna wananchi wanavyotii sheria ni kipimo cha wazi cha kuridhishwa na uongozi na mwelekeo wa nchi.
Yaani kuandamana kwa amani kushinikiza mtu asiye na kosa aachiwe ni kosa?
Dunian nzima ilipinga kufungwa kwa Nelson Mandela. Na maandamano yalikuwa yakifanyika hata hapa Tanzania.
Leo kusema tu tutaandamana kwa amani kushinikiza Lissu aachiwe imekuwa ni kosa?
Maandamano hayo ya amani ya kitaifa, yazilaani AZAKI na vyama vya siasa ambavyo kwa makusudi kabisa, vilishiriki kuhamasisha na kuchochea fujo na maafa yaliyotokea Oct.29.2025.
Lakini pia maandamano hayo ya kitaifa yatoe wito kwa mamlaka za serikali kuzifuta mara moja AZAKI zote ovu nchini, na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.