Katambi anataka mkimbilie MAHAKAMA, Ku buy time ya Kupooza Maandamano.
Sasa basi, kwakua DUNIANI kote Hali ni chafu ,kumechafuka.
Zuio la Katambi Leo ni kutusogeza mbele, katipa Back Up ya maana !!.
Heche wewe ni Lissu mdogo, shikilia hapo hapo.
Sasa Dunia inajua Wamekua watu Oktoba 29...
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika, leo Juni 20, 2026, ameweka msimamo mkali mkoani Ruvuma na kukitenga chama hicho na vuguvugu la maandamano yanayodaiwa kupangwa na wananchi mitaani ifikapo Julai 7 (Saba Saba), akisisitiza kuwa chama chake hakijapanga ratiba...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amesema kuwa serikali haitasita kuchukua hatua kali za kisheria dhidi ya mtu yeyote atakayeshiriki au kuhamasisha maandamano yaliyopangwa kufanyika Julai 7. Kauli hiyo ameitoa katika kipindi hiki ambapo maandalizi ya Maonesho ya Biashara ya...
Katika siku za hivi karibuni, kumekuwa na usambazaji wa video mbalimbali mitandaoni za kuhadaa vijana ili waingie kwenye vurugu zinazopachikwa jina la maandamano ya Julai 7.
Miongoni mwa Video hizo ni za matukio ya zamani ikiwemo ya maandamano ambayo yaliruhusiwa kisheria na kupewa ulinzi na...
Wanaharakati na Vongozi wa upinzani nchini Kenya washiriki kumbukumbu ya Maandamano ya Gen Z Jijini Nairobi. Miongoni mwao ni kiongozi wa chama cha PLP Martha Karua, Jaji Mkuu Mstaafu David Maraga, kiongozi wa DAP-K Eugene Wamalwa, kiongozi wa Wiper Kalonzo Musyoka, pamoja na wanaharakati...
Sheikh Mwaipopo, Tanzania ni Kubwa kuliko CCM, kuliko Samia na Genge lake !!.
Sheikh Mwaipopo, Mungu kanipa Maono, ilikuwa usubiriwe Usimame mbele Kuta za MAHAKAMA ujibu Tuhuma za Harakari zako za Kigaidi.
Sasa Mungu amenena nami, kama alivyonena na Manabii wake juu ya Wafalame waovu, UNAFUATA...
Maandamano sio njia sahihi ya kuleta mabadiliko kwa sababu utasababisha umwagaji damu jambo ambalo ni mtaji kwa hao watu. Mfano maandamano yaliyopita hajakuleta mabadiliko bali wadhalimu wanaendelea na udhalimu wao kama mnavyoona.
Umwagaji damu kwa hao watawala dhalimu ni mtaji yani ni utoaji...
Daa hii nchi sijui kama itatulia, serikali inazidi kukaza kichwa.
Nimeongea na mtu wa Tourism sector Arusha, alikuwa analia kilio Cha kusaga meno. Wageni wengi kutoka ubeberuni walikuwa wamefanya booking za kuja Tanzania, ila kutokana na hofu ya maandamano ya July 07, wame-cancel safari zao...
Interior Cabinet Secretary Kipchumba Murkomen has warned that the government will take firm action against individuals who use the planned June 25 demonstrations to engage in violence, looting, or destruction of property.
Speaking ahead of the protests, Murkomen reaffirmed that Kenyans have a...
Kuna Kila jitihada zina fanyika kuyafanya maandamano yaliyotangazwa na wanaharakati yaonekani ni ya wakristo kuipinga serikali inayoongozwa na muislamu.
Mimi siungi mkono maandamano hayo, kwasababu maandamano lazima yafuate taratibu na ajenda inayoeleweka hasa katika kipindi hiki Taifa likiwa...
Kinachoendelea sasa ni kufuja pesa kwa kila mtu na kukusanya watu wakila aina wakijifanya wanakemea maandamano.
Usijeshangaa kutaibuka kila umoja sijui wa wapi,umoja wa nini,mpaka umoja waokota makopo.
Mfano ni huu na nani anawatuma.
Nianze kwa Istilahi hii ngeni.
Mamlaka ya Kiraia.
istilahi hii inapaswa kuwa ndio mwelekeo wa Watz wanaporefer maana ya Serikali.
kwani kunekuwa na upotofu kuwa Serikali ni Watendaji wa Serikali. Hapana. Serikali ni sisi raia tunsotengeza mamlaka ktk nchi za kidemokrasia.
Maana hii...
Habari za Sabato!
Harakati na siasa ni kama mchezo wa Draft au wale wakulungwa wanacheza Chess games.
Mtu yeyote anayejua kucheza Draft kikamilifu basi harakati na siasa hazitamsumbua.
Kwenye Chess au Draft watu wengi huziona Kete.
Lakini sisi wabobevu hatuishui kuziona Kete kama kete.
Bali...
Mange Kimambi amelaumu CHADEMA kuwa ni waoga na kwa kuwa haihusiki Moja kwa Moja na maandamano ya 7/7 wiki 2 au 3 toka sasa yanayohamasishwa kwa kasi sana kupitia social medias mbalimbali...
Mange Kimambi yuko sahihi na ana haki kuwa na wasiwasi huu kwa kuwa anaijua na kuielewa vyema nguvu ya...
Wameondoka kwenye ajenda ya maandamano sasa wanaamasisha kuleta Vurugu, kuchoma Shule, kushambulia wananchi, Kukata watu Vichwa na kuua baadhi ya watu, na kuvamia kupora askari silaa” - DAVID MISIME, MSEMAJI WA JESHI LA POLISI
Gent,s
Tutajua baada ya timbwili hiyo 7/7 kama yasemwayo yapo tutajua nan? Anaongoza
Wamaji walichapwa sana na Mh.. mwenda zake, wa awamu ya 3, aliwanyoosha kweli kweli bwana yule na wao waliweka moyoni tu na kujiuliza lini watalipiza kisasi
Si wakajipindua na kujisahaulisha wannchi kavu...
RC chalamila anafanya kazi ya 7/7 kua nyepesi sana kauli zake ni Kama chachu ya kuongezea watu hasira , hapo hapo zinaogeza vaibu chuki kwa serikali na kuongeza hamasa ya watu kuingia barabarani kipindi hiki kauli za vitisho hazina tija. Wote tuliona October 29...
Kama ni kweli kama ninavyosoma kwenye mitandao kuwa kuna maandamano yanapangwa kufanyika tarehe 7/7 basi nashauri viongozi wa maandamano na Serikali wafanye yafuatayo;-
A:Viongozi wa waandamanaji;-
1. Watoe taarifa kwenye vyombo husika kwa kuandika barua kadri Sheria/ Katiba inavyotaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.