Maandamano hayo ya amani ya kitaifa, yazilaani AZAKI na vyama vya siasa ambavyo kwa makusudi kabisa, vilishiriki kuhamasisha na kuchochea fujo na maafa yaliyotokea Oct.29.2025.
Lakini pia maandamano hayo ya kitaifa yatoe wito kwa mamlaka za serikali kuzifuta mara moja AZAKI zote ovu nchini, na...
Hamjambo!
1. Ingawaje wengi wanakataa hayakuwa mapinduzi. Na serikali haijakiri kwenye ripoti zake.
Lakini Mimi Mtibeli nakiri yale yalikuwa mapinduzi yaliyojificha kwenye mwamvuli wa maandamano.
2. Ingawaje sikuona Waandamanaji wenye silaha za Moto lakini Nia Yao ilikuwa ni kuiodondosha...
Kila siku naangalia hali ilivyo nchini, na kuona tabaka la viongozi wa nchii hii ni kama sikio la kufa, hawajifunzi kutokana na yaliyotokea. Bado wanadanganya watu, wanafanya ufisadi na wanajiona wao ni dunia nyingine tofauti na wale wanaowaongoza.
Sasa niseme wazi. Kwamba hadi sasa huenda...
Kinyume na madai ya maandamano ya amani, vitendo vilivyoonyeshwa vilitaka maisha, mali na usalama wa raia wasiohusika. Hivyo maandamano yalivuka mipaka ya sheria ya Tanzania na viwango vya kimataifa vya maandamano ya amani. #UkweliOktoba29
Ushahidi unaonyesha kuwa maandamano yalikuwa na lengo la kuzuia wananchi kupiga kura. Vitendo vya kushambulia vituo vya uchaguzi na maafisa vinathibitisha nia ya kuharibu demokrasia ya Tanzania. #UkweliOktoba29
"Kuna kijana mmoja, Usariva Harusha, mwenye umri wa miaka kumi na sita. Alishawishiwa, alipewa Shilingi elfu hamsini ashiriki, na walimuahidi—na kwa maneno yake—walimuahidi watampa Shilingi milioni tano akishiriki.
Na kwa ushahidi wake, anasema 'walinipa mchongo utakaonitoa kwenye umaskini'...
Wanaume: 490
Wanawake: 28
Askari: 16
Watoto: 21 Kati yao,
Miaka 15-17 walikuwa 15.
Miaka 7-10 walikuwa 4.
Chini ya miaka 5 walikuwa 2.
Vifo vingi vikiwa vimetobolewa na kitu chenye ncha kali yaani walipigwa risasi. Zaidi ya watu 700 walitekwa na kupotea wengine hadi leo hawajulikani.
Wengi...
Wadau, hii ni big win kwa vijana! Baada ya karibu miaka mbili ya kusota kortini, vijana 50 waliokamatwa wakati wa maandamano ya 2024 Ongata Rongai finally wameachiwa huru. Court ya Ngong imesema case ya serikali haikuwa na msingi boom.
Hawa vijana walikamatwa wakati wa zile maandamano kali...
Warioba aliwahi kusema CCM waipe Tanganyika mamlaka yake Kabla watu hawajaidai.
Maandamano yote yajayo yanakuja na hoja ya "Free Tanganyika".
Sasa imagine Rais kutoka Zanzibar unawazuiaje Watanganyika kuidai nchi waliyokualika tu. CCM itatuma machawa wake kuongea nini.
Hatimaye hatari...
Uchaguzi wa urais nchini Peru uliofanyika Jumapili, 12 Aprili 2026, umechochea maandamano baada ya changamoto kubwa za kiutendaji kusababisha maafisa wa uchaguzi kuchelewesha kuhesabu kura na kuongeza muda wa upigaji kura hadi leo Aprili 13, 2026, hali iliyochochea mashaka makubwa kuhusu...
Baadhi ya viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) mkoani Mwanza wameushauri uongozi wa juu wa chama hicho, hususan Makamu Mwenyekiti John Heche, kutafuta njia mbadala za kuharakisha kesi ya Mwenyekiti wao Tundu Lissu badala ya kuendelea kusisitiza maandamano.
Viongozi hao...
Baada ya kupanda bei ya mafuta kutoka 3000 hadi 4000
Nchi hii ina vijana zaidi ya milion 15 waliojiijiri katika shughuli za bodaboda.
Mliwaaminisha bodaboda ni kazi rasmi na ajira Leo wapo vijiweni wanaliwa na njaa
Mliwatumia vya kutosha kwenye kampeni zenu kunogesha misafara, Leo...
Yawe ni maandamnao makubwa ambayo hayajawahi kutokea hapa nchini.
Majiji yote maandamano yafanyike kushinikiza na kupinga mateso anayopewa Tundu Lissu wakati sio mhaini.
Hakuna Jeshi lolote ambalo lilisha weza kushinda nguvu ya umma.
Nguvu ya umma ndio njia pekee ya kumnasua Lissu.
Ni dhahiri raia wa Iran wanahusika pakubwa kwenye kutoa taarifa nyeti kwa Israel, maana sielewi hawa Israel wanafaulu vipi kuwapukitisha viongozi wa Iran, jamaa wanauawa kizembe sana.
Huyu hapa aliongoza kikosi katili cha Basij kilichochinja sana raia kwenye maandamano, kashushiwa kitu kizito...
Human Rights Watch imesema kuwa vikosi vya usalama vya Tanzania vilikandamiza maandamano wakati na baada ya uchaguzi mkuu wenye utata wa mwaka 2025, viliua na kujeruhi watu ambao hawakuwa wakishiriki katika maandamano hayo.
Human Rights Watch imethibitisha vifo vya watu 31 ambao hawakushiriki...
Watukufu katika imani mara baada ya Swala ya ijumaa tutakua na maandamano ya Amani kuanzia Kinondoni Muslim -Manyanya-Morocco hadi pale ubalozi wao ili kupeleka kilio chetu dhidi ya ndugu zetu huko Iran. Wabillah Taufiq
Hawa wahindi walijiingiza kwenye dini ya muaabu hadi akili zikawahama, sasa wanaandamana na kufia karibu na ubalozi wa Marekani kisa vita ambavyo vipo mbali sana na wao, utakuta hapo hamna hata amewahi kutoka nje ya nchi.
Nasubiri nione wa huku uswahilini na wao wakiliamsha.
===================...
https://www.youtube.com/watch?v=6bYlhfMqEWs
Wananchi wa Kata ya Buza Wilaya ya Temeke wameandamana kutoka Buza Kanisani hadi Ofisi za Chama cha Mapinduzi Kata ya Buza wakiitaka Serikali kurejesha magari ya Daladala Kutoka stendi mpya iliyopo kwa Mama Kibonge hadi Stendi ya Buza kanisani...
The inquest into the murder of Rex Masai has been postponed after state prosecutors failed to appear in court. The unexpected absence forced the court to adjourn the proceedings, delaying what many hoped would be progress in the case.
Family members and supporters who had turned up expressed...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.