Msigwa: Watu wasingekuwa na imani na serikali ungeona Maandamano na migomo, ukiona wametulia wanaona uongozi unakidhi wanachokitaka

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
1,945
Reaction score
2,984
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo ambaye pia ni Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, akizungumza katika mahojiano na Bongo FM Mei 15, 2026, Msigwa alifafanua kuwa namna wananchi wanavyotii sheria ni kipimo cha wazi cha kuridhishwa na uongozi na mwelekeo wa nchi.
 
Hoja ya kipumbavu kabisa.
 
Screenshot_20260516-003803~2.png
 
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo ambaye pia ni Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, akizungumza katika mahojiano na Bongo FM Mei 15, 2026, Msigwa alifafanua kuwa namna wananchi wanavyotii sheria ni kipimo cha wazi cha kuridhishwa na uongozi na mwelekeo wa nchi.
Sure,
hata ilani ya uchaguzi ya CCM inayotekelezwa hivi sasa imejaa vipaumbele muhimu sana vya mahitaji ya wananchi.

Na kwakua CCM ikiahidi inatekeleza,
kwa sasa mambo ya maendeleo ni bam bam nchi nzima na hakuna wa kusema eti aandamane au kuigomea serikali sikivu ya CCM kwa chochote.

Mugu mbariki Dr Samia Suluhu Hassan
Kidumu Chama Cha Mapinduzi 🔥
 
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo ambaye pia ni Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, akizungumza katika mahojiano na Bongo FM Mei 15, 2026, Msigwa alifafanua kuwa namna wananchi wanavyotii sheria ni kipimo cha wazi cha kuridhishwa na uongozi na mwelekeo wa nchi.
This guy ni hovyo hovyo hovyo
 
Wakiandamana mnawaua.

Maandamano ya MO29 yalikuwa ni maandamano ya majiji na miji yote mikubwa Tanzania.

Kuonesha kwamba sehemu kubwa ya wananchi haikubaliani na utawala uliopo madarakani na CCM kwa ujumla.

Kwa kifupi huyo Msigwa hana namna zaidi ya kutetea ugali wake tu lakini deep down anajua polisi na wanajeshi wakisema hatutoingilia maandamano ya raia asubuhi na mapema tu anaamka sio msemaji wa serikali.
 
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo ambaye pia ni Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, akizungumza katika mahojiano na Bongo FM Mei 15, 2026, Msigwa alifafanua kuwa namna wananchi wanavyotii sheria ni kipimo cha wazi cha kuridhishwa na uongozi na mwelekeo wa nchi.
Naunga mkono hoja..
 
Je huo sii uchochezi?
 
IMG_3440.jpeg
 
Kwa hiyo kaamua kuchokoza waungwana?
 
Back
Top Bottom