maandamano

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Tume ya Chande wanasubiri Mahakama imuhukumu Lissu kuwa na Hatia, ili nao waje na hitimisho la MO29 ílisababishwa na Lissu. TUJIANDAE KWA MAANDAMANO

    Jamaa wameimgia Mitini kwa sababu WANAJUA Watanzania tunawasubiri kwa Hasira walete ushenzi wao wa kutupia jumba bovu Chadema ya Lissu. Sasa wameona wataingia kwenye 18 za WATANZANIA. NAO Wameamua kuingia Mitini, Lengo wanataka kusubiri MAHAKAMA YA SAMIA SULUHU, Mahakama ya kipuuzi, itoe...
  2. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Wito wa Maandamano Yasiyo na kikomo kuanzia siku ya uzinduzi wa Afcon

    Hatimaye CAF imethibitisha kuwa Tanzania itakuwa miongoni mwa waandaaji wa AFKON. Kwakuwa serikali iliyopo ni HARAMU, natoa wito wa maandamano yasiyo na kikomo kuanzia tarehe ya uzinduzi wa AFCON mpaka kieleweke. Wageni waliopangwa kuja wajulishwe kabisa kuwa tunawakaribisha, lakini tutakuwa na...
  3. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Uvunjifu wa sheria unaoendelea haukubariki utachochea maandamano mengine makubwa nchi nzima na hatutaomba ruhusa kudai hiki zetu

    Uvunjifu wa sheria unaoendelea haukubariki utachochea maandamano mengine makubwa nchi nzima na hatutaomba ruhusa kudai hiki zetu
  4. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Maandamano ya MO29 yaliipandisha Tanzania kwenye Rank za juu ya kidunia. Na sasa Ile dhana ya watanzania ni mandondocha imekufa. Watanzania sasa

    Hamjambo! 1. Ingawaje ni Siku iliyobeba kumbukumbu zenye huzuni, maumivu na damu za watu. Lakini pia ilikuwa Siku muhimu kwa taifa letu. 2. Siku ambayo ilikuwa ikisubiriwa kwa miaka na miaka tangu mababu zetu. Walikuwa wakiisubiri Siku Ile ambayo ingefuta aibu, manyanyaso, kejeli na uteja...
  5. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Maandamano yangefanyika kabla ya uchaguzi haramu uchaguzi usingefanyika kabisa na nina wasiwasi hakutakuwa na uchaguzi kabisa kipindi kijacho

    Maandamano yangefanyika kabla ya uchaguzi haramu uchaguzi usingefanyika kabisa na nina wasiwasi hakutakuwa na uchaguzi kabisa kipindi kijacho. Serikali haramu ikifanikiwa kuvuka hapa mpaka uchaguzi ujao kwa jinsi hali ilivyo uchaguzi ujao utakuwa ni vita kubwa kubwa sana haijawai kutokea tangu...
  6. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Anthony Nzuki: Kanisa Katoliki si "Populism institution". Maandamano si njia mojawapo ya kushughulikia matatizo ya viongozi wa Kanisa Katoliki!

    KANISA KATOLIKI SI POPULISM. Hata tukitoa nafasi ya kudhani kuwa WaandamaWAnaji walikuwa na nia njema, njia waliyotumia haiwezi kabisa kuzaa matokeo yoyote halali ndani ya mfumo wa Kanisa Katoliki. Iwapo lengo lilikuwa kumuondoa Father & Padre Charles Kitima katika wadhifa wake kama Katibu...
  7. Etwege

    JamiiForums Tanzania Kuna haja ya kuitisha maandamano makubwa ya kudai miili ya wapendwa wetu

    Yanahitaji maandamano makubwa ya kudai miili ya wapendwa wetu. Ukisikiliza watu wanaofika mbele ya tume kutoa ushahidi wa jinsi wapendwa wao walivyouawa na miili yao kupotezwa kwa kweli inasikitisha sana. Rais Samia huwezi kuuwa ndugu zetu kama panya alafu pia utuzuie kuwazika kwa heshima...
  8. generationn Z

    JamiiForums Tanzania Maswali tata wakati wa maandamano

    maswali.... 1-Miji mingi imekuwa na idadi kubwa ya watoto wa mitaani tena katikati mjini. je wakati wa maandamano waliamia ktk makazi yapi mbali na mitaroni nk.? 2-kwa Mwanza na Dar es salaam nimewai ona kundi la mbuzi wakizurula wenyewe humo mjini pasipo kushambuliwa na binadamu. je kwa...
  9. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Lissu akiachiliwa tu alisema hatopoa ni mchaka mchaka maandamano kila siku tena yeye atayaongoza mwenyewe Genz mjiandae

    Lissu akiachiliwa tu alisema hatopoa ni mchaka mchaka maandamano kila siku tena yeye atayaongoza mwenyewe Genz mjiandae. Lazima tu ataachiliwa hata kama sio leo na akiachiliwa siku hiyo hiyo atakinukisha atakusanya watanzania barabarani yeye ndie rais wa wananchi.
  10. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Kuendelea kuteka na kuuwa na kuendelea kuwashikiria watu mateka na kutofanyika kwa mabadiliko yoyote kutochochea maandamano mengine makubwa

    Kuendelea kuteka na kuuwa na kuendelea kuwashikiria watu mateka na kutofanyika kwa mabadiliko yoyote kutochochea maandamano mengine makubwa. Vitendo hivi wananchi hawavichukulii kama vitisho bali vinachochea moto na hasira lazima maiti ziachiliwe, mateka wote na wafungwa wa kisiasa waachiliwe...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Walitaka kumuonyesha Mange kuwa maandamano yanaweza kudhibitiwa, wakasahau ICC wataenda wao na si Mange

    Yaani hawa watu kwa ujinga na ulevi wa madaraka, walitaka kumuonyesha Mange kuwa maandamano anayoyahamasisha wanaweza kuyazima na kwamba serikali haiwezi kupinduliwa kwa njia ya maandamano. Hata hivyo, walisahau kuwa Mange hatasimama katika Mahakama ya ICC kujibu tuhuma yoyote ya mauji bali ni...
  12. Z

    JamiiForums Tanzania Mimi nadhani mambo ya maandamano ya ahirishwe

    Mimi nadhani mambo ya maandamano ya ahirishwe mpaka October 2030. Ili uchumi ukue vizuri sana, na utalii ukue vizuri sana, na wananchi wapate vipato vizuri sana. Inaelekea baadhi ya global na continental agents wa illuminati walitaka akae mpaka Oct 2025, halafu astaafu. Kuna baadhi ya agents...
  13. W

    JamiiForums Tanzania Bobi Wine: Nitaitisha Maandamano Museveni akiiba kura

    Kiongozi wa upinzani nchini Uganda, Robert Kyagulanyi, maarufu kama Bobi Wine, ametangaza kuwa ataitisha maandamano ya nchi nzima ikiwa Rais Yoweri Museveni ataiba kura katika uchaguzi mkuu uliopangwa kufanyika Alhamisi ya wiki hii. Akizungumza na shirika la habari la AFP nyumbani kwake jijini...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Zaidi ya watu 500 wameuawa kwenye maandamano ya Iran

    Zaidi ya watu 500 wameuawa katika machafuko yanayoendelea Iran, kundi la haki za binadamu limesema Jumapili, huku Tehran ikionya kuwa itashambulia kambi za kijeshi za Marekani endapo Rais Donald Trump atatekeleza vitisho vyake vya kuingilia kati kwa niaba ya waandamanaji. Kundi la HRANA lenye...
  15. Fbn

    JamiiForums Tanzania Maandamano ya IRAN yamegusa imani za watu mbona wapo kimya

    Hapa JF na mitandao mingine yani ukiona mtu anavyoichambua Israel,GAZa, Venezuela na nchi nyingine zilizokuwa kwenye mivuruguano unaweza kusema jamaa noma. Ila tokea IRAN kuanza maandamano hata watu wa msikiti wapo kimya kabisa.
  16. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kwanini masheikh wa Iran hawawakemei Waislamu wafanya maandamano?

    Iran kuna Baraza la maulamaa la Ayatollah linaloitwa Guardian Council na masheikh viongozi mbalimbali wa kidini ila mpaka sasa hakuna masheikh wowote waliothubutu kujitokeza kuwasomea watu vifungu vya Quran na Biblia kuwasisitiza Uislamu ni dini ya amani na kwamba amani ni muhimu zaidi ya Haki...
  17. G Sam

    JamiiForums Tanzania Simbachawene unagomea maandamano ya "Wakatoliki" hutaki mama asafishwe?

    Umeenda zako Zanzibar watu shwaaa wameandamana kwenda kwa Papa Vatican. Aliyekwambia kuwa serikali yako ina urafiki na katoliki ni nani? Hukuona mwaka jana mapolisi wanasimama na kusema Padre fulani hakutekwa bali alikuwa kwa mpenzi wake? Hukuona wakisema kuwa Padre fulani hakutekwa bali...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Iran yazima Internet wakati maandamano yakiendelea, (Yaani kama yaliyotokea Malawi)

    Maandamano makubwa yalizuka kote Iran huku serikali ikikata huduma ya intaneti karibu nchi nzima, kulingana na makundi ya ufuatiliaji. Hatua hiyo ilikuja wakati wananchi wakipaza sauti wakidai uhuru na kuondoka kwa utawala wa Kiislamu, licha ya onyo kali kutoka kwa viongozi wa vyombo vya usalama...
  19. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Maandamano Iran katika picha!!

    Wananchi wa Iran wanaingia wiki ya pili katika maandamano yao ya kutaka kuung'oa utawala wa kinabavu wa Ayatollah Ali Khamanei!!!
  20. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Vusi Thembekwayo: Haiingii akilini ushinde uchaguzi kwa 97.6% halafu uogope maandamano ya watu!

    Huyu ni mchambuzi kutoka Afrika Kusini aliyekuwepo nchini baada ya “uchaguzi” wa Oktoba 29, 2025. Kwenye hii video anatoa maoni na uchambuzi wake juu ya kile kilichotokea na kile ambacho anahisi kinaweza kutokea. Kamchana Samia kidiplomasia kwa kusema kwamba ni upumbavu kwa upande mmoja kudai...
Back
Top Bottom