Maandamano yamefanyika tayari na kwa mafanikio makubwa huku serikali ikisambaza vyombo vya ulinzi kuyazuia!
Ni vizuri serikali ikatambua kuwa maandamano siku hizi hayamaanishi watu kukusanyika mitaani.
Ni vizuri watawala wakatatua kero za wananchi kuliko kutumia nguvu nyingi kuzuia maandamano.
Hakika hakika,
Taifa letu litachezewa sana,serekali yetu ione jinsi ya kudeal kikamilifu,na huu ujinga,ona shughuli Kariakoo zinaendelea kwa unyonge sana,watu wanajawa hofu, what's this kisa,matarumbeta ya akina maria na mange,..
Kuomba mawazo kwa Rais Kagame sio jambo baya he know well on how...
Kwasababu hicho ndicho wanachoweza kufanya watu hao clueless, rudderless na planless, wanaotumwa na mabwenyenye ya magharibi kupitia vibaraka wao humu nchini.
Na matusi hayo yatatokana na waTanzania kuwapuuza na kudinda kubebwa ufala wa kifikra na kukataa kudanganywa kilofa lofa tu, eti...
Kanusho bodaboda,bajaj na daladala hawaja tangaza kuuunga maandamano aidha wanawasihi wananchi kuyapinga kqa kuwa wao bila watu kwenda kutafuta hawapati chochote kitu
Mie nawashauri kwamba kesho msiandamane. Hakuna haja ya kukabili askari wauaji ambao wanaamriwa na watu wasio na akili timamu wa-shoot waandamanji hadi kuua. Mkiuwawa haimtaisaidia hii nchi na familia zenu zitabaki na shida sana.
Sasa, baada ya kuona uchaguzi wa kidemokrasia haiwezekani hapa...
Polisi, Serikali na CCM pamoja na magenge yao kutwa wanaimba kuna watu wanataka kuvurugu, sasa unajiuliza hili limetoka wapi? Wananchi wamesema wanaandama kwa Amani nyie habari za maanadamano kutokuwa ya amani, sio watu watafanya vurugu mmeyatoa wapi?
Mnaashumu kuwa yatakuwa na ghasia na kuleta...
Ndugu Madereva wa Bodaboda, Bajaji, Daladala, Mabasi ya Mikoani, Wamiliki wa Magari, na Vijana wote wa Tanzania,
Salamu za amani na mshikamano.
1. UTANGULIZI
Hii ni taarifa rasmi kutoka kwa waandaaji UWADAR na vyama vyote vya wasafirishaji nchini kuhusu maandamano ya amani yatakayofanyika...
Ifikie hatua tuheshimu serikali kwa nn inapotokea maadhimisho ya kitaifa uvurugaji hutokea kwa kuanzisha vuguvugu la Maandamano? Je ni mpango wa kuvuruga na kuua siku maalum za maadhimisho ya nchi yetu. Na hii mpaka lini? Kwa nn tusivipe vyombo vyetu vya ulinzi na usalama nafasi ya kufanya...
Kwa tafsiri ya haraka ni kuwa anakubalika na anapendwa na raia wengi wa nchi yake.
Asingekuwa na hofu kabisa na maandamano sabababu ambao wangeandamana ni wachache sana kuliko wale mil 33 wanaompenda na wasingeleta impact yoyote.
Sasa kwa nini hofu kubwa namna? Ukipita miji mikubwa kama Dar...
Paul Makonda na Serikali yake Wamefungia Maandamano Tanzania, lakini ajabu ameenda kuandamana Nchi ya watu tena kapewa Ulinzi. Aliandama huku akitabasamu akifurahia kuandamana.
Annatumia mmaandamano kueneza ujumbe kuhusu Kiswahili. Ila ukimwambia tuandamane kuhusu Katiba unaitwa mhani sababu...
katiba
katiba mpya
kisa
kiswahili
kuandamana
maandamanomaandamano ya katiba
makonda
marufuku
mpya
paris
paul makonda
tanzania
tanzania maandamano
ufaransa
Nikiwa kama mwananchi wa kawaida ninaetamani kuona nchi yangu inakua na uongozi bora unaoweka mbele maslai ya wananchi, nimeshindwa kuelewa hiki kinachopangwa kwenda kutokea siku ya 7/7.
Natamani kuona wananchi tunaamka na kupeleka ujumbe wetu kwa walio mamlakani, ila sidhani kama tuko tayari...
Dar es Salaam - 5 July 2026
In the crowded stalls of Kariakoo and the quiet compounds of Mwanza, Tanzanians are counting down to July 7 in whispers. Saba Saba (the date that once commemorated the founding of the nationalist movement that gave birth to this country) has, this year, become a...
jamiiforum inaiwakilisha jamii katika uhalisia wake kwenye jambo lolote lile .. Utafiti wowote unaofanyika hapa matokeo yake ndio uhalisia uliopo kwenye jamii
Sasa kuelekea maandamano ya 77 keshokutwa kura itakayopigwa hapa.. Matokeo yake ndio yatatoa uhalisia wa kitakachojiri siku hiyo
Akili ndogo ya tafakari kama mwanazuoni wa siasa za kikanda au kiuchumi na kiulinzi na kiusalama inakupeleka kwenye hitimisho moja muhimu sana.
Tanzania imekuwa "under attack" kwa muda mrefu sana ...rejea kwa nini tulimpoteza JMP baada ya kuanza kupambana na wafaidika wa makinikia????
Toka enzi...
"Kuzingatia maelezo ambayo ni msingi wa kikatiba na sheria, msimamo wa kisheria nchini ni kwamba haki ya kufanya mikutano ya hadhara ni haki ya kikatiba lakini utekelezaji wake unaweza kuwekwa chini ya masharti ya sheria inayolenga kulinda usalama, utulivu wa umma na haki za wengine. Kifungu cha...
Hamjambo!
Najua wahusika mpo humu na mnanisoma mara kwa Mara.
Vitisho sio njia pekee ya kutuliza mambo. Njia nyingine ni kutoa mlango wa uani wa Faraja na matumaini.
Faraja kwa maana yakuwa watu kwa mujibu wa Katiba na sheria wanayohaki ya kuandamana na kutoa maoni Yao, kutoa madai Yao, kwa...
Kabla ya kuendelea nianze kwa kusema, huu ni uchambuzi tu.
Nitaanza kwa neno hili "herd behavior" hii ni tabia maalum ambayo kila binadamu anayo, kwa lugha ya kizungu hutafsiriwa hivi
What herd behavior means: It's the tendency of individuals to copy what the crowd is doing rather than...
Huruma, Mathare imegeuka uwanja wa maandamano kwa siku ya tatu baada ya wakazi kuandamana wakitaka vijana wawili waliopotea, Abdulaziz Duba Molu almaarufu Zizo na Maxwell Kiarie, wapatikane.
Maandamano hayo yaligeuka kuwa machafuko baada ya polisi kukabiliana na waandamanaji kwa kutumia teargas...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.