Kipimo cha Kiongozi au Rais ni kuwatoa wale anaowaongoza kwenye matatizo, tena kuwatoa haraka.
Sasa basi, toka tumepata uhuru miaka 60 iliyopita tumepata marais wa 5, huyu ni wa sita. Wote hawa tukiwapima kwenye kipimo cha kututoa kwenye matatizo yetu wanapwaya vibaya.
Bado raia sisi ni...
Miaka mitano ya hayati Magufuli imewafumbua Watanzania mambo mengi. Imewafumbua Watanzania kuwa kulikuwa na pesa nyingi hazikusanywi kwa manufaa ya umma bali zilikuwa zinaingia mikononi mwa watu. Lakini pia imefumbua watu juu ya mambo mengi tu. Kama hawa wanasiasa ambao hawana hoja za msingi...
Nimekuwa nausikia sana ukitumiwa sehemu mbalimbali lakini nimeshindwa kabisa kujua maana yake na matumizi yake.
"Kumkoma nyani giladi"
Kumkoma na giladi huwa ina maana gani na inatumikaje?
Katika mkutano huo, Catherine Ruge amesema:
Tumeona kwenye vyombo vingi vya habari kuwa Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassani anaenda kulihutubia Bunge tarehe 22 -04-2021 kwa mara ya kwanza tangu alipoapishwa kwa rais wa JMT kufuatia kifo cha mtangulizi wake, Dkt. John Magufuli.
Kuelekea tukio...
Habari za wakati huu jamiiforums
Stories nyingi sana za KGB na zile zingine ambazo ninaandikaga kule jukwaa la jamii intelligence ni zile ambazo nilizisoma mwaka 2006 nikiwa kidato cha sita. Kipindi hicho hakuna smartphones lakini nilikuwa ninaiba muda kisha ninakwenda internet cafe moja...
Kama miaka 2 hivi imepita kwa I'd nyingine nilishauri kidato cha sita badala ya kwenda JKT kwa mujibu wa sheria waende VETA kwa mujibu wa sheria ikiwezekana wakae huko mwaka au miezi sita .
VETA watarudi na ujuzi kamili ambao utaweza kuwachallenge mafundi wa mtaani.
VETA cheaper ukilinganisha...
Hongera Mh Rais Samia Suluhu kwa kutuongezea msamiati kwenye lugha yetu.
Katika kongamano na viongozi wa dini Rais Samia ametumia neno la kiswahili ambalo ni adimu kulisikia mitaani ingawa ni neno la kiswahili kutoka asili ya kusini mwa Zanzibar.
demka Taz. demnga.
demnga V cheza ngoma kwa...
Sitaki kwenda deep , ila ninachowashauri Wanasheria (TLS) badilisheni katiba yenu/sheria at least Rais wa TLS akae madarakani kwa miaka 3. Urais wa TLS hauna impact ya maana kwenye Nchi.
Ni kama Urais wa DARUSO tu!
Wanasheria acheni mambo ya kitoto, onyesheni maturity kwenye projection zenu!
Ulinzi wa taarifa ni mchakato wa kulinda taarifa muhimu dhidi ya kuibwa, kutumiwa vibaya, kuharibika au kupotea.
Taarifa hizi ni zile ambazo mtu anajaza, anaandikisha au zinakusanywa kutoka kwake kupitia nyenzo za kidigitali au nje ya mtandao
Ingawa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
Mbunge wa viti maalumu asiyefungamana na upande wowote Halima Mdee amesema kwa mujibu wa ripoti ya BoT ya February 2021 deni la taifa limefikia Tsh. 71 trillion.
Hi maana yake ni kama kila mtanzania anadaiwa tsh 1 milion na points.
Mdee alikuwa akichangia hotuba ya mpango wa maendeleo.
Ngoja...
Watu wanataka Samia aje na vision yake katika urais Tanzania
Kimsingi huyu mama hata VP hakuwahi kuuota, na kwa hiyo hakuwahi kuwa na picha ya nini afanye akiwa VP! Kwa hiyo, kwa uaminifu kabisa aliendelea kumsaidia JPM kufikia maono yake juu ya kuwa nchi liyo na uhuru kamili kwa kujikomboa...
Kuna digrii ambazo hazina maana yoyote kwa wakati wa sasa.
Chuo kikuu cha Makerere kimefuta degree courses zifuatazo
Scrapped courses
Bachelor of Science in Horticulture
Bachelor of Science in Human Nutrition
Bachelor of Science in Meteorology
Bachelor of Science in Wildlife Health and Mgt...
"Ole Wao Wale Wanaotumia Nafasi Zao Za Umma Na Serikali Kuiba , Kuhujumu Uchumi Na Kupokea Rushwa ' Maana Salama Yao Ni kudra Za Mwenyezi Mungu , Labda Nisiwajue "
Hayo yalikuwa ni maneno ya mwamba Edward Moringe Sokoine.
Na mimi haya ndio maneno yangu ya mwisho hapa JamiiForums maana leo ndio...
Huu ni utaratibu wa kawaida katika kufanya ukaguzi wa matumizi, au taratibu za ujenzi. Kwamba mkaguzi ataibua hoja ya kuwa na wasiwasi juu ya anachokagua pale panapotokea kuwa hakuna vielelezo vya kile anachohoji ili kuthibitisha. Hivyo baada ya kuibua hoja hizo majibu ya uhakika huwa...
Habari zenu jamiiforums
Kwa wale msiomfahamu vema Infantry Soldier ni kwamba, mimi ni mkristo tena mkatoliki ila ninafahamu fika ya kuwa uislamu si ugaidi na si dini ya wizi na wala waislamu si magaidi na wala sio wezi bali wahalifu wachache hujificha katika kivuli cha uislamu ili kutenda...
Ninavyofahamu hata mzee Mgaya na lile duka lake la Hardware ana mhasibu na mshauri wa kodi ambaye husimama kama wakili wa maswala yake ya kiuhasibu na kodi.
Ninavyojua ukiwa na kampuni ni lazima uwe na mhasibu na external auditor kwa mujibu wa kanuni na taratibu za TRA.
Freeman Mbowe kuwa jela...
Prof Assad anaongea sana hana tofauti na Tundu Lisu.
CAG Kicheere ameshatufafanulia wananchi kilichojiri katika ripoti yake na watanzania wamemuelewa lakini bado CAG aliyemaliza muda wake anarudia tena yale yale .
Assad endelea kusimamia taaluma hapo chuo cha Tanesco mwache Kicheere afanye yake!
Inahuzunisha sana kuona taifa kubwa Africa mashariki linashindwa kusonga mbele kisa ya kukosa watu wenye weledi kuliongoza taifa hili. Kwa majibu wa Pro. Mussa Assad, 60% ya viongozi wetu hawana ujuzi wa kutosha, hii inaonekana kuwa nikweli kwa maana ya khari ilivyo. Sasa Kama ndiyo hivyo, maana...
Inasikitisha sana tena inahuzunisha kuona ripoti ya CAG ya safari hii baada ya mwendazake kuzikwa, ikiibua madudu mengi mno, tofauti na ripoti zilizokuwa zikiwakilishwa hapo nyuma wakati wa utawala huu wa awamu ya 5 ambazo zilikuwa zinampamba sana mwendazake na kueleza Taifa letu linapaa sana...
CAG ana kazi kuu mbili ya kwanza kudhibiti na ya pili kukagua, cheo chake anaitwa Mdhibiti na mkaguzi mkuu wa Hesabu za serikali.
Ninavyomuona anajikita kwenye kukagua mahesabu kuliko kudhibiti. Hiyo ripoti aliyosoma CAG yenye madudu kibao inamhusu, yeye alikuwa wapi kudhibiti yasitokee? Ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.