maana

Maana Patel (born 18 March 2000) is an Indian backstroke swimmer from Ahmedabad, Gujarat.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Maana halisi ya Futari na daku

    KWA HISANI YA USTAADH Etugrul Bey Kuna post moja nimeiyona ingawa ilikuwa inazungumzia kwaresma lakini mwandishi wa post hiyo alikuwa na lengo la kukashifu dhana nzima ya Futari na Daku. Kwake yeye Kwa mujibu wa Imani yao wanakula chakula chochote kile tofauti na watu wa Imani nyingine ambayo...
  2. JamiiForums Tanzania Neno Amirati lililotaka kuwa mbadala wa Amiri Jeshi Mkuu Asili yake wapi?

    Yamebainika mengi sana leo, kwenye kumbukumbu ya kifo cha Rais wa Tanzania awamu ya 5. Tusirudie yaliyosemwa, bali ninataka kujua asili ya Neno Amirati na labda na aliyelipendekeza kwamba ndio litumike badala ya Amiri Jeshi Mkuu.
  3. JamiiForums Tanzania Jua maana ya vifupisho mbalimbali vinavyotumiwa na kampuni ya Toyota, ie VX, GX etc

  4. M

    JamiiForums Tanzania Hili la walimu kufanya mitihani kabla ya kuajiriwa, Mawaziri nao wapewe mitihani kupata walio bora

    Wanajukwaa natumaini hamjambo mpo vyema. Kupitia vyanzo mnalimbali vya habari nimeona eti anaejiita profesa Mkenda anataka walimu wapewe mitihani kabla ya ajira. Hivi walimu kwa uwingi wao unaposema uanze kuwapa mitihani huoni kama unatengeneza urasimu wa hali ya juu? Vipi mazingira ya rushwa...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Je, mikutano miwili ya China ina maana gani kwa Afrika?

    "Wakati Mikutano Miwili" inafanyika wiki hii, dunia nzima sasa inaangazia tena China. Mikutano Miwili yaani Bunge la Umma na Baraza la Mashauriano ya Kisiasa ya kila mwaka ni dirisha muhimu kwa dunia kutazama na kuifahamu China. Hivi karibuni, mkutano wa pamoja wa wataalam wenye kaulimbiu ya...
  6. JamiiForums Tanzania Nina shida na namba za mkurugenzi wa RITA

    Habarini Wana JF, Mimi nlikua nafanya kazi taasisi Fulani hapa Tanzania kwa bahati mbaya ikafutwa na maelekezo yakaja kwamba stahiki zetu tutapata baada ya Mkurugenzi wa RITA kukamilisha ufilisi na Sasa alishakamikisha na tukapewa fomu za kusaini tulipwe stahiki zetu ,Ilikua ni mwezi wa kwanza...
  7. JamiiForums Tanzania CCTV camera moja ya cable inauzwa shilingi ngapi

    Habar za sahizi hivi CCTV camera hizi za cable kwa hapa bongo ni TSH ngapi maana camera yangu moja imealibika. Nataka camera moja ambayo nitaireplace kwenye mfumo!
  8. JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe alikuwa na nafasi gani ndani ya ACT Wazalendo?

    Haya wajuba wazee wa siasa za Bongo muje munieleze vizuri. Zitto Kabwe alikuwa na nyadhifa gani ACT Wazalendo? Wanahabari wetu wanaishia tu kutuambia kuwa alikuwa kiongozi wa chama.
  9. S

    JamiiForums Tanzania Yadaiwa mzee Ali Hassan Mwinyi (RIP) hajawahi KUKOPA wala KUKOPESHA. Maana yake hakuwa na tamaa

    Binafsi sijabahatika kukisoma na kukimaliza kitabu kinachoelezea maisha yake kilichoandikwa na mzee huyu mwingi wa ucheshi, uungwana na mbobevu wa lugha tamu ya kiswahili. Lkn kwa waliokisoma chote wanaeleza mengi sana yanayodhihirisha kuwa hakuwa mtu wa tamaa. Mojawapo ya maelezo hayo ni...
  10. E

    JamiiForums Tanzania Ina maana Hayati Ali Hassan Mwinyi alikuwa Rais wa Tanzania bila kugombea ubunge

    Habari. Jana nimefatilia historia ya mzee Mwinyi, sikuona sehemu yeyote alipogombea ubunge. Amefanikiwa kuwa Rais wa Zanzibar na Tanzania bila kugombea ubunge wa Jimbo sehemu yeyote ile. Huyu mzee alikuwa na bahati sana Nawasilisha
  11. JamiiForums Tanzania Wakati tunaendelea kula kuku tusisahau tulipotoka, wekeza siku ukiwahitaji usije kuwa mzigo

    Habari za sasa hivi wakuu?? Kimsingi maisha yetu wengi tunao ishi mjini yame anzia vijijini kama sio kusomea Basi kukulia Kama sio kukulia Basi asiri zetu ni vijijini Miji yote mikubwa duniani ilianza kuwa vijiji ikakuwa ikawa miji hatimaye majiji. Wakuu zangu mna kumbuka kuhusu funza, chawa...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Bomoa bomoa Kimara Mwisho-Bonyokwa zimeanza tena

    Barabara ya Kimara mwisho bonyokwa kwenda segerea ilkua chini ya TARURA ghafla tumeskia imechukuliwa na TANROADS ambao wanajenga barabara bila kulipa fidia kwenye maeneo ya watu ambapo barabara imewakuta na kutoa notisi ya siku 30 tu watu wabomoe barabara. Barabara tunaipenda ila ni walipe...
  13. JamiiForums Tanzania Mahari inapaswa kupigwa marufuku, inatweza utu wa Mwafrika na kukumbusha historia mbaya

    Moja ya tamaduni ya kishenzi inayopaswa kukoma katika jamii ya watu weusi hasa Afrika ni hii biashara ya kununua wanawake ili ummiliki kama mtumwa. Hii tamaduni ya ulipaji mahari inaendeleza historia mbaya na machungu ya biashara ya utumwa ya kuuzana sisi wenyewe kwa wenyewe. Kwa kweli...
  14. JamiiForums Tanzania Nini maana ya hii ndoto?

    Mimi ni Mkristo. Niaminivyo, chanzo cha ndoto inaweza ikawa: 1. Ujumbe kutoka kwa Mungu 2. Kazi ya Shetani kwa lengo la kuharibu 3. Uchovu wa mwili na aina ya mawazo uliyokuwa ukiyawaza kabla ya kulala. Hivi karibuni, nimeota ndoto ambayo mpaka sasa bado sijapata tafsiri yake. Niliota...
  15. P

    JamiiForums Tanzania Mjane wa bilionea Msuya aachiwa huru, Mahakama haijamkuta na hatia ya mauaji ya Aneth Msuya

    Hukumu iliyokuwa inasubiriwa kwa hamu, ya mjane wa bilionea wa madini, Bilionea Msuya, Miriam Steven kusomwa leo. Miriam pamoja na mshtakiwa mwenzake, Revocatus Everist Muyella, maarufu kama Ray, wanakabiriwa na shtaka la mauaji ya kukusudia, wanadaiwa kumuua kwa kumchinja, Aneth Elisaria...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Aina za ndoto na maana zake, baadhi ya ndoto na maana zake

    Hii itakuongezea maarifa, ukiota ujue nini ulichokiota, na maana yake, na namna utakavyoingia kwenye maombi juu ya hiyo ndoto. 1.WANYAMA:Kuota unakimbizwa na wanyama wakali inaasshiria mashambulizi ya kipepo,yaaani nguvu za giza zimejizatiti dhidi ya maish yako. 2. DAMU:Kuota/kuona damu...
  17. P

    JamiiForums Tanzania Chalamila: Dkt. Janabi alisema sukari ni hatari kwa afya, tumieni fursa ya upungufu huu kuachana nayo msipate magonjwa mbeleni

    Chalamila asema ukimsikiliza Dr. Janabi anasema ulaji wa sukari nyingi unasababisha maradhi mengi, kwahiyo wakati huu ambako sukari imeadimika tuachane nayo kabisa ili usiweze kupata matatizo ya afya hapo baadaye. Kwahiyo serikali imeshindwa kabisa kutatua changamoto hii ya upatikaji wa...
  18. JamiiForums Tanzania Kwanini Africa ukifikisha 35, 45, 55, tunasema ni mzee?

    Obama alianza uraisi akiwa 48 yrs na tulimuuita kijana. Elon Musk ana 53, tajiri mkubwa namba moja duniani, tunamuuita kijana Mark Zuckerberg ana 39, tajiri mkubwa tunamuita kijana Kwanini Africa ukifikisha 35, 45, 55, tunasema ni mzee? Nataka, kutoa somo moja Leo. Chanzo kingine cha Africa...
  19. JamiiForums Tanzania Misri yaanza kujenga hema za Wapalestina watakao ondolewa Rafah, maana ni dhahiri Israel wanapiga

    Israel imekua kichwa cha mwenda wazimu, wamegoma kumskliza yeyote na wameanza mapigo Rafah, raia wema wanaondolewa na kupelekwa kwenye hema, watakaobaki ni magaidi ya dini akina HAMAS na hawana sehemu nyingine ya kukimbilia. Misri wameona isiwe tabu, wasaidie kwenye kujenga hema, wao kwanza...
  20. JamiiForums Tanzania Kitendo cha Misri kujenga ukuta mwengine upande wake kina maana gani. Wana njama na Israel au ni huruma kwa wapalestina

    Hivi karibuni Benjamin Netanyahu alisikika akisema anataka jeshi lake liingie Rafah na kufanikisha mpango wake wa kuwamaliza Hamas kabla mwezi mtukufu wa Ramadhani haujaingia hapo Machi 10. Baada ya kitisho hicho Misri imekuwa ikitishia kuvunja mkataba wa camp david baina yake na Israel.Hata...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…