maana

Maana Patel (born 18 March 2000) is an Indian backstroke swimmer from Ahmedabad, Gujarat.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Kanisa la wasabato ndio pekee linalofata neno Maana halisi ya Mke wa ujana wako. Ndoa zifungwe wote mkiwa wadogo

    Makanisa mengi ya wakristo leo hasa makubwa kama RC na KKKT mafundisho yao hayafundishi umuhimu wa ndoa kwa vijana wao. Wasabato ndio waliobaki kusisitiza hilo. Tazama picha za maharusi wao mume na mke wanavyokuwa wadogo Ndoa kama hii ni rahisi kujenga bond kubwa ya upendo maana mke na...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mamelodi anabebwa sana na marefa, hii faulo wangeifanya Yanga, wangepewa kadi nyekundu. ndio maana kuna Petition za mamelodi kubebwa bebwa

    VAR ililetwa kwa ajili ya kuzionea timu zetu tu. sababu hazina majina makubwa. Caf wanapenda sana kumbeba mamelodi. sababu bosi wao rais wa caf ndie mmiliki wa mamelodi Sheria za mpira zinasema mtu wa mwisho akifanya rafu ni kadi nyekundu. ila kwa mamelodi hata VAR haijajisumbua kucheki...
  3. G

    JamiiForums Tanzania Mnaotumia p2 hamtaiona pepo, maana mnatenda dhambi ya kuua

    Usihamaki. Huu ndiyo ukweli. Kwani uhai unaanzia ngazi gani ya kibayolojia? Mayai ya mwanamke siyo kitu hai? Kama ni kitu hai kilichosanifiwa na mwenyezi Mungu wewe una mamlaka ya kukiua? Bila shaka jibu ni HAPANA. P2 inauwa mayai na mbegu za kiume ili vishindwe kurutubishana na kutoa...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Hongera Lema kwa kuiacha familia yako Canada maana Arusha sasa iko moto

    Arusha iko moto kama Mamelodi Sundowns, winga Gambo winga Makonda mshambuliaji mzee Sabaya. Kwa kweli nakushauri Lema rudi Canada ukale hela za bure huko, we unawaambia watu ubunge sio kazi kwako halafu hapo hapo unatangaza kugombea tena kama sio uchizi ni nini. Unawaambia watu huwezi kwenda...
  5. chiembe

    JamiiForums Tanzania Jerry Silaa kapewa onyo tu?! Maana nilitarajia aondolewe katika uwaziri!

    Dah....mama anaupiga mwingi, kwa hiyo Jerry kapewa onyo tu, huyu naye ni wa kufukuza, ila bado tunasubiri muda, maana njia yake anaiwekea miba kwa juhudi kubwa sana. Anguko lake haliko mbali. Mama anatoaga second chance.
  6. chiembe

    JamiiForums Tanzania Godbless Lemma, umeletewa kete ya kisiasa Arusha, cheza draft mpaka na huko afukuzwe, maana amekaribia mahali kitovu cha Ben Saanane kilizikwa

    Nina imani kwamba Makonda kupelekwa Arusha kuwa RC ni kuwachachusha wana Arusha kisiasa, damu zao zinapanda kwa mori. Kwako Godbless, macho ya Tanzania kwa sasa yako Arusha ili ku-engineer one of the biggest mission ya kisiasa, kumuangusha huyu kada wa kuteka na mauaji. Yaani amesogea karibu na...
  7. Majok majok

    JamiiForums Tanzania Hii ni Yanga sio Simba, maana ya Kikosi kipana ndio hii! Hakuna Pacome, Aucho na Yao, unatoa sare na Mamelodi iliyokamilika kila idara

    Baada ya kikosi kinachoanza kutoka Leo Kuna mbumbumbu wengi walianza kushangilia na kupiga miluzi kwenye vibanda umiza wakisema yanga anachakazwa goli za kutosha Leo! Baada ya kutomuona pacome, yao yao na aucho, lakini wakashindwa kujua ya kwamba yanga inacheza kitimu zaidi na sio kutegemea...
  8. G

    JamiiForums Tanzania Just Imagine Yanga imecheza bila key players na imetoa Draw kwa Mamemlodi, Ndio maana halisi ya kikosi kipana

    Nilipokiona kikosi hakina key platers kina Aucho, Yao na Pacome niliwacheka sana Yanga kwamba wamevamia mtumbwi wa vibwengo, Nilikdiria hazipungui nne 4G ila mambo yamekuwa tofauti. Japo mmecheza kwa kupaki basi na kuzidiwa possesion tena nyumbani 😂 ila mmeweza kuzuia aibu ya kufungwa, salute...
  9. BAKIIF Islamic

    JamiiForums Tanzania Al-Ahly inamaanisha "Taifa", hivyo unaweza kuita 'Club ya kitaifa' Hizi hapa Timu za kiarabu na maana zake

    (1) Jina la 'Al-Ahly SC' Jina lilipendekezwa na Amin Samy Amin, ambaye alipendekeza kuwa jina hilo ni sawa na neno "taifa" katika Kiarabu cha Misri. Lengo la jina ni kuwahudumia wanafunzi na wahitimu wa shule ambao walikuwa mhimili mkuu wa mapinduzi dhidi ya uvamizi wa Uingereza nchini Misri...
  10. Supercomputer

    JamiiForums Tanzania Ushawahi kufanya chochote Cha maana kwa pesa ya boom/betting/kuhongwa/kuokota?

    Nakumbuka nilipata mkopo 100%lakini sikifanya chochote Cha msingi zaidi ya kula bata tu Share experience yako
  11. THE FIRST BORN

    JamiiForums Tanzania Kiimani Ijumaa Kuu Tunakatazwa Kula Nyama..Hii ina maana kubwa sana Kwa Mnyama SIMBA

    Kwa sisi wakatoliki imeandikwa usile Nyama siku ya Ijumaa Kuu. Mwisho wa Kunukuuu. Na tunajua Mnyama hua anakula Nyama.. Ujumbe huu upokeeni😂😂
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kumbe ndio maana Katavi na Sumbawanga wanaua. Kwanini uharibu maisha ya mtu?

    Yaani napalangana kuuza kangala na huku napiga kazi.. Kuna dada mmoja alinikuta kazini (Kapuni naliweka jina lake.) Aliponikuta kazini alikuja hajui kitu. Nikamfundisha kazi. Baada kujua kazi. Akabadilika akaanza kunichafua kwa mabosi. Asubuhi bosi akija anakuja amenuna. Ghafla nikaanza...
  13. aise

    JamiiForums Tanzania Niko polisi imepigwa filimbi ya kushusha bendera watu wote wakasimama! Hii maana yake nini?

    Habari za jioni wakuu! Niko polisi hapa kituo ambacho kipo karibu na soko! Imepigwa filimbi na watu wote wamesimama mpaka jamaa kamaliza kushusha bendera akapiga tena filimbi ndiyo watu wakaendelea na mishe! Hivi huu si utumwa? Maana yake nini kwa kizazi cha leo? Mimi yote hayo yakiendelea...
  14. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Tusiseme wana wa kike wa siku hizi wanapend pesa, ukweli ni wanawake wameumbwa ili waishi maisha mazuri ten yenye usalama.

    Mwanamke alipoumbwa, alikuta Mungu ameshaandaa sehemu bora safi ya kustarehehesha yaani Eden. Maana ya neno Eden ni Sehemu ya kustarehesha inayolindwa. ( Protected place of Pleasure). Hata baada ya kufukuzwa Eden. Bado mwanaume aliambiwa atakula kwa jasho ili matumizi ya matokeo ya hilo jasho...
  15. MaylaGladson

    JamiiForums Tanzania Natamani sana Dar es Salaam ingeweza kuzingatia sana kwenye usafi wa mazingira maana kwa mazingira yalivyo kwa sasa sio salama

    Habari wana Jamii Forum Ningeomba niwasilishe hili swala kwa jamii ili tuliongelee. Dar es Salaam ni Jiji zuri sana kwa hapa Tanzania ambalo linapendwa na wengi na huo ndio ukweli usiopingika,lakini pamoja na uzuri wake wote kuna kitu kimoja tu kinashusha thamani ya Jiji hili nacho ni MAZINGIRA...
  16. G

    JamiiForums Tanzania Tv sio kwajili ya katuni pekee, Naombeni tupeane mawazo ya video za kuwawekea watoto waweze kujifunza mambo mengine

    Edit: Matumiz ya Tv kwa watotot Cartoon na games (playstation) Mimi nimeona nianze kuweka vitu vya ziada kwenye flash, hizi katuni zimekuwa too much sasa na sioni faida yake. Video nilizoanza nazo nimeona niziweke zifuatazo, walimu wanafundisha kwa vitendo zaidi kuliko kuongea hivyo inakuwa...
  17. George Charles007

    JamiiForums Tanzania Nilikuwa nahitaji kufahamu ofisi za bolt ziko wapi maana nimesikia wamerudi

    Wana JF anayejuwa ofisi bolt zilipo sasa amenipe location. Asanteni!
  18. J

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli alichukizwa sana na waliotaka abadili katiba ajiongezee muda ndio maana Ally Kessy hakurudi Bungeni

    Wengi wanamtuhumu Magufuli kuwa alikuwa ana mpango wa kujiongezea muda wa kukaa madarakani baada ya miaka yake 10 kupita, Lakini zaidi ya mara tano Magufuli alikanusha na kusema hataongeza hata sekunde moja Ikulu baada ya muda wake kupita Na Mbunge wa Nkasi aliposimama Bungeni na kusema licha...
  19. NostradamusEstrademe

    JamiiForums Tanzania Maana halisi ya Futari na daku

    KWA HISANI YA USTAADH Etugrul Bey Kuna post moja nimeiyona ingawa ilikuwa inazungumzia kwaresma lakini mwandishi wa post hiyo alikuwa na lengo la kukashifu dhana nzima ya Futari na Daku. Kwake yeye Kwa mujibu wa Imani yao wanakula chakula chochote kile tofauti na watu wa Imani nyingine ambayo...
  20. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Neno Amirati lililotaka kuwa mbadala wa Amiri Jeshi Mkuu Asili yake wapi?

    Yamebainika mengi sana leo, kwenye kumbukumbu ya kifo cha Rais wa Tanzania awamu ya 5. Tusirudie yaliyosemwa, bali ninataka kujua asili ya Neno Amirati na labda na aliyelipendekeza kwamba ndio litumike badala ya Amiri Jeshi Mkuu.
Back
Top Bottom