maana

Maana Patel (born 18 March 2000) is an Indian backstroke swimmer from Ahmedabad, Gujarat.

View More On Wikipedia.org
  1. L

    JamiiForums Tanzania Paul Makonda amefanikiwa kuiweka CCM katika mioyo na midomo ya Watanzania

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa hakika uteuzi uliofanywa na chama cha Mapinduzi chini ya uongozi shupavu, imara na madhubuti wa Rais na mwenyekiti wa CCM Taifa Mheshimiwa Mama Samia Suluhu Hasssan , kumteua Mheshimiwa Paul Christian Makonda kuwa katibu wa itikadi, uenezi na mafunzo wa CCM Taifa...
  2. passion_amo1

    JamiiForums Tanzania Sikuwahi kujua majina ya wanyakyusa yana maana😀

    Wakuu habari za asubuhi? Nafika kazini asubuhi hii, namsalimu jirani yangu ananiambia Tuntufye. Namuuliza hao si wanyakyusa, anasema majina yote ya wanyakyusa yana maana Tuntufye ni - tumsifu😀 Gwamaka- mwenye nguvu Embu wanyakyusa tupeni maana ya majina yenu?
  3. T

    JamiiForums Tanzania Mungu alikua na maana gani kuagiza kwenye amri ya 6 Usiue kisha akaagiza wana wa Israel kuua watu wa mataifa mengine?

    Historia ya biblia inasema Mungu alimpa Musa amri zake 10 kuu, kati ya amri hizo iko amri ya 6 ya usiue. Hii amri Mungu aliwakataza binadamu kuua ama kukatisha uhai wa binadamu wenzao. Cha kujiuliza na kushangaza, Mungu huyo huyo akaamuru wana wa Israel kuua watu wa mataifa mengine kama...
  4. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mbeya licha ya kuwa namba 3 kwa kuchangia Uchumi Tanzania ila hakuna hata Mpango wa kujengwa stendi ya Kisasa?

    Majiji yote makubwa na Mikoa Maarufu Ina Standi Kuu za Kisasa kabisa na Sasa Arusha inaenda Kujengwa Standi Kubwa lakini hakuna ambae anataja Mbeya. On top of that Barabara za mitaani ndio kabisaa ni vumbi tupu.Nikajua Tactic itakuja na package nzuri ya Barabara za mitaa kumbe hole,eti Km 12 ni...
  5. Stuxnet

    JamiiForums Tanzania Video: Fatma Karume Adai Kuna Sustemic Failure Ndiyo Maana Wananchi Wanamfuata Makonda

    Moja kwa moja fungua Clip. Anasema Mwanasheria Mkuu Ushauri wake ni kupoteza raslimali fedha tu. Halafu wananchi kumfuata Makonda ni udhalilishaji wa wananchi.
  6. Jumanne Mwita

    JamiiForums Tanzania Hakuna dawa ya kumroga mtu? maana nishaibiwa tayari na ujanja wangu huu

    Kufanya biashara mtandaoni ni riski kubwa sana pia nawahurumua watu wanaotegemea kufanya biashara mtandaoni maana kadiri mambo yanavyobadilika hamna mtu ataamini vitu vya online ingawa ingekuwa inatumika ipaswavyo ingerahisisha zaidi kwa kuokoa muda na usalama pia. Ila kadri siku vinavyosonga...
  7. MK254

    JamiiForums Tanzania Iran yaanza kurejesha nyumbani makamanda wake walio nje maana wanasakwa na Israel kwa mbinu zote

    Yaani kila anayejulikana alipo anawahishwa kwa mabikira.... Iran's Revolutionary Guards have scaled back deployment of their senior officers in Syria due to a spate of deadly Israeli strikes and will rely more on allied Shi'ite militia to preserve their sway there, five sources familiar with...
  8. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Video: Hii ndio maana halisi ya Fear Women

    Wanawake sio watu wa mchezo mchezo, kuwa makini sana na kiumbe kinachoitwa Mwanamke. ANGALIA VIDEO HAPA
  9. S

    JamiiForums Tanzania Mastaa wa Bongo wanaisaidiaje jamii? Ubinadamu wa Mane na Ronaldo wanaoufanya sijawahi sikia huku kwa mastaa wetu

    Siwasemi Bongo movie najua ni unga unga unga mwana,nawaongelea hawa wasukuma ndinga ulaya. Siku ile imetokea majanga kule hanang dunia nzima ilifahamu kilichotokea lakini sikuona wachezaji hawa wakituma michango yao ya hali na Mali nikawaza sana mambo haya yangetokea nchini kwakwe mane dunia...
  10. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Ina maana ambao hadi leo hatujaumwa macho kama wengine tuna kinga imara?

    1. Waliobarikiwa zaidi na Mungu? 2. CD4 zao ziko Imara sana? 3. Hawajalaanika kwa Dhambi? 4. Wenye Kinga Kali mno? 5. Wenye Nyota zenye Kung'aa daima? 6. Wasio na Roho Mbaya na Wivu? 7. Wasiopenda kupiga Chabo? Asante sana Baba Mwenyezi Mungu.
  11. bongo dili

    JamiiForums Tanzania Wasabato majibu mnara wa freemason kwenye kaburi la nabii wenu Bi Hellen G White una maana Gani?

    Hili ni kaburi la Bi Hellen G White lina mnara wa Obelisk.Ukiona mnara wowote round about unamaanisha kiungo cha uzazi Cha kiume Cha Nimrodi. Nimrod mtoto wa haramu ndie aliyejenga mnara WA babel kisha Mungu akawachanganyia lugha wakasambaa duniani. Baada ya Nimrodi kuuwawa kwa kukatwa katwa...
  12. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Nchi hii haitafanikiwa kwenye jambo lolote la maana mpaka mwisho wa Dunia

    Ukiuliza sera ya serikali kwa sasa ni nini hata viongozi wenyewe hawajui. Wataanza kukutajia SGR, Bwawa la kufua umeme la Mwalimu Nyerere, watakutajia Bandari na kadhalika. Kwa ufupi hata viongozi hawajui Tanzania na Watanzania wanahitaji nini. Watanzania wenyewe pia hawajui wanahitaji nini...
  13. figganigga

    JamiiForums Tanzania Mwanaume ukisema nakupenda, maana yake ni nitegemee

    Kupenda sio hisia, ni uwezo. Mwanamke ukisema unampenda, anasahauu hapo hapo, ndo maana wanauliza unanipenda? Wanataka kusikia Unavyosema nakupenda maana yake ni nitegemee. Hivyo kama Umependa maana yake mpe hela ya kila kitu. Majukumu ya mwanamke ni kukuheshimu tu. Yaani mwanamke ukimpenda...
  14. maganjwa

    JamiiForums Tanzania Money printing maana yake nini?

    Imani yangu mko vema sana humu. Mimi Naenda moja Kwa moja kwenye mada naomba kuelezwa kwamba Kuna notion ya taifa kutumia fedha yake Kwa Kila kitu hata kununua bidhaa kutoka nje kw Hela yake. Lakini sisi hasa nchi zetu hizi Ili ununue bidhaa kutoka nje lazima utumie Dola ya marekani. ---...
  15. Suley2019

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Paul Makonda: Lissu mjanja ameona maandamano hayana maana

    Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo Ndg. Paul Makonda amebainisha kuwa Tundu Lissu ni mjanja ndio maana ameamua kuwakimbia CHADEMA baada ya kuona hakuna haja ya kufanya maandamano yasiyo na tija wala maana yoyote na kuamua kwenda zake Nchini Ivorycoast kuangalia...
  16. Mpigania uhuru wa pili

    JamiiForums Tanzania Diaspora wengi wa Tanzania hakuna cha maana wanachofanya zaidi ya kuturingishia picha

    Ukianza kwa wanigeria utawaona kwenye michezo, kwenye academics, in short diaspora wa Nigeria wanafanya vitu kweli vinaonekana Hata watoto wa-nigerian diaspora wanafanya mambo ya maana mfano wakina Anthony Joshua, Israel Adesanya, Saka, Rotimi n.k Wakenya watoto wao waliozaliwa abroad na...
  17. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Mkiacha urithi mkumbuke na ndugu zenu maana wanavyopambana kama wametafuta wao

    Zoezi la nduuugu wa marehemu kugombania mali limekua likiongezeka kila iitwapo leo Ingawa asilimia chache hufanikiwa ila wengi huteseka sana amahakaman Ushauri ukiona umeanza kuchoka wakumbuken na wadogo zenh maana mkifa wanakuja nammishale kama wametafuta wao na kufanya watoto kuteeeseka Na...
  18. chapangombe

    JamiiForums Tanzania Ijue sheria ya wosia

    Wosia ni maandishi au maneno anayo ya tamka mtu akielezea taratibu za mazishi yake,warithi, wake baada ya kifo chake WOSIA KATIKA SHERIA YA KIMILA Wosia wa maneno ya mdomo lazima wawepo mashahidi wasiopungua wanne na wawili kati ya hao lazima wawe ndugu WOSIA KATIKA SHERIA ZA KISERIKALI wosia...
  19. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Naombeni mnikumbushe tena maana ya maisha

    Huenda mimi ni mmoja kati ya wale watu wanaosahau mambo haraka, kwa jinsi mambo yanavyosonga ni wazi kabisa nakosa maana halisi ya neno Maisha. Navurugwa na kupata mtungo wa maswali ndani ya kichwa change, nakosa majibu nabaki nakuna kichwa kwa mishangao mikubwa mikubwa. Unaweza kupata mgonjwa...
  20. MK254

    JamiiForums Tanzania Hivi ubikira wa mwanamke una utamu gani? Maana naona watu wanaahidiwa hata peponi

    Kuna hii video sheikh anaeleza kuhusu wanawake walioandaliwa kwa ajili ya wanaume waislamu kule peponi, yaani mabikira. Hapa najiuliza, kwa nijuavyo uzuri wa kumla mwanamke bikira ni kwa sababu unajua kakuheshimisha na kwamba wewe ndiye wa kwanza kumuingia, ila shughuli yenyewe huwa usumbufu na...
Back
Top Bottom