maalumu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    Ushauri: Benki Kuu anzisheni Bondi maalumu kwa diaspora

    Mimi kama diaspora nimeona fursa kubwa sana kwa nchi yetu na bank kuu yetu. Kwasasa hakuna utaratibu wowote wa kumwezesha; 1. Diaspora kurudi nyumbani miaka ya baadae kwa kuwekeza nyumbani. 2. Utaratibu wa serikali kupata pesa za uhakika kutoka kwa diaspora. Sasa nini kifanyike; 1...
  2. Oscar Lyrics

    Uzi maalumu kwa wale wapenzi wa Muziki wa Reggae

    Muziki wa Reggae ni muziki mzuri unaobeba hisia mbalimbali kama, ukombozi wa mtu mweusi, mapenzi, harakati, nk, kwa kifupi ni muziki unaogusa maisha ya mwanadamu kwa ujumla. Wasanii wa muziki wa Reggae wapo wengi ila hawa ni baadhi ya wale ninaowakubali; 1. BOB MARLEY No woman no cry Buffalo...
  3. DR Mambo Jambo

    Uzi maalumu kwa ajili ya kujifunza Cybersecurity,Jinsi ya kujizuia kupata Cyber Attack Pia Ethical Hacking kutumia Termux na Linux enviroment

    Dunia ya sasa imejaa technological advancements nyingi ambazo zimeathiri kila eneo la maisha yetu, kutoka kutuma na kupokea pesa Dirisha la mhasibu hadi kufanya hivyo mtandaoni tena bila kuonana na mtu yoyote... Kutoka kusoma chini ya mti hadi kusoma ukiwa sebuleni kwako au chumbani kwako...
  4. BARD AI

    Bugando: Kati ya Wagonjwa wa Afya ya Akili 5,000 wanaofika Hospitali, 500 wanahitaji Matibabu Maalumu

    Mkuu wa Idara ya Afya na Magonjwa ya Akili Hospitali ya Bugando, Dkt. Catherine Magwiza amesema Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Bugando ya jijini Mwanza inapokea na kuhudumia wastani wa Wagonjwa 5,000 wenye tatizo la Afya ya Akili kila mwaka. Dkt. Magwiza ametaja baadhi ya Viashiria na...
  5. matunduizi

    Kila dhambi unayofanya kuna majini (mapepo) maalumu yako nyuma yake

    Majini (mapepo) ua roho wachafu ni mengi kwa idadi hayahesabiki. Yote yako hapa duniani. Sasa tofautisha mtu kupagawa na majini (possessed) na mtu kutawaliwa na majini (Controlled). Watu wanaopagawa na majini ni asilimia kama moja tu asilimia 99 ya watu wanatawaliwa na majini. Hawa huwezi...
  6. Bushmamy

    Arusha: Ugonjwa wa mlipuko wagonjwa watengwa kambi maalumu

    Kumeibuka ugonjwa w a kuhara na kutapika na hivyo Kupelekea Wagonjwa kuwekwa kambi maalumu katika Kituo cha Afya cha Moshono. Wagonjwa wote waliopata tatizo hilo la kuharisha na kutapika wamewekwa katika eneo maalumu na chini ya Uangalizi Maalum huku wengine wakiwa wamevalishwa phone? ampers...
  7. BARD AI

    Mwanasheria Mkuu Mstaafu wa Kenya: Bunge lina Watu wengi mno, Viti Maalumu Vipunguzwe

    Aliyekuwa Mwanasheria Mkuu wa Kenya, Githu Muigai amesema hayo wakati akitoa maoni mbele ya Kamati ya Kitaifa ya Maridhiano na kueleza kuwa baadhi ya nafasi za Ksiasa zinapaswa kupunguzwa ikiwemo idadi ya Kaunti ambazo zinaongeza mzigo wa gharama Serikalini. Muigai amesema Mapendekezo ya...
  8. Magufuli 05

    Traffic Kanda Maalumu Dar es Salaam mlichowafanyia bodaboda leo ni uhuni mtupu

    Mmewakamata asubuhi kwa makosa ya usalama barabarani, Yes ni sahihi kabisa, lakini kwanini mnafanya oparesheni kwa matukio. Leo mmeendesha oparesheni ya kihuni kwa kisingizio kwamba mwenzao Jana Kagongwa na mwendokasi. Hivyo mmepata maagizo kutoka juu muwashugulikie. Nyinyi askari mnachangia...
  9. Hance Mtanashati

    Special Thread: Ya kale ni dhahabu

    Huu ni uzi maalumu unaojumuisha maisha yote ya kale tuliyoyaisha ,mashujaa wetu wa enzi hizo visa vyao na burudani kwa ujumla. Karibuni .
  10. Roving Journalist

    Mkutano Maalum wa Vyama vya Siasa, Septemba 13, 2023

    Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Hussein Mwinyi anatarajiwa kuwa Mgeni Rasmi katika Siku ya Mwisho ya Mkutano Maalum wa wa Siku 3 wa Vyama vya Siasa na Wadau ambapo wamejadili Utekelezaji wa Mapendekezo ya Kikosi Kazi, Hali ya Demokrasia na Siasa kwa ujumla Nchini Katika Siku hii...
  11. wa stendi

    Tahadhari: Mbinu wanayotumia vibaka kufanya uhalifu kwenye sherehe, hasa harusi

    Kwenye Sherehe za harusi na mikusanyiko ya jamii, vibaka sasa wanakwenda kwa Mshehereshaji kutangaza matangazo kama vile "gari yenye usajili namba fulani imezuia njia" Unapotoka kwenda nje ya gari lako unakuta watu wenye bunduki wakijua kuwa una funguo za gari, wanakuamrisha kuendesha gari nje...
  12. Roving Journalist

    Abdul Nondo: TAMISEMI haipaswi kusimamia uchaguzi, haitotenda haki

    Fuatilia yanayojiri kwenye Siku ya pili ya Mkutano Maalumu wa vyama vya Siasa, leo Septemba 12, 2023. https://www.youtube.com/live/gluDmlaR35M?si=wM7TlyCrrBFbEHtg === ABDUL NONDO, ACT Mpaka leo msimamo wa Serikali ni kana kwamba uchaguzi wa Serikali za miktaa unakwenda kusimamiwa na TAMISEMI...
  13. Stephano Mgendanyi

    Ruangwa Marathon ni maalumu kwa ajili ya kuchangia vifaa tiba

    Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro ameshiriki katika mbio za Ruangwa Marathon ambazo ziliongozwa na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Septemba 9, 2023 Mkoani Lindi. Akizungumza baada ya kumalizika kwa Marathon hiyo Waziri Mkuu Mhe...
  14. BARD AI

    Serikali yasitisha matumizi na kuagiza uchunguzi wa Kifaa kinachodaiwa Kupima Vipaji Maalumu kwa Wanafunzi

    Kufuatia kuwepo kwa taarifa za kubuniwa kifaa maalum cha kupima vipaji vya watoto shuleni na moja ya shule jijini Dar es Salaam, Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof Adolf Mkenda ametangaza kusitishwa kwa matumizi ya kifaa hicho kwa muda hadi hapo serikali itakapojiridhisha juu ya ubora...
  15. Bujibuji Simba Nyamaume

    Uzi maalumu wa Mashujaa wa ziwa Tanganyika, Mashujaa FC

    Hii ndio timu pekee inayoshiriki ligivkuu kutoka mkoani Kigoma. Mashujaa FC ni timu inayomilikiwa na Jeshi la Wananchi Tanzania JWTZ, na msimu huu 2023/2024 wamepanda daraja baada ya kuifunga timu ya soka ya Mbeya City Fc kwenye mechi zote mbili. Mpaka sasa Mashujaa FC IMECHEZA mechi tatu...
  16. Nehemia Kilave

    Uzi maalumu kwa ajili ya misimamo na mambo yanayohusu JamiiForums Fantasy League 2023

    Habari wapenzi wa Fantasy League ,huu ni uzi maalumu kwa ajili ya ligi yetu pendwa ya JamiiForums Fantasy League .joining code hsyx67 GW 1 Top 10 Top 10 after GW 2 GW 5 msimamo Gw 11
  17. BRN

    Uzi maalumu wa Misemo ya Yanga baada ya kufungwa na Simba na kupoteza Ngao ya Hisani

    Tarehe 13/08/2023 timu za mpira wa miguu za Tanzania Bara za Simba na Yanga zilipambana kwenye fainali ya kugombea Ngao ya Hisani. Mechi hiyo ambayo timu ya Yanga ilifungwa goli tatu na kujifanya Simba kutawazwa kuwa Mabingwa wa Ngao hiyo ambayo hufungua msimu wa Ligi Kuu ya msimu 2023/2024...
  18. Stephano Mgendanyi

    Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Pwani, Subira Mgalu

    MBUNGE SUBIRA MGALU AKIWA KATIKA ZIARA MBALIMBALI NDANI TANZANIA Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Pwani, Mhe. Subira Mgalu ameendelea na ziara mbalimbali na kukagua utekelezaji wa Ilani ya CCM katika mikoa mbalimbali nchini. Mhe. Subira Mgalu katika kilele cha Sikukuu ya NaneNane ametembelea...
  19. Notorious thug

    Jamii za wafugaji wapewe elimu maalumu kuhusu usafi, mapenzi na kuvaa nguo za ndani

    Jamii za wafugaji zinajulikana Sukuma, Maasai, Mang'ati na wengine wengi. Ni muda sasa Serikali itoe elimu kwa hizi jamii kuhusu Afya, Usafi na Kuvaa nguo za ndani. Wengi wanaishi kama Wanyama hawaogi, hawafui, hawavai nguo za ndani naogopa wasije kuharibika sehemu za siri. Najiuliza, wanawake...
  20. K

    Kuna kila dalili watu wakaomba ufanyike ukaguzi maalumu wa matumizi ya ruzuku ya CHADEMA au pengine kutaka isitishwe kutolewa

    Naona kuna kila dalili huko mbeleni watu wakadai ufanyike ukaguzi maalumu wa matumizi ya Ruzuku wanayopata CHADEMA. Na dalili kuu ninazoziona mpaka watu kufikia hatua hiyo: Mosi, watu hawataelewa kabisa matumizi makubwa ya CHADEMA kwa mambo ambayo mengi yao hawaoni umuhimu wake. Pili, watu...
Back
Top Bottom