Serikali iamuru Vyuo Vikuu vyote kuvaa sare maalumu

Kiboko ya Jiwe

JF-Expert Member
Apr 7, 2020
12,709
36,165
Vyuo vikuu vinabeba vijana waliotoka famila za kitajiri, kimaskini na vijana wanaotoka kwenye famila za kawaida (sio maskini na sio matajiri).

Ni asili ya mwanamke kupenda mambo mazuri, walioishi kota wanalijua hili.

Sasa Binti katoka familia za mboga moja, na chuoni analupiwa na serikali au mdhamini, huyu binti anaona wenzake kila weekend wanapiga pamba mpya, lazima ageuze mwili wake kuwa kitegauchumi.

Vyuo vikuu vingi au vyote nchini kando yake kuna madanguro ya kisasa. Na wajasiriamali wenyewe ni mabinti waliotoka famila za kimaskini na wachache ni wale wa familia za kati.

Uniform kwa wanafunzi wa vyuo vikuu ndio mwarobaini wa tabia chafu vyuoni.

Hata wizi wa laptop na simu vinafanywa na vijana wanaotoka familia za kimaskini ili waonekane wako vizuri. Mostly pesa wanazopata kwa kuuza laptop za wizi wananunua nguo.
 
Labda ungekuwa specific kwa undergraduate, mtu wa post graduate naye avae uniform?! Unatoka kazini unaenda kubadilisha nguo uende chuo 😯
 
Kuna mada za kisenge sana halafu kuna mada hii 😂😂
Duniani uwanja wa mashindano, kama hujamfunza mtoto wako kuhandle pressure za kuwaona matajiri atakufa tu,

Utawashonea sare ili wawe sare, wakifika kazini vipi wakiona mwenzao anatembelea Range wao wapo na Vitz ? Utataka tuwe na gari la taifa, vipi simu? Computer je ? Atafika mtaani atakuta watu wa age yake wana ghorofa kkoo yeye hata kiwanja hana, kwa hio atajinyonga ?

Haya mambo ya mtu kuwa masikini kisha kumnyima uhuru tajiri yalipitwa na wakati enzi za mkoloni na Ujamaa wa Nyerere, saizi kila mbuzi ale kwa urefu wa kamba
 
Binti au kijana wa kiume mpaka anafika level ya chuo ameshaanza kujitambua....suala la kujiuza ni tamaa zisizo za msingi....wengine wanajua wamefuata nini chuo sio kubadili mavalio wala manywele na makucha na wanapiga mzigo wanamaliza
 
Vyuo vikuu vinabeba vijana waliotoka famila za kitajiri, kimaskini na vijana wanaotoka kwenye famila za kawaida (sio maskini na sio matajiri)
Ni asili ya mwanamke kupenda mambo mazuri, walioishi kota wanalijua hili
Sasa Binti katoka familia za mboga moja, na chuoni analupiwa na serikali au mdhamini, huyu binti anaona wenzake kila weekend wanapiga pamba mpya, lazima ageuze mwili wake kuwa kitegauchumi.
Vyuo vikuu vingi au vyote nchini kando yake kuna madanguro ya kisasa. Na wajasiriamali wenyewe ni mabinti waliotoka famila za kimaskini na wachache ni wale wa familia za kati.
Uniform kwa wanafunzi wa vyuo vikuu ndio mwarobaini wa tabia chafu vyuoni.
Hata wizi wa laptop na simu vinafanywa na vijana wanaotoka familia za kimaskini ili waonekane wako vizuri. Mostly pesa wanazopata kwa kuuza laptop za wizi wananunua nguo.
Kuna wanaojiuza ambao sio wanachuo, hao pia tuwavalishe sare ili wasijiuze?

Kujiuza ni tamaa tu, kuna watu kwao wana pesa na bado wanajiuza.

Pia kuna watu kwao maskini ila hawajiuzi,
 
Vyuo vikuu vinabeba vijana waliotoka famila za kitajiri, kimaskini na vijana wanaotoka kwenye famila za kawaida (sio maskini na sio matajiri)
Ni asili ya mwanamke kupenda mambo mazuri, walioishi kota wanalijua hili
Sasa Binti katoka familia za mboga moja, na chuoni analupiwa na serikali au mdhamini, huyu binti anaona wenzake kila weekend wanapiga pamba mpya, lazima ageuze mwili wake kuwa kitegauchumi.
Vyuo vikuu vingi au vyote nchini kando yake kuna madanguro ya kisasa. Na wajasiriamali wenyewe ni mabinti waliotoka famila za kimaskini na wachache ni wale wa familia za kati.
Uniform kwa wanafunzi wa vyuo vikuu ndio mwarobaini wa tabia chafu vyuoni.
Hata wizi wa laptop na simu vinafanywa na vijana wanaotoka familia za kimaskini ili waonekane wako vizuri. Mostly pesa wanazopata kwa kuuza laptop za wizi wananunua nguo.

Una hoja,tena inastahili usikilizwe na Serikali, Bunge pamoja na wadau wengine wa Maendeleo. Lakini mimi niko tofauti na wewe Kwa sababu kuruhusu wanafunzi wa vyuo vikuu sio mwarobaini wa kutokomeza umasikini.
Umasikini ninaouzungumuzia ni huu wa watanzania kuwa na uwezo duni wa kupata mahitaji ya Msingi ya binadamu Hali kadhalika kuwa na uwezo mdogo wa kufanya manunuzi( low purchasing power).
Nini kifanyike, ni kwamba Serikali iwe na sera madhubuti za kusukuma gurudumu la Maendeleo Kwa kusimamia na kutekeleza mipango.
 
Vyuo vikuu vinabeba vijana waliotoka famila za kitajiri, kimaskini na vijana wanaotoka kwenye famila za kawaida (sio maskini na sio matajiri)
Ni asili ya mwanamke kupenda mambo mazuri, walioishi kota wanalijua hili
Sasa Binti katoka familia za mboga moja, na chuoni analupiwa na serikali au mdhamini, huyu binti anaona wenzake kila weekend wanapiga pamba mpya, lazima ageuze mwili wake kuwa kitegauchumi.
Vyuo vikuu vingi au vyote nchini kando yake kuna madanguro ya kisasa. Na wajasiriamali wenyewe ni mabinti waliotoka famila za kimaskini na wachache ni wale wa familia za kati.
Uniform kwa wanafunzi wa vyuo vikuu ndio mwarobaini wa tabia chafu vyuoni.
Hata wizi wa laptop na simu vinafanywa na vijana wanaotoka familia za kimaskini ili waonekane wako vizuri. Mostly pesa wanazopata kwa kuuza laptop za wizi wananunua nguo.
Nchi nzima tuvae uniform basi.
 
Matabaka yapo kila mahali na inatubidi tuishi nayo. Ukitaka usawa kama Nyerere na falsafa za Ujamaa, wote tutaishia kua masikini tu na haitatufaidia kitu. Mwisho utataka watu wawe na nyumba zenye ramani sawa, magari yawe sawa, simu, mishahara…etc! Hilo haliwezekani. Uniform haibadili tabia ya mtu.
 
Vyuo vikuu vinabeba vijana waliotoka famila za kitajiri, kimaskini na vijana wanaotoka kwenye famila za kawaida (sio maskini na sio matajiri)
Ni asili ya mwanamke kupenda mambo mazuri, walioishi kota wanalijua hili
Sasa Binti katoka familia za mboga moja, na chuoni analupiwa na serikali au mdhamini, huyu binti anaona wenzake kila weekend wanapiga pamba mpya, lazima ageuze mwili wake kuwa kitegauchumi.
Vyuo vikuu vingi au vyote nchini kando yake kuna madanguro ya kisasa. Na wajasiriamali wenyewe ni mabinti waliotoka famila za kimaskini na wachache ni wale wa familia za kati.
Uniform kwa wanafunzi wa vyuo vikuu ndio mwarobaini wa tabia chafu vyuoni.
Hata wizi wa laptop na simu vinafanywa na vijana wanaotoka familia za kimaskini ili waonekane wako vizuri. Mostly pesa wanazopata kwa kuuza laptop za wizi wananunua nguo.

Fikra za namna hii zinafubaza uwezo wako wa kufikiri, waingereza wana msemo wao, “Don’t ever make a permanent solution out of a temporary situation”

Kama watu wanafika level ya chuo bado mienendo yao inaathiriwa na petty issues kama hizo, basi something is wrong somewhere.

Hata uniform zenyewe hazijawahi kuwa uniform kwa wote, nenda shule yoyote then kwa kutazama tu uniform za wanafunzi husika utaona deep down hakuna “uniformity”.

Changamoto hata zikipakwa rangi yenye kufanana, uhalisia utabaki kuwa haziwezi kutatuliwa kwa namna moja.

Kama taifa yafaa tujikite kutatua mizizi ya changamoto zinazo tukabili na si kujidanganya kuwa hazipo kwa kuzipa majina mengine.
 
Huyu mleta mada ana mawazo ya miaka 47.

Tatizo la kimaadili haliwezi kudhibitiwa kwa mtindo huo.

Tufunze watoto maadili tangu wangali wadogo.

Ila sio kulazimisha uniformity ambayo haipo.
 
Kuna mada za kisenge sana halafu kuna mada hii
Duniani uwanja wa mashindano, kama hujamfunza mtoto wako kuhandle pressure za kuwaona matajiri atakufa tu,

Utawashonea sare ili wawe sare, wakifika kazini vipi wakiona mwenzao anatembelea Range wao wapo na Vitz ? Utataka tuwe na gari la taifa, vipi simu? Computer je ? Atafika mtaani atakuta watu wa age yake wana ghorofa kkoo yeye hata kiwanja hana, kwa hio atajinyonga ?

Haya mambo ya mtu kuwa masikini kisha kumnyima uhuru tajiri yalipitwa na wakati enzi za mkoloni na Ujamaa wa Nyerere, saizi kila mbuzi ale kwa urefu wa kamba
UZI UFUNGWE, UMEMALIZA KILA KITU!
 
Back
Top Bottom