maalumu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Stephano Mgendanyi

    Wabunge viti Maalumu Katavi watoa Milion 6 Maendeleo ya Chama na UWT

    Wabunge viti Maalumu Katavi watoa Milion 6 Maendeleo ya Chama na UWT. WABUNGE wa Viti maalumu Mkoa wa Katavi wametoa shilingi Milioni 6 Kwaajili ya kusaidia Maendeleo ya Chama na Jumuiya ya UWT ili kuhakikisha Chama na Jumuiya ya UWT zinaendelea kuimalika. Wabunge wa Viti maalumu Mkoa wa...
  2. S

    Naombeni kujua mtu akikwambia nimeenda sehemu maalamu kufanya kazi maalumu ina maana gani?

    kuna mtu wangu wa karibu kuna muda anasafiri ukimuuliza ulikua wapi anasema kufanya kazi maalumu na sehemu maalumu hapo ndo sielewagi kabisa..natamani anaeelewa haya mambo anielezee
  3. BAKIIF Islamic

    Hili ndio ombi maalumu la Mussa kwa binadamu kuondolea adhabu ya moto wa Jahannam

    Naam, Siku moja Nabii Mussa (a.s) alimueleza MUNGU yakwamba; Ewe Mwenyezi MUNGU nina maombi nataka nikuombe. Mungu akamjibu, omba ombi lako lolote Mussa, mimi nitakujibu. Mussa akamueleza Mwenyezi Mungu Ewe mwenyezi Mungu, ninakuomba hizi habari za kuwachoma watu kwenye moto siku ya mwisho...
  4. Bright18

    SoC03 Ushirikishwaji wa makundi maalumu katika sekta ya utalii

    UTANGULIZI A: 1. SEKTA YA UTALII. Sekta ya utalii ni miongoni mwa sekta mama hapa nchini Tanzania na duniani kwa ujumla, sekta hii huchangia takribani asilimia kumi na saba (17%) ya pato la nchi pia ni miongoni mwa vyanzo vikubwa vya ajira kwa rika zote kuanzia wamiliki wa makampuni ya...
  5. DELETED ACCOUNT

    Simba tengenezeni utaratibu maalumu kwa wachezaji kutumika katika mabonanza

    Ni jambo jema kufanya mambo ya kusaidia jamii mfano kushiriki katika shughuli mbalimbali za ukusanyaji fedha kwa ajili ya maendeleo ya jamii hasa wale wenye uhitaji maalumu. Hivi sasa wakati timu zote zikiwa katika mapumziko, taasisi mbalimbali zikiwemo za wachezaji wameandaa mechi mbalimbali za...
  6. tpaul

    DPW Special Thread: Uzi maalumu kuhusu kampuni ya DP World

    Kwa kuwa zimwi la kampuni ya DPW ni la kudumu kama mkataba walioingia na serikali, nimeona ni busara tukawa na munakasha maalumu kuhusu kampuni hii tata iliyoingia mkataba wa kilaghai na serikali ya CCM kununua bandari zote kwenye bahari na maziwa makuu, anga la nchi, special economic zones, na...
  7. Meneja Wa Makampuni

    SoC03 Mkopo maalumu kwa kila kijana kutatua tatizo la ajira nchini Tanzania

    Kichwa cha andiko letu: Mkopo maalumu kwa kila kijana kutatua tatizo la ajira nchini Tanzania. Utangulizi Tanzania, kama nchi nyingine nyingi, inakabiliwa na changamoto kubwa ya ukosefu wa ajira kwa vijana. Hali hii imekuwa ikisababisha ukosefu wa fursa za maendeleo na kuathiri ukuaji wa...
  8. Brain Kingdom

    Wanawake wakija ghetto kwa kazi maalumu wakiona mafuta ya kila aina wanafurahia sana

    Hello hello JF! 👇👇👇 Katika hali ya kuduwaza na kufurahisha, kitambo sasa nashuhudia wanawake wanaokuja ghetto kwangu kwa kazi maalumu ya kitume na kimaombezi nimeona kuna jambo linawafurahisha sana hasa tu wakiona mafuta ya aina nyingi ya kupaka kwenye dressing table. 1.Lotion aina 4 2. Mafuta...
  9. O

    Ripoti Maalumu: Upatu, ‘smart phone’ janga jipya kwa wanafunzi wa sekondari

    Je, umewahi kuona wanafunzi wakiwa wamerundikana katika kituo cha daladala huku wakiyaacha mabasi ya abiria hata kama ni matupu? Unajua siri iliyojificha miongoni mwao kama sio wengi wao? Mwananchi Digital imefanya uchunguzi wa kina na kubaini chanzo. Uchunguzi wa takribani mwezi mzima...
  10. Suley2019

    Tetesi: Uzi maalumu wa tetesi mbalimbali za usajili kuelekea msimu mpya wa ligi 2023/24

    Salaam ndugu zangu, Kama ilivyo ada katika wakati huu ligi yetu ya Tanzania inaelekea ukingoni tetesi ndiyo mahala pake. Nimeona nisogeze uzi huu wa tetesi na sajili mbalimbali ili tuweke rekodi sawa. Hivyo, uzi huu nitajitahidi kuweka baadhi ya tetesi za sajili za Ligi Kuu Tanzania Bara (NBC...
  11. William Mshumbusi

    Kuendelea kuimba na kusifu maridhiano wakati viti maalumu waliojiweka wakiendelea kuwa bungeni. Anayewaelewa CHADEMA aje apa afafanue

    Binafsi sielewi kwanini CHADEMA wanaamini katika haya maridhiano wakati swala dogo kabisa Kama la viti maalumu wanadai kuwafukuza wakiwa bungeni. Kesi mahakamani haiishi na wanaendelea kuwa huru na kuaminiana na CCM. Binafsi siiamini viongozi hawana uelewa Mpana. Kuna Jambo nyuma sisi...
  12. K

    Prof. Kabudi ndio awe Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba. Apewe nafasi ya kukamilisha alichoanzisha

    Kwa kuwa mchakato wa katiba mpya utaendelezwa panapo Majaliwa yake Mwenyezi Mungu mwaka ujao wa fedha 2023/2024 na tume maalumu itaundwa kufanikisha mchakato huo naona Prof. Kabudi atafaa sana kuwa Mwenyekiti wa bunge maalumu la Katiba. Ni mwanasheria mzuri na mwenye uwezo mkubwa wa masuala ya...
  13. M

    UZI MAALUMU: Kwa ajili ya ku-share Vitabu vya kilimo na ufugaji

    Habari zenu, Uchumi wa nchi yetu unategemea sana sekta ya kilimo na ufugaji hivyo nimeona sio vibaya kama tukisaidiana kuweka softcopy za vitabu mbalimbali vya kilimo na ufugaji ili kusaidia kupanua maarifa na ujuzi katika sekta hizi. Vitabu hivyo viwe katika mfumo wa (softcopy) yaani PDF...
  14. TheForgotten Genious

    SoC03 Sanduku Maalumu la kupigia kura(Magic BALLOT BOX)-MB2

    UTANGULIZI MB2 ni kifupisho cha “MAGIC BALLOT BOX”, ni sanduku maalumu la kupigia kura ambalo litakuwa na sifa za kipekee ambazo zimelenga kuzuia udanganyifu katika zoezi zima la kupiga kura na kuhesabu kura. Dhana ya uwajibikaji na utawala bora inategeme pia namna ambavyo viongozi...
  15. Melki Wamatukio

    Maalumu kwa watumiaji wa Home Internet (Wi-Fi)

    Habari za muda huu wakuu? Kwa watumiaji wa Home internet (Wi-Fi). Hivi malipo hufanyika kwa mwenendo upi? a) Nilifikiria huenda wana count idadi ya data unazotumia, hivyo unazilipa mwisho wa mwezi. Mfano GB 20 * 2500, hivyo kulipia 50k Au (b) Mnakubaliana kiwango fixed cha malipo bila kujali...
  16. TheForgotten Genious

    SoC03 Kuwe na Wahasibu Maalumu katika Sekta ya Afya

    UTANGULIZI Kwa miaka mingi sasa sekta ya afya, masuala ya usimamizi wa fedha na kihasibu, manunuzi na mengineyo yamekuwa yakisimamiwa wa wahasibu ambao niwa kawaida kwa ajili ya biashara za uzalisha ambao wanatambulika kama “CERTIFIED PUBLIC ACCOUNTANT (CPA)”, kwa namna moja ama nyingine...
  17. jastertz

    Uzi maalumu wa kujua wana JF wengi wanatokea wapi..

    Huu uzi ni maalumu kwa kujua wana JF wanatokea wapi. Comment unapotokea sisi majirani tutapita na likes. Itasaidia pia kupeana michongo ya hapa na pale. nianze mimi Arusha- sanawari
  18. Meja Jenerali Isamuhyo

    Uzi Maalumu: Picha za wanasoka wa zamani

    Tupia picha yoyote iwe ya zamani inayohusu wasakata kabumbu iwe Tanzania, Africa na hata Ulaya.
  19. M

    Kundi maalumu la Mashabiki: Ni wale wanaozipenda Simba na Yanga kwa pamoja!

    Huu utamaduni wa kushabikia timu moja na kuiombea dua mbaya timu nyingine hauna tija!! Kwani ukiipenda Simba lazima uichukie Yanga? Na ukiipenda Yanga lazima uichukie Simba? Kwani ukiifurahia Yanga lazima inavyocheza lazima uichukie Simba? Au ukiifurahia Simba inavyocheza lazima uichukie Yanga...
  20. Scars

    Je, ni kweli Michael Jackson alikuwa analala kwenye chemba maalumu ili aishi milele?

    Hii haiwezi kuwa habari mpya sana kwa wengi wetu humu. Makala nyingi zimeandika habari hiyo kuwa ni kweli. Lakini mimi naijumuisha katika moja ya conspiracy theories. Ni kawaida sana kwa mtu mashuhuri kuwekewa habari nyingi za uongo kwa media ili ku catch attention ya watu. Kumbuka 27 Januari...
Back
Top Bottom