maajabu

  1. J

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya Upinzani Tanzania: CHADEMA wanashangilia ACT kuibiwa kura na CCM

    Kuna chaguzi ndogo zilizofanyika katika maeneo mbalimbali nchini, na Chadema waliamua kutoshiriki, ACT wao wakafanya maamuzi yao kama chama huru cha siasa kushiriki, ACT wamelalamika na kusema kuna ukiukwaji mkubwa wa taratibu za uchaguzi zimefanyiwa kwenye chaguzi hizo. Maajabu ni kuwa...
  2. P

    JamiiForums Tanzania Toka Dotto Biteko ateuliwe kuwa Naibu Waziri Mkuu, amefanya maajabu gani kwenye cheo hicho?

    Wakuu kwema? Wajuvi noamba mtujuze kwenye jambo hili. Toka Biteko ateuliwe kuwa Naibu Waziri Mkuu amefanya mambo gani mpaka sasa kulingana na nafasi yake hiyo? Huu mshahara tunaomlipa kutoka mifukoni mwetu kama Naibu Waziri Mkuu anaula kutokana na kazi gani alizofanya mpaka sasa? Anautendea...
  3. Q

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya Dunia

    Serikali ya Tanzania ni kikundi Cha wahuni ambacho kila siku wanapongezana , Tanzania hakuna haki......hakuna uhuru wowote mwenye nacho akiamua unafungwa atakama hauna makosa. Wananchi wanakufa hospital kwa kukosa ela ya matibabu alafu maiti wanazishikilia CCM ikiweka mgombea jiwe litashinda...
  4. JamiiForums Tanzania Wanawake hamna maajabu, tunatumia pesa nyingi bure!

    Mimi kama kawaida, niko upande wa wanaume na katu siachi kuwasanua wanaume wenzangu juu ya utapeli wa kingono. Hakuna maajabu. Nimefanya tendo la ndoa na wanawake wengi nimegundua kuwa hakuna jipya, wanawake ni overrated. Ukimwaga ndio utajua hili ninalolisema. Tunatumia pesa nyingi kuwinda...
  5. JamiiForums Tanzania Spika Tulia: Bunge linataka mgao wa Umeme mpaka Juni uishe

    Spika wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Tulia Ackson, amesema kuwa Bunge limewapa Tanesco muda kufikia mwezi wa sita mgao wa umeme uwe umeisha. "Wacha tuipe serikali muda, kwa maana ipi wao walijipanga mwezi wa sita (shida ya umeme kuisha) wakarejesha nyuma mwezi wa pili...
  6. JamiiForums Tanzania Tuache majivuno, dunia ina maajabu yake

    Kuna nchi niliishi hapa Africa kwa muda wa miezi kadha. Kuna vitu nilinifunza Sana kwenye ile nchi. Kwa muda nilioishi pale, sijasikia watu wakitukana. Ile nchi Ina wasichana wazuri, cha ajabu hawajivuni kutokana na uzuri wao. Hawatembei uchi, wanavaa kwa kujisitiri. Niliona wasichana...
  7. JamiiForums Tanzania Tujionee kwanza haya maajabu ya Kikokotoo kwa Watumishi wa Umma

    Unaambiwa Mtumishi wa uuma wa ngazi ya chini aliyefanya kazi serikalini kwa zaidi ya miaka 30. Anapostaafu analipwa 33% tu ya mafao yake. Yaani kama mtumishi hiyo wa umma alistahili kupata milioni 100 kama mafao (kumbuka hii ni pesa yake halali aliyokatwa kupitia mshahara wake kwa miaka yote...
  8. JamiiForums Tanzania Bado najiuliza: Nini hasa chanzo cha Lowassa kuwa na ushawishi kwa watu?

    Poleni kwa Msiba Wakuu! Kikawaida ni kawaida watu wenye midomo, makelele na makeke kuwa na ushawishi kwa watu. Mfano, ushawishi wa Tundu Lisu ni Makeke na mdomo kwa kujua kupepeta hoja zikapepeteka. Ushawishi wa JPM ni makeke, kukandia wengine na uchapakazi. Ushawishi wa Dkt. Slaa pia ni...
  9. JamiiForums Tanzania Nani kawaleta Kawe hawa Panya wa maajabu na wa kimkakati wanaosemekana kutokea nchini Malawi?

    1. Wana mikia mifupi 2. Wana mlio kama wa Mluzi 3. Wamewala Panya wote wa Kitanzania wenye mikia mirefu 4. Hawategeki kwa Sumu yoyote na hata Ukiwakimbiza hawakuogopi na wanaondoka kwa mwendo wa taratibu huku wakiwa hata hawana wasiwasi nawe 5. Paka wala hawaangaiki kuwakamata 6. Lishe yao...
  10. JamiiForums Tanzania Maajabu ya Dunia!

    Karibu tupate kufahamu machache kutoka kwa wenzetu huko! 1. New York, Marekani Jiji lla New York lilikuwa na utamaduni wa ajabu kidogo haswa katika miaka ya 1920s, kwani tarehe moja mwezi Mei ambayo kwa sasa tunaadhimisha sikukuu ya Wafanyakazi basi wapo ilikuwa ni siku ya kuhama maarufu kama...
  11. F

    JamiiForums Tanzania Mvua za Tanzania zina maajabu kweli kweli!

    Mvua za Tanzania ni za maajabu kweli kweli! Zinanyesha Maji yake yanakwenda kujaa kwenye mashamba ya miwa na kusababisha uzalishaji wa sukari kushuka na hivyo bei ya sukari kupanda hadi kufikia Tshs.5,000/= kwa kilo 1. ( Rejea maelezo ya Waziri Bashe)! Wakati huo huo mvua zinazonyesha Maji...
  12. JamiiForums Tanzania Maajabu ya dunia

  13. JamiiForums Tanzania Maajabu: Aliyehubiri Injili aswekwa jela, anayewapachika chupa watu makalioni aachiwa huru

    Mchungaji mmoja huko Mbeya amefungwa jela kwa kuhubiri Injili , lakini kuna mwanaccm mmoja huko Manyara ameachiwa huru pamoja na ushahidi mwanana wa kuwapachika watu chupa makalioni Toa maoni yako
  14. R

    JamiiForums Tanzania Maajabu: Wanaohubiri Injili ya mafanikio wao wenyewe hawakutajirika kwa injili hiyo!

    Wao wanatuuzia maneno ya hamasa tu ( motivational speeches) na kuchukua kutoka kwetu pesa halisi (real money) kwa kisingizio cha kumtolea Mungu sadaka na matoleo na kutuacha sisi tumekumbatia maneno matupu. Wao wamekuwa mabilionea si kwa kusikiliza mafundisho hayo ya injili ya mafanikio...
  15. JamiiForums Tanzania Mazayuni wanakiri miujiza na maajabu wanayokumbana nayo Gaza

    Tafsiri kwa msaada wa google. Mwanajeshi wa Kizayuni; Abu Ubaidah ni Jinn hatuwezi kuendelea kupigana nae. Ndugu na dada wapendwa katika siku za hivi karibuni Madai ya kushangaza yametolewa kuhusu Kiongozi wa Hamas Abu Ida Israel Wanajeshi wanasema kuwa Abu obida si binadamu lakini kwa kweli...
  16. Z

    JamiiForums Tanzania Msaada kujuzwa yafuatayo kuhusu utungwaji wa mimba

    Habarini wana JF, naombeni kuwauliza yafuatayo: 1) Hivi inawezekana mimba kutungwa endapo mwanaume katumia kinga kikamilifu (condom imara aina ya rough rider) na kinga hizo hazikuharibika hata kama mwanamke akiwa kwenye siku za hatari za kushika mimba? 2) Inawezekana kipimo cha ultrasound...
  17. JamiiForums Tanzania Yaliyojificha juu ya historia ya hifadhi ya taifa Arusha na maajabu ya vivutio vyake (episode 2)

    EPISODE 2 Hifadhi hii ina vivutio vingi vyenye upekee wake vyenye kukufanya ubaki na kumbukumbu zisizofutika. ZIWA MOMELLA Ndani ya hifadhi ya taifa Arusha kuna mgawanyiko wa maziwa makuu mawili. Hakuna mito inayopeleka maji kwenye maziwa hayo bali huingiza maji kutoka chini ya ardhi. 1...
  18. JamiiForums Tanzania Yaliyojificha juu ya historia ya hifadhi ya Taifa Arusha na maajabu ya vivutio vyake

    YALIYOJIFICHA JUU YA HISTORIA YA HIFADHI YA TAIFA ARUSHA NA MAAJABU YA VIVUTIO VYAKE. EPISODE 1 Hifadhi ya taifa Arusha inapatikana kaskazini mwa Tanzania ndani ya mkoa wa Arusha. Ni hifadhi inayokadiriwa kuwa na kilomita za mraba zisizopungua 500 sq. km. Huchukua takribani dakika 45 kuifikia...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Tujadili Wabunge wanaoshindwa kutimiza ahadi zao majimboni

    Moja ya jimbo linalotabiriwa kwenda upinzani ni jimbo la Kawe, hata hivyo tunayo miaka miwili mbele. Naamini yapo maoni yanayoweza kumwonyesha Mbunge husika alipokosea then aboreshe. Mchungaji Gwajima amepeleka bonanza na mchezo wa rede Kawe, amejenga madaraja na kufanya jogging zakutosha akiwa...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Ni maajabu, Frank Kanyusi kurejeshwa kuwa bosi RITA

    Mapema mwezi wa saba mwaka huu Rais Samia alimteua FRANK KANYUSI kuwa mtendaji mkuu wa RITA. ikumbukwe kwamba bwana huyu miaka ya nyuma alikuwa mtendaji mkuu wa BRELA. Kipindi ambacho BRELA ilikuwa inanuka rushwa, kipindi ambacho watu wengi walidhulumiwa kampuni au shares kwenye makampuni mbali...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…