Maajabu ya Dunia

QIT

Member
Mar 7, 2024
67
115
Serikali ya Tanzania ni kikundi Cha wahuni ambacho kila siku wanapongezana , Tanzania hakuna haki......hakuna uhuru wowote mwenye nacho akiamua unafungwa atakama hauna makosa.

Wananchi wanakufa hospital kwa kukosa ela ya matibabu alafu maiti wanazishikilia CCM ikiweka mgombea jiwe litashinda kwa CCM, katiba kwao ni upuuzi , wanakuangalieni mnapigizana kelele, Elimu ya mchongo watoto wao wanawasomesha nje kisha wanawapa uwongozi ,vyuo vikuu ni sehemu za watu kujipigia pesa. nitaludi
 
Back
Top Bottom