Suley2019
JF-Expert Member
- Oct 7, 2019
- 1,815
- 4,565
Deby alienda mwishoni mwa wiki kuvitembelea vikosi vya nchi hiyo ambavyo vinapambana na waasi kaskazini mwa nchi hiyo. Waasi hao wamevuka mpaka wakitokea Libya.
Kifo chake kimetokea ikiwa ni saa chache tu tangu matokeo ya awali ya uchaguzi uliofanyika Aprili 11 kuonesha kuwa anaongoza kwa asilimia 80. Kwa ushindi huo, Deby angeiongoza nchi hiyo kwa awamu ya sita mfululizo.
Serikali na bunge vimevunjwa na sasa baraza la kijeshi ndilo litakaloiongoza nchi hiyo kwa kipindi cha miezi 18 ijayo. Bw. Déby aliingia madarakani mwaka 1990 baada ya mapinduzi ya kijeshi.
Kundi cha waasi chenye makao yake nchini Libya, Front for Alternation and Concord in Chad (FACT), ambacho kimekuwa kikisonga kuelekea kusini mwa nchi baada ya kushambulia vikosi mpakani siku ya uchaguzi wa urais, wakitaka kumalizika kwa utawala waIdriss Déby, ambaye yuko madarakani kwa muda wa miaka 30.
Chad: Mkuu wa Majeshi afukuzwa kazi baada ya kumkosoa Rais
Mkuu wa Majeshi nchini Chad, Ahmat Koussou Moursal amefukuzwa kazi baada ya kuandika barua ya wazi kumkosoa Rais Idriss Deby. Katika barua yake, mkuu huyo alimlaumu Rais kuwasahau rafiki zake waliokuwa wote jeshini, kusini mashariki mwa Chad, Guera. Pia alizilaumu mamlaka kwa kutowalipa fidia...
www.jamiiforums.com
According to a confirmation from the national army of Chad read on national radio, the newly re-elected President Idriss Déby has died of wounds he received while commanding his army in battles against rebels in the north.
In a swift change of fate, after news had come in that Chad’s veteran president, Idriss Déby had won a sixth term in the latest provisional results in on Monday by 79.3%, an announcement broadcast on national radio today has announced his death.
According to the army spokesperson, Général Azem Bemrandoua Agouna, the military had been pushed back by a column of insurgents who were advancing on the capital, N’Djamena.
Déby, was expected to give a victory speech after receiving the provisional results, but opted instead to visit Chadian solidears on the front lines, said his campaign director Mahamat Zen Bada.