maajabu

  1. F

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya Mungu!

    Huu mmea umepewa jina lisilo la kitaalam la kiingereza la "Pretence Dying Plant" Kiswahili "Kifauongo" Uko kwenye kundi la mimea inayofunga majani yake unapoigusa au inapohisi kishindo cha miguu ya mnyama. Kuna uhusiano gani wa Kisayansi kwa mmea huu usiokuwa na macho wala masikio lakini una...
  2. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais ukimaliza likizo ya Sikukuu tembelea vibanda vya chips Dar na Dodoma ujionee maajabu!

    Ofisi ya Makamu wa Rais ndo inashughulikia Mazingira. Baada ya Mifuko ya Plastik kuweza kuondolewa pale Mama Samia alipokuwa Makamu wa Rais Naona sasa Waziri wako Jaffo anataka kuichafua Ofisi yako Nimetembelea Dar na Dodoma Naona kwenye vipanda vya chips wameanza kufungia mifuko ya plastiki...
  3. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Karibu Tanganyika Packers Kawe Desemba 4, 2021 uje ujionee 'Maajabu' ya Kuuaga mwaka 2021

    Huku Mwalimu Mchungaji Mwakasege anaendelea na OKOKA Concert yake na kule EFM Radio wanaendelea na KOMAA Concert yake. Kwa 'Sound' la uhakika lililosetiwa vyema kujiandaa na KOMAA Concert ya EFM Radio Tanganyika Packers Kawe Kesho ambalo nimetoka Kulisikia kuna uwezekano mkubwa 95% ya Waumini...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kwa jinsi Mbeya Kwanza FC inavyocheza Kitoto (Kiuanafunzi) zaidi nitaona 'Maajabu' makubwa ikiifunga Yanga SC leo

    Tena nahisi huenda leo Yanga SC ikapata Karamu Kubwa (Ushindi Mnono) dhidi ya Mbeya Kwanza FC katika Mchezo wao dhidi ya Mbeya Kwanza FC katika Uwanja wa Sokoine Mkoani Mbeya.
  5. Point less

    JamiiForums Tanzania Natafuta muvi kali zenye sifa kama hizi!

    Kwanza ziwe za kuchekesha Pili ziwe za kutisha Tatu ziwe za maajabu Nne ziwe na mkono wa kufa mtu Kusiwe na huzuni kwenye muvi hiyo Na pia kama katuni pia napendelea Naombeni tafadhali NA PICHA ZAKE IKIWEZEKANA
  6. O

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya nchi za Afrika

    Tanzania iko tayari kuzuia bidhaa za Kenya, Uganda nk, hivyo hivyo Kenya yuko tayari kuzuia bidhaa za Tanzania lakini nchi hizo haziko tayari kuzuia bidhaa za China. Yaani bora Mchina kuliko jirani yako? Roho za kiafrika za kutotaka jirani afanikiwe zinatumaliza yaani tuko tayari kujenga uchumi...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya Serikali ya CCM kusalimu Mwishoni

    Kumekuwa na kelele nyingi za watu kuashiria kutoridhika na agenda kadhaa za serikali. Rejea misimamo ya serikali na wapambe wao kwenye: 1. Uwepo wa Corona 2. Umuhimu wa kuchukua tahadhari dhidi ya Corona 3. Uhitaji wa chanjo dhidi ya Corona 4. Umuhimu wa wanafunzi wanaopata mimba kurejea...
  8. Superbug

    JamiiForums Tanzania Maisha Yana maajabu Sana limao Lina pesa kuliko chungwa.

    Bei ya limao moja kwasasa ni tsh 500 wakati chungwa moja ni tsh 100. Inamaana limao moja ni machungwa matano TAFAKARI.
  9. K

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi Mdogo Ushetu. Waliopiga kura 106,000+. Ambao hawakupiga kura ni wangapi?

    Lipo tatizo la tume ya uchaguzi kuacha kuendesha uchaguzi na kubaki na taarifa za copy and paste kwa kiwango Cha data wanachoamua wao. Huko Ushetu CCM na ACT pekee wamepigiwa kura zaidi ya laki moja na elfu sita. Kwa tuliokuwa tunafuatilia kampeni na baadaye siku ya kupiga kura lazima tujiulize...
  10. Magari ya Biashara

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya funguo niliyoiokota alfajiri ya leo

    Habari Kiukweli nipo kweny mshangao kubwa na siamini hiki ninachokiona na sielewi nini kimetokea. Leo alfajiri majira ya saa 11 na nusu nimeamka vzuri tu na kwenda msikitini kuswali. Na kumbukumbu zangu zipo vzur kuwa mlango wa chumba changu nimeufunga na kama kawaida funguo huwa naweka...
  11. Gordian Anduru

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya Simba na Yanga kwenye World Cup Qualifier 2021

    MALI anayochezea Diarra wa Yanga imeipiga Kenya ya Onyango wa Simba bao 5 Uganda anayochezea Aucho wa Yanga imeipiga Rwanda ya Kagere wa Simba bao Moja Na Malawi ya Banda na Nyoni wa Simba imekufa bao 3 kwa Ivory Coast
  12. B

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya Kachero Mbobezi - Bernard Kamilius Membe

    Ukistaajabu ya Mussa utayaona ya Firauni: Huyu ndiye Bernard Kamilius Membe mgombea urais kwa tiketi ya ACT wazalendo akiwa mwana CCM. Hili bila shaka ndiyo lile bao almaarufu la dak ya 90. Kazi kweli kweli.
  13. Gordian Anduru

    JamiiForums Tanzania Technology gani inatumika kukokotoa ball possesion?

    wanakadiria au wanahesabu manually au kuna program ya kompyuta inayohesabu automatically au ni aje yaani
  14. Lyaka Mlima Jr

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya Tanzania

    Ni Tanzania pekee ambayo watu wake ni wavivu wa kufikiri na kuwaza, nchi ambayo watu wake wanachagua kiongozi kwa sababu wamehongwa kilo moja ya chumvi halafu wamiwa hawana uhakika wa kupata hela ya mboga na ugali. Nchi ambayo watu wake wanapenda sana uongo kuliko ukweli. Ni nchi ambayo watu...
  15. Kasomi

    JamiiForums Tanzania Maajabu 7 ya Afrika kama yalivyopigiwa kura mwaka 2013

    Maajabu 7 ya Afrika kwenye mpangilio wake kama jinsi yalivyopigiwa kura mwaka 2013. 1. Bahari nyekundu -Misri, Eritrea, na Sudan. 2. Mlima Kilimanjaro -Tanzania. 3. Jangwa la sahara- Algeria, Chad, Misri, Libya , Mali, Mauritania, Morocco, Niger, Sudan, Tunisia. 4. Kuhama hama kwa wanyama...
  16. Tutor B

    JamiiForums Tanzania Ujue mmea wa maajabu Comfrey

    MMEA WA AJABU – COMFREY Comfrey ni mmea uishio miaka mingi. Una umuhimu kama mboga zenye afya kwa familia, pia malisho bora kwa wanyama wengi. Majani ya mmea huu huweza kutengenezwa mbolea kwa ajili ya bustani. Pia mmea huu hutumika kwa tiba mbalimbali kwa binadamu. Comfrey ni mmea...
  17. Iziwari

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya matumizi ya rangi zenye sifa ya kuongeza wateja kwenye biashara yako

    Uchaguzi wa rangi ni muhimu sana kwanye biashara yako kuliko unavofikiria. Rangi zinaongeza hamasa kubwa kwa jinsi wateja wanavoiangalia biashara yako na kuithamini. Na moja ya mambo ambayo watu wengi wanakosea ni kuchagua rangi zinazofaa katika biashara zao. Kumbika ukianza tu kutumia...
  18. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Maajabu, TTF yalaani kudaiwa hadharani

    Maajabu hayaishi duniani,ona hii ya TTF.
  19. Mag3

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya serikali ya CCM: Spika wa Bunge ana kinga na hashtakiwi, Wabunge wanatunga sheria lakini hawalipi kodi!

    Mbunge anakunja milioni ishirini na mbili (22,000,000/=) kwa mwezi lakini halipi kodi Mbunge huyo huyo anatunga sheria ya kodi huku yeye akijipa kinga ya kutolipa kodi! Pesa anazolipwa Mbunge zinatokana na kodi ya ambao hata mlo moja kwa siku ni shida! KumbeTanzania inajengwa na wazalendo...
  20. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Morogoro: Serikali kumpima mtoto anayedhaniwa kuwa na kipaji cha hesabu

    Mtoto Charles Mathias Mbena(6) mkazi wa Kibungo Juu, Halmashauri ya Wilaya ya Morogoro ameonesha kipaji cha hesabu ambapo anaweza kujumlisha na kutoa hesabu za makumi na malaki bila kutumia karatasi. Mtoto huyo anayesoma darasa la awali katika Shule ya Msingi Nyigwa ametakiwa kufanyiwa...
Back
Top Bottom