lugha

  1. JamiiForums Tanzania Baadhi ya Wafanyakazi kwenye ofisi za TRA Kibo (Tegeta Branch) wana lugha chafu sana

    Jana nilikwenda kulipa kodi za biashara za Wazazi wangu ili kupata clearance na leseni kwenye ofisi niliyoitaja ila nilichokutana nacho kilinifedhehesha sana. Niweke wazi kuwa ofisi hiyo ina wahudumu wazuri sana na wanaosali wateja ila huyu Dada niliyekutana naye alinikera sana kwa lugha yake...
  2. M

    JamiiForums Tanzania NMB yampongeza Saniniu kwa lugha ya kimasai

    Hakika ule msemo wa pesa sabuni ya roho umejidhihirisha baada ya Bilionea Laizer kupongezwa kimasai na Benki ya NMB wakionyesha heshima kubwa kwake. Pata pesa benki zikufate popote ulipo tena kwa kutumia lugha yako.
  3. JamiiForums Tanzania Je, wajua matumizi ya "A" na "THE" katika lugha ya kiingereza?

    Maneno "a" pamoja na "the" ni kifungu cha mameno ambayo huwa yanatumika kama utambulisho wa nomino katika lugha ya kiingereza .utofauti wa haya maneno mawili ni: "A" hutumika kutambulisha nomino ambayo haina umbo maalum.kwa mfano:- tuchukue nomino ambayo haina umbo maalum kama "maji" basi...
  4. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Dkt. Ryoba: TBC itaonyesha mikutano ya kampeni ya vyama vyote vya siasa, wanasiasa watumie lugha za staha

    Mkurugenzi wa TBC Dkt. Ryoba amesema shirika lake litaonesha mikutano ya vyama vyote vya siasa wakati wa kampeni. Dr Ryoba amewataka viongozi wa kisiasa kutumia lugha za staha na kuzingatia maadili ya viongozi. Kadhalika Dr Ryoba amesema atakuwa na kikao na viongozi wa vyama vya siasa ili...
  5. JamiiForums Tanzania Serikali tunawaomba muifanye lugha ya Kigogo iwe lugha ya pili ya Taifa la Tanzania, kwa sababu hizi

    Kigogo ni lugha ya Wagogo toka Dodoma, sababu zinazopelekea kuipendekeza lugha hii kuwa lugha ya Taifa ni: Kwanza ina kitu tunachoita Yodo, kisomi Yodo ni hali ya muziki wa utulivu toka nyimbo za Afrika Kusini, Wanyakyusa, Wanaigeria na nyimbo za marehemu Komba. Pili wanaozungumza Kiswahili...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Afrika Mashariki na unafiki wa kuienzi lugha ya Kiswahili

    Kwa muda mrefu kumekua na makelele mengi ya kuienzi lugha yetu adhimu ya Kiswahili hapa Afrika Mashariki. Bila shaka Tanzania inaongoza katika hizo harakati. Pamoja na makelele hayo, jitihada zinazofanyika ni ndogo kulinganisha na kile kinachopaswa kufanyika. Tuanzie Tanzania. Lugha yetu ya...
  7. JamiiForums Tanzania Kuhusu Web Series ya 'We Men'

    'We Men' ni series mpya ya Kitanzania inayoonyeshwa kwenye Instagram page ya Maxrioba. Maudhui yake ni ya mapenzi (kama kawa). Kwa story nzima mnaweza kwenda kuiangalia huko Instagram. Technically hii series wanajitahidi. Hapa ninaongelea rangi ya picha, mwanga, namna shots na scene...
  8. JamiiForums Tanzania TL na JP Tutawafanyia Mdahalo kwa lugha yakingereza ili kupata kufahamu uwezo wenu

    JP na Tl , Tuwafanyia mdahalo ili kuweza kupata , lengo na dhumuni lakuitaka nafasi hii nyeti ya JMT , Nb mdahalo utaongozwa kwa lugha ya Kingereza tupu.
  9. JamiiForums Tanzania Tumia WhatsApp na Apps nyingine katika Kiswahili

    Hapa ningependa kuonyesha jinsi ya kubadilisha lugha ya simu yako ili uweze kutumia apps nyingi kupitia lugha yetu ya Kiswahili. Nimerekodi video ya njia ya kufuatwa ili lugha ibadilishwe, iwapo ungependa kutazama jinsi inavyofanywa. Kwa anayependa kufuata maelezo badala ya kutazama video...
  10. JamiiForums Tanzania How close is your bantu language to Swahili

    Je, Kiswahili kinakaribiana na lugha yako vipi ? Kwa lugha yetu (Ki-embu/Ki-Kuyu).. Maneno ya kawaida Mtu - Mundu Kiti - Giti Meza - Metha Kijiko - Giciko Kitanda - Gitanda Nyumba - Nyumba Viatu - Iratu Maji - Mai Sentensi Kuja hapa - uka ava/Uka haha Maneno ya lugha yenu ya Ki-Bantu...
  11. JamiiForums Tanzania Kuna lugha tano za mapenzi, unaijua ya mpenzi wako?

    "Kwanini uliachana na 'ingiza jina'?"... "Ah tulikuwa hatuendani tu" Ushawahi kujikuta kwenye scenario hiyo? Unaweza kumfanyia mpenzi wako kila jambo uonalo ni jema kwake na bado akakuacha au akatoka nje ya penzi lenu(cheating). Unabaki kusema "Nilikuwa nampa pesa, zawadi, na kumhakikishia...
  12. JamiiForums Tanzania Kwanini watanzania hasa waliosomea Lugha wanashindwa kuchangamkia fursa za kazi za ualimu wa Kiswahili, Kiingereza na utafsiri wa lugha nchini Japan

    wakuu bado lock-down inaendelea japo kuna mwanga unaanza kuonekana baada ya hotuba ya leo ya waziri wa uchumi wa hapa switzerland bwana Guy Parmelin kuonesha matumaini ya kulegezwa kwa masharti katika phase ijayo ya kupambana na huu ugonjwa. Turudi kwenye tafakuri ya leo kama heading...
  13. JamiiForums Tanzania Kwanini wahitimu wengi nchini Tanzania lugha ya Kiingereza ni tatizo! Hii ni hadi kwa waalimu na viongozi wakubwa tu!

    Habari wakuu Mimi binafsi nimejaribu kuangalia mwenendo wa watanzania, elimu yetu na kujua lugha ya kimataifa (Kiingereza) ambaya usipoijua kwa dunia hii ya sasa basi unapoteza fursa nyingi sana hapa duniani na kuonekana mtu ambaye hujasoma (kukaza) (,"kitu ambacho sio kweli kwa upande...
  14. JamiiForums Tanzania Serikali lugha gongana: Wizara ya Afya inakataza matumizi ya barakoa za nguo kujilinda na COVID-19, Wizara ya Viwanda yahimiza zitengenezwe kwa wingi

    Yaani nchi hii ni pasua kichwa. Makosa yaliyofanywa na kina JK, Oktoba 2015 ni dhambi kubwa sana ambayo sidhani kama Mungu atawasamehe. Pathetic!!
  15. J

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Rais Magufuli yawa "Lulu" duniani kote, Wachina na Wahindi wataka itafsiriwe kwa lugha za mataifa yao

    Haya ninayoyashuhudia kwenye mitandao ikiwa ni comments ya wana Afrika mashariki walioko sehemu tofauti tofauti duniani yanaiingiza Tanzania katika historia mpya. Kwanza watu wengi wamefuatilia hotuba ya Rais Magufuli iliyorekodiwa na kuwekwa mitandaoni. Na wengi wameusifu utafiti uliofanywa na...
  16. JamiiForums Tanzania Kiswahili cha Kisiasa Kwa Watanzania: Ikulu sio Eneo Specific, ni Makazi ya Rais, Tuna Ikulu ya Magogoni, Chamwino, Sasa Hadi Ikulu ya Chato!

    Wanabodi, Salaam, Neno "Mjinga" ni tukano, ila sio tusi!. Mtu kuwa mjinga ni ile hali ya kutokujua. Hivyo mtu akikuita mjinga, anamaanisha wewe hujui kitu fulani anachokuitia mjinga. Ukiwa hujui kitu fulani na ukaitwa mjinga, hujatukanwa bali umeambiwa ukweli kuhusu hali ya kutokujua kwako...
  17. JamiiForums Tanzania Taarifa Kuhusu Coronavirus #COVID-19 Kwa Lugha ya Alama ya Tanzania (LAT)

    Habari! Kupitia Ukurasa Huu utaweza Kupata taarifa mbalimbali Kuhusiana na Ugonjwa wa Coronavirus #COVID-19. Lengo ni kuhakikisha hakuna kundi litakaloachwa nyuma katika kupatta taarifa.
  18. F

    JamiiForums Tanzania Hivi kiswahili sahihi ni osha mikono au nawa mikono? Naona kama tunakosea lugha

    Tangu ujio wa corona au covid 19, kumekuwa na matumizi ya neno osha mikono. Mimi navyojua kuosha inahusisha vyombo na viungo nusu vya binadamu tunatumia Nawa. Ikiwa ni mwili mzima tunatumia neno Oga. Kwa nguo tunatumia neno Fua. Wadau naomba mnitoe matongotongo kwa wale wajuvi wa lugha adhimu...
  19. JamiiForums Tanzania Jifunze lugha ya kichina - Darasa huru

    Somo la kwanza. (haya maneno mda mwingi tunayatumia unapokutana na mtu) Hujambo nĭ hăo 你好 Habari ya asubuhi zăo shang hăo 早上好 Habari ya mchana xià wŭ hăo 下午好 Habari ya jioni wăn shàng hăo 晚上好 Usiku mwema wăn shàng hăo 晚上好 Jina lako ni nani? nĭ de míng zi shì shén me 你的名字是什么? Jina langu...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Hivi "COVID-19", ni neno la kingereza au ni lugha ya kitaalamu?

    Kuna mtu(kiongozi) nimemsikia akisema covid-19 ni term(neno) la kingereza. Swali :neno hili ni neno la kingereza au hii ni lugha ya kitaalamu inayotumika ku-name virusi wa corona? Tusaidiane.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…