Hotuba ya Rais Magufuli yawa "Lulu" duniani kote, Wachina na Wahindi wataka itafsiriwe kwa lugha za mataifa yao

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
49,614
2,000
Haya ninayoyashuhudia kwenye mitandao ikiwa ni comments ya wana Afrika mashariki walioko sehemu tofauti tofauti duniani yanaiingiza Tanzania katika historia mpya.

Kwanza watu wengi wamefuatilia hotuba ya Rais Magufuli iliyorekodiwa na kuwekwa mitandaoni. Na wengi wameusifu utafiti uliofanywa na timu ya Dr Magufuli. Baadhi ya watu kutoka China na India wameomba hotuba hiyo itafsiriwe kwa lugha za mataifa yao ili ikawanufaishe watu wengi zaidi katika nchi zao.

Mjini Mombasa, Kenya hotuba hiyo ya Rais Magufuli imezuwa gumzo kubwa na wengi wamekubaliana na Rais Magufuli juu ya wasiwasi wa ubora wa vifaa. Mombasa wanaingia katika zoezi la mass testing lakini wananchi wanataka waelimishwe zaidi kabla ya kupimwa.

Maendeleo hayana vyama!
 
denooJ

JF-Expert Member
Mar 31, 2020
8,349
2,000
Tanzania tunazidi kuonekana kichwa cha mwendawazimu, kufanyia test mapapai yakakutwa positive kuna athari kubwa mbele ya safari.

Wengi wataugulia majumbani wakiamini Corona ni ugonjwa wa kawaida, wataambukiza wengi zaidi, na watakufa wengi pia.

Nchi zote duniani zinakabiliana na hili janga scientifically, nchi zote zimepoteza watu wake, but sisi bado hatujawa tayari kukubaliana na huu ukweli, kila siku tunadanganyana kwa kutafuta sababu nyepesi kulazimisha Corona ionekane sio tatizo, ulimwengu wote lazima utushangae.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
gm man

JF-Expert Member
Nov 26, 2017
1,179
2,000
Haya ninayoyashuhudia kwenye mitandao ikiwa ni comments ya wana Afrika mashariki walioko sehemu tofauti tofauti duniani yanaiingiza Tanzania katika historia mpya.

Kwanza watu wengi wamefuatilia hotuba ya Rais Magufuli iliyorekodiwa na kuwekwa mitandaoni. Na wengi wameusifu utafiti uliofanywa na timu ya Dr Magufuli.
Baadhi ya watu kutoka China na India wameomba hotuba hiyo itafsiriwe kwa lugha za mataifa yao ili ikawanufaishe watu wengi zaidi katika nchi zao.

Mjini Mombasa, Kenya hotuba hiyo ya Rais Magufuli imezuwa gumzo kubwa na wengi wamekubaliana na Rais Magufuli juu ya wasiwasi wa ubora wa vifas.
Mombasa wanaingia katika zoezi la mass testing lakini wananchi wanataka waelimishwe zaidi kabla ya kupimwa.

Maendeleo hayana vyama!
Mkuu

Kuhusu ubora wa vifaa ni mataifa mengi yamelalamika haswa vifaa kutoka China

Na Nakumbuka wakati Msaada wa Jack ma ulivokuja kuna mtu alisema pamoja na kushukuru kwa Msaada lkn ni lazima Tuwe makini na Hivyo vifaa Kwa kuvitest ukizingatia tayariii Spain alikuwa kashalalamika juu ya vifaa from China

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mtembea kwa miguu

JF-Expert Member
Mar 23, 2012
1,119
2,000
Hata rais wa Belarus aliyesema dawa ya corona ni vodka hotuba yake ilisambaa sana duniani. Usisahau yule wa Brazil aliyesema korona ni kama faua tu watu wachake kazi, kwa sasa anahaha anasema nae ni mfu mtalajiwa hana cha kulaumiwa.

Inshu sio kuonekana lulu, inshu ni nini umeongea ukiwa kama nani. Kwa hotuba hii ya kupima akina Elizabeth Anne + covid itasambaa kwa zaidi ya mataifa asilimia 95% duniani.
 
ngaiwoye

JF-Expert Member
Aug 26, 2014
887
1,000
Haya ninayoyashuhudia kwenye mitandao ikiwa ni comments ya wana Afrika mashariki walioko sehemu tofauti tofauti duniani yanaiingiza Tanzania katika historia mpya.

Kwanza watu wengi wamefuatilia hotuba ya Rais Magufuli iliyorekodiwa na kuwekwa mitandaoni. Na wengi wameusifu utafiti uliofanywa na timu ya Dr Magufuli.
Baadhi ya watu kutoka China na India wameomba hotuba hiyo itafsiriwe kwa lugha za mataifa yao ili ikawanufaishe watu wengi zaidi katika nchi zao.

Mjini Mombasa, Kenya hotuba hiyo ya Rais Magufuli imezuwa gumzo kubwa na wengi wamekubaliana na Rais Magufuli juu ya wasiwasi wa ubora wa vifas.
Mombasa wanaingia katika zoezi la mass testing lakini wananchi wanataka waelimishwe zaidi kabla ya kupimwa.

Maendeleo hayana vyama!
Kuhusu swala la vifaa kua duni nchi nyingi pia zimelalamika. Namuunga Raisi wangu mkono %. Serkali ipo macho usiku na mchana, huduma mahospitalini na kila mahali zinapatikana. Sasa sijui hao wanaotaka lockdown Wana shida gani haswa kwenye bongo zao. TUFATE taratibu za kujikinga na huu ugonjwa na tumuunge mkono Mh. Raisi wetu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom