lugha

  1. JamiiForums Tanzania Buriani Rais Magufuli - Kiswahili ni lugha ngumu

    Salaam! Tarehe 26/03/2021 Ni siku ya Kumpumzisha Aliyekuwa Rais wetu John Pombe Magufuli huko kwao Chato. Nawapongeza sana JamiiForums Facebook page kwa Kuelewa na Kumuenzi kwa Nukuuu Nkutu alizowahi kuzisema wakati wa uhai wake. Na moja ya nukuu hizo ina maneno haya "Siku moja mtanikumbuka...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Mtalamu waa lugha za Congo

    Naomba tafsiri ya nyimbo hizi za mtaalam Fally Ipupa 1. Ecole 2. Allo telephone.
  3. JamiiForums Tanzania Hivi utamuambiaje mtu nimekumis kwa Lugha ya kiswahili?

    Hapo vip!! Nimejaribu kutafuta neno la kiswahili lakutumia badala ya hili ya kingereza la nimekumis...ni neno gani la kiswahi utaliweka liwe mbadala ya nimekumiss..
  4. JamiiForums Tanzania Nini husaidia wazungu wanaokaa miaka 3, kujua Kiswahili mpaka lugha za kikabila ila wahindi waliozaliwa hapa wasijue hata kiswahili vizuri?

    Hili swali huwa linanishangaza sana! Muhindi ana zaidi hata ya miaka 30 au amezaliwa na kuzeekea hapa ila kuongea kiswahili kwa ufasaha ni shida kubwa. Ila wazungu wanaokuja kwenye miradi au shughuli zingine kwa miaka mitano tu eneo analofanyia kazi ataijua lugha hiyo kwa muda mfupi, hata kama...
  5. JamiiForums Tanzania Yanga kimeumana, hatimaye tumeanza kunena lugha moja

  6. B

    JamiiForums Tanzania Tujikite kwenye Kiswahili au tujifunze lugha za kimataifa?

    Tatizo la lugha linaendana na uwezo wa kiuchumi na ukubwa wa idadi ya watu wanaozungumza lugha husika. Tanzania tumeanza kupigania lugha ya Kiswahili itambulike Duniani lakini tunapaswa kujiuliza tatizo ni lugha au tatizo ni kukuza uchumi? China wapo wengi lakini maamuzi na mikataba au sheria...
  7. JamiiForums Tanzania HOJA: Je, umahiri wa lugha ya kigeni ni kipimo cha akili?

    Kumekuwa na hoja miongoni mwetu Watanzania kuhusu matumizi ya lugha za kigeni hasa Kiingereza kutumika kama kipimo cha mtu mwenye uwezo mkubwa wa akili. Je, hoja hii ikoje? na ina ukweli kiasi gani? HOJA NAZOWAZA ZITHIBITISHE KWAMBA KUJUA KIINGEREZA SIO KUWA NA AKILI NI KAMA IFUATAVO: - Lugha...
  8. JamiiForums Tanzania Kwa hoja za hawa wanazi wa CCM, ni dhahiri tumeanza kuongea lugha moja

    Rejea kichwa cha habari juu. Kwa sasa bungeni hakuna wapinzani wa kweli, kwa hoja za wabunge halisi, wanazi, wanachama kindaki ndaki, watiifu wa CCM kama Nape Mnauye, Joseph Musukuma kuhusu kufungwa kwa biashara sasa tunaelekea kwenye chumba kimoja. Hii ni dalili ya kuanza kuongea lugha moja...
  9. JamiiForums Tanzania PRESIDENTIAL MEMOIR: Rais Magufuli, baada ya kustaafu, ukipenda kuandika kitabu kama mzee Mkapa, tumia lugha ya wazalendo ya Kiswahili

    Habari zenu JamiiForums. Ninaomba kuanza kwa kunukuu maneno ya Balozi Mkuu wa lugha ya Kiswahili Mh. J.P Magufuli alipokuwa kwenye hafla moja jijini Dodoma. Mheshimiwa Rais alisema hivi “Nimefanya PHD bado wanasema sijui Kiingereza, na nikakaa mwaka mzima Uingereza, sijui nilikuwa nazungumza...
  10. JamiiForums Tanzania English iwe lugha ya kufundishia tokea chekechea

    Habari zenu wadau, Hapa mkoa wa Mwanza Shule ya Msingi Nyanza imeabadilishwa kuwa ya English medium. Ni moja ya shule za msingi kongwe hapa mjini alizoacha mkoloni mana nikipitaga hapo nje imeandikwa 1948. Mwenyewe kuna muda nikiwa primary nilikuwa naendapo kufanya mitihani ile std 7 ya...
  11. JamiiForums Tanzania Tuishie kwenye kuandika hukumu kwa lugha adhimu ya Kiswahili au twende mbali zaidi?

    TUISHIE TU KWENYE KUANDIKA HUKUMU AU TWENDE MBALI ZAIDI? Na Elius Ndabila 0768239284 Jana Mh Rais alimpongeza Jaji wa Mahakama kanda ya Msoma ambaye aliandika hukumu kwa lugha ya Kiswahili. Mh Rais hakuishia kumpongeza tu, bali jana hiyo hiyo alimteua kuwa Mhe Zepharine Nyalugenda Galeba kuwa...
  12. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amuapisha Jaji Zephrine Galeba kuwa jaji wa mahakama ya Rufaa

    Jaji wa Mahakama Kuu wa Kanda ya Musoma, Zephrine Galeba alietuliwa kuwa Jaji Mkuu wa Mahakama ya Rufaa kutokana na kuandika Kiswahili katika moja ya hukumu alizowahi kuzitoa. Leo Rais Magufuli anamuapisha rasmi Dodoma, kuwa nami kukujuza yanayojiri. === 10:22 Asubuhi: Jaji Galeba anatia saini...
  13. JamiiForums Tanzania Farsight Instutute katika lugha ya Kiswahili...

    Habari Wanajamii, Ni kwa furaha tukaribishane katika jamvi la Habari, Mafunzo na Utaalam wa 'Ukiona Mbali katika Lugha ya Kiswahili'.... Farsight Institute, ikishughulika kutoka Atlanta, GA, hivi karibuni imemtambulisha Intysam Goldsmith kwenye jukwaa la 'Uona Mbali' kama mtaarifu katika lugha...
  14. JamiiForums Tanzania Je, Lugha inayotumikwa kwenye hii video ni Kiswahili cha wapi, au ni lugha gani hii?

    Kuna baadhi ya maneno ya kiswahili yanaeleweka, lakini mengine ni mfanano na mengine ni kama kilugha, ni lugha ya wapi hii hapa bongo?
  15. JamiiForums Tanzania Kiingereza ni lugha Universal

    Kuna baadhi ya majina ya vyakula hayapo wazi kwa lugha ya kiingereza kiasi kwamba ukiulizwa kwa kushitukizwa huwezi ukajua ujibu nini. kwa mfano Ugali Unaweza ukaongezea mifano mingine hapo china na majina yake kwa kiingereza
  16. JamiiForums Tanzania Hivi Mhimili wa Mahakama kipaumbele chenu kwa sasa ni kutafsiri lugha za sheria zenu na kuwa kwa Kiswahili?

    Katika nchi yetu kila mwaka huwa tunakuwa na wiki moja ambayo huwa tunaiita ni wiki ya sheria nchini, ambapo tumeianza rasmi tarehe 24/1/2021 na kilele chake kitakuwa tarehe 1/2/2021. Ninajua kumekuwa na juhudi kubwa sana toka kwenye mhimili mmoja ambao ni serikali "kuulazimisha"...
  17. JamiiForums Tanzania Bwana Freeman Mbowe, tumia lugha ya staha unapoishauri Serikali ya Rais Magufuli dhidi ya COVID19

    Salaam Wana JF, Kupitia ukurasa wa twitter Bwana Freeman Mbowe ambaye ni Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo" CHADEMA" ametumia haki yake ya Kikatiba kushambulia serikali hasa kiongozi wa nchi juu ya hatua zinazochukuliwa dhidi ya Covid19, Ukweli ni kwamba Bwana Mbowe ameshindwa...
  18. JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais aagiza kumbukumbu zote za Serikali ziandikwe kwa lugha ya Kiswahili

    MAKAMU wa Rais, Samia Suluhu Hassan, amesema mkakati wa serikali ni kuhakikisha huduma na kumbukumbu zote muhimu za nchi zinatolewa kwa lugha ya Kiswahili na akahimiza haja ya mamlaka kuja na Sera ya Kiswahili. Aidha, Rais John Magufuli leo anatunukiwa tuzo maalumu ya Shaaban Robert kutokana na...
  19. JamiiForums Tanzania Anayehitaji kufundishwa lugha ya kingereza kuongea na kuandika tuwasiliane

    Kama tujuavyo Teknolojia inaturahishia kujifunza Mambo mbali Bila kukaa darasani, Hivyo Basi kwa yule ambaye atahitaji kujifunza lugha Hii adhimu kwa ajili ya mahitaji yake Binafsi kama vile biashara, masomo , mahusiano , dini n.k Basi tuwasiliane PM, Masomo Yetu yako kwa njia ya WhatsApp na...
  20. JamiiForums Tanzania Reed_blowz: Msanii kutoka Mayote anaeimba kwa lugha ya Shimaoré, yenye asili ya Kiswahili

    Nimeisikiliza nyimbo ya Huyu jamaa inaitwa TSENA na nilichoshangaa ni kwamba humo ndani kuna Maneno ambayo yanafanana na kiswahili na baada ya uchunguzi wangu mdogo nikagundua jamaa anaongea Lugha inayoitwa Shimaore ambayo asili yake ni lugha ya Kiswahili. Enjoy
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…