laini

  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Polisi yatoa tahadhari, baadhi ya mawakala wanaosajili laini mtaani ni matapeli

    Msemaji wa Jeshi la Polisi Tanzania, SACP David Misime Akitoa darasa kwa Maafisa Polisi Jamii na Polisi Kata kutoka Kanda Maalum ya Dar es Salaam pamoja na wengine kutoka Kibaha na Mkuranga, Msemaji wa Jeshi la Polisi Tanzania, SACP David Misime amezungumzia utapeli wa mitandao unaofanyika...
  2. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Mnaotumia simu ya laini moja na kutembea na ya ziada kwa laini ya pili huwa hamuoni unafuu kutumia simu zenye laini 2?

    Kibongo bongo hapa wengi wetu huwa tuna laini mbili, hivyo kuwa na simu yenye laini 2 hupunguza mzigo wa kubeba simu ya ziada. Binafsi kigezo cha kwanza kabisa kwenye kununua simu yangu huwa inabdi ijitosheleze kwenye suala la kuwa na laini mbili. Simu zenye laini mbili si kama wengi...
  3. Heparin

    JamiiForums Tanzania Unazungumziaje hali ya Utapeli unaofanyika kwa njia ya Simu baada ya kuzimwa kwa laini zisizohakikiwa?

    Kwa mujibu wa ripoti ya TCRA ya robo ya nne ya mwaka, hadi Desemba 2022 mitandao ya simu nchini ilikuwa imesajili jumla ya laini milioni 60.277. Laini hizo ni sawa na ongezeko la asilimia 4 ikilinganishwa na zile milioni 58.1 waliokuwapo mwisho war obo ya tatu ya mwaka 2022 yaani Septemba...
  4. BARD AI

    JamiiForums Tanzania TCRA yafungia Laini za Simu 900,000 zisizo na Usajili wa Alama za Vidole

    Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amesema hadi kufikia Jumanne, Februari 14, 2023, Jumla ya laini za simu 900,000 ambazo hazikuwa na Usajili Rasmi wa Alama za Vidole na Kitambulisho cha Taifa, zilikuwa zimefungiwa mawasiliano.
  5. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Laini za Simu Milioni 1.9 zisizo na Usajili Rasmi kuzimwa leo Februari 13, 2023

    Uzimaji unazihusu Laini zote ambazo watumiaji wake hawajakamilisha Usajili kwa Alama za Vidole na Ktambulisho cha Taifa ambapo hadi kufikia Februari 5, 2023, Laini Milioni 1.92 hazikuwa na Usajili rasmi. Kwa mujibu wa Mamlaka ya Mawasiliano Nchini (TCRA), Laini za Simu zenye Usajili rasmi...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Nimehakiki laini zangu za simu nimeletewa taarifa sio za kweli kabisa

    Wanajukwaa salaam Nimehakiki laini zangu na kuomba taarifa za idadi ya laini zilizosajiliwa kupitia namba yangu ya NIDA nimegundua mapungufu yafuatayo 1: Idadi ya namba nilizoambiwa kama zimesajiliwa kupitia namba yangu ya NIDA baadhi sijawahi kuzisajili 2: Baadhi ya namba nilizoletewa...
  7. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Serikali yaongeza siku 14 za kukamilisha Usajili wa Laini za Simu

    Serikali kupitia Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imeongeza Siku 14 kutoka Januari 31, 2023 iliyopangwa kufungia Mawasiliano ya Laini za Simu mbazo hazijakamilisha usajili wa alama za Vidole na Kitambulisho cha Taifa. Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, #NapeNnauye...
  8. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Naweza kuitumia unlimited supakasi ya voda kwenye simu?

    Habari zenu, nimeona hii huduma ikiwa inajadiliwa sana humu ndani na ningependa kujua kama naweza kuitumia kwenye simu ya mkononi? Ni kwa matumizi ya familia nikiwa nyumbani hasa kuanzia mida ya jioni lakini nikiwa ofisini nataka niwe nayo.
  9. MR LINKO

    JamiiForums Tanzania Tabia ya wasajili laini kutumia vitambulisho vya watu bila wenyewe kujua kusajilia watu wengine zaidi ni hatari

    Habari wakuu natumaini mko poa wote, Iko hivi kuna kipindi nilipoteza simu yangu ya smart pamoja na laini yani niliibiwa sasa nikakaa kama mwezi maana simu nilikuwa naona sehemu ilipo nikaamini nitaipata baadae nikaja nikakata tamaa nikaona isiwe kesi ngoja nirudishe laini zangu. Siku...
  10. MOSHI UFUNDI

    JamiiForums Tanzania Nauza laini ya uwakala ya Tigo pesa

    Nauza laini ya uwakala ya Tigo pesa Bei elfu 50 (50,000/=)
  11. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Laini zisizohakikiwa kuzimwa Januari 31, 2023

    Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imesema ikifika Januari 31, 2023 namba za simu ambazo hazitakuwa zimehakikiwa zitazuiliwa kupokea na kutoa huduma za Mawasiliano. Taarifa ya Mkurugenzi Mkuu wa TCRA imesisitiza kuwa kila mtumiaji wa huduma za Mawasiliano anapaswa kutekeleza na kukamilisha...
  12. ThisisDenis

    JamiiForums Tanzania Nani anaweza kuniwezesha kupata laini za uwakala

    Ningefurahi sana kama ningeshikwa mkoni. Ili niweze pata laini za uwakala bila changamoto
  13. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Nani aliwadanganya Watanzani kuwa nyimbo laini kama za Celine Dion na Shania Twain zinaitwa blues?

    Imezoeleka kwa watanzania kuita nyimbo laini kama za wasanii hapo juu blues. Lakini ukweli ni kuwa blues ni nyimbo za aina tofauti kabisa na wala siyo laini. Na hata ukitafuta huwezi kuta wanasema Celine Dion anaimba blues. Blues ni nyimbo za kelele na ndiyo zilizaa Rock n' Roll. Ni nyimbo za...
  14. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Safaricom yatuhumiwa kubadili usajili wa laini ya mteja na kuruhusu wizi wa Tsh. Milioni 7.6

    Abdi Zeila amefungua kesi ya madai dhidi ya kampuni hiyo ya Mawasiliano akiituhumu kufanya mabadiliko hayo kitendo kilichopelekea kutolewa fedha kupitia Benki ya NCBA bila ridhaa yake. Zeila amesema wizi huo usingewezekana bila kuwepo mtu mwenye kibali cha kuifikia mifumo ya Taarifa Binafsi za...
  15. Abedkuponga

    JamiiForums Tanzania Uki-renew line ya Tigo, utaziona pesa zako?

    Naombeni mnisaidie, hivi uki renew laini ya tigo halafu tigo pesa ulikuwa na hela, je utaziona pesa zako?
  16. M

    JamiiForums Tanzania Ukistaajabu ya tozo za mabenki utaona tozo ya kuongeza salio kwenye laini za simu

    Mwigulu Nchemba na tozo nyingine tena. Tozo hii ni tozo ya laini ya simu. Yaani Ukiweka vocha tu kwenye simu yako wanakukata Tozo, licha ya ukweli kwamba kila ukiweka salio kwenye simu yako unakatwa kodi ya asilimia 18 ya VAT. Halafu Mwigulu Nchemba anakuja na habari zilezile za kodi ikajenge...
  17. Nyaka-One

    JamiiForums Tanzania Smart kitochi cha kampuni gani ni rahisi kutoa lock na kuweka laini nyingine ya kampuni tofauti?

    Wadau naomba kufahamishwa kuhusu smart kitochi ya kampuni gani ambayo nikiinunua itakuwa rahisi kutoa lock na kuweza kuweka laini ya mtandao mwingine wowote tofauti.
  18. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Tatizo la January ni mtu laini laini na legelege mno na mtu anayeingilika kirahisi

    Sekta ya nishati ni vigumu mno kunyooka ikiendelea kuongozwa na mtu laini na legelege mfano wa January Makamba. Ukweli usemwe tu Rais Samia alizingirwa na maharamia yaliyomshawishi ampe huyo bwana mdogo wizara ya nishati ili aende kulinda maslahi yao. Sekta ya nishati ni muhimu kuongozwa na...
  19. mbinda_smartphones

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale Tunauza simu aina mbalimbali

    Sony Xperia XZ1 || 4GB RAM || 64GB Storage || Free Cover & USB || Used From Dubai || Price 220,000/= Call: 0765 683 574 Instagram mbinda_smartphones
  20. Superbug

    JamiiForums Tanzania Tundu laini lenye joto natapika

    Ndio ukweli wenyewe na sina tatizo la mafuta mwilini natoka naingia natoka naingia na lia kwa raha analia kwa sauti.
Back
Top Bottom