Mnaotumia simu ya laini moja na kutembea na ya ziada kwa laini ya pili huwa hamuoni unafuu kutumia simu zenye laini 2?

sky soldier

JF-Expert Member
Mar 30, 2020
5,408
19,034
Kibongo bongo hapa wengi wetu huwa tuna laini mbili, hivyo kuwa na simu yenye laini 2 hupunguza mzigo wa kubeba simu ya ziada.

Binafsi kigezo cha kwanza kabisa kwenye kununua simu yangu huwa inabdi ijitosheleze kwenye suala la kuwa na laini mbili.

Simu zenye laini mbili si kama wengi wanavyofikiri kwamba ni za kichina tu, makampuni makubwa kama samsung, sony, iphone, n.k. nayo yana matoleo yenye laini mbili.

Sasa huwa naona wapo ambao sijui wana kiburi, ama kukosa maarifa ama fashion, mtu unakuta anatembea na simu mbili mbili, hii huwa naona ni kama mzigo.

Kwanini msirahisishe mambo kutembea na simu ina laini 2.
 
Ni rahisi simu moja inapoishiwa chaji nyingine kutumika na kufanya usikosanike hewani, wengine inatokana na nyadhifa zao, simu moja ya kazini/biashara nyingine binafsi.
 
Acha watu wawe nazo ata tatu as long as kipato Chao kinawaruhusu kutumia simu zaidi ya moja na zote brand kubwa unakuta MTU ana iphone na Samsung Kwa wakati mmoja
 
Yaaap wee kama mimi tuu..
Mi haijalishi yaani sa hvi kuwa ma simu mbili mbili siwezi kabisa..

Siwezi
nakumbuka hapo 2019 Kuna rafiki yangu alikuwa anahitaji pesa ya dharura kwa kuuza simu yake laki 2 na nusu, hii simu ilikuwa na mwezi tu aliinunua dukani laki 7.

Nilipenda camera yake, umbo lake, ubora , n.k. lakini aliponiambia ni laini 1 vibe lote likaisha.
 
Niko mbioni kumiliki simu ya laini 1 tu na backup ya simu ndogo..

Inategemeana na upendeleo wa mtu mwenyewe sio lazima na hakuna sheria dhidi ya hili swala..
 
nakumbuka hapo 2019 Kuna rafiki yangu alikuwa anahitaji pesa ya dharura kwa kuuza simu yake laki 2 na nusu, hii simu ilikuwa na mwezi tu aliinunua dukani laki 7.

Nilipenda camera yake, umbo lake, ubora , n.k. lakini aliponiambia ni laini 1 vibe lote likaisha.
Kuna watu wanafata mkumbo kwenye kuchagua simu....
Badae inakuja kuwa cost.. sasa simu laini moja ndo nini 🤓🤓🤓🤓
 
Binafsi kigezo cha kwanza kabisa kwenye kununua simu yangu huwa inabdi ijitosheleze kwenye suala la kuwa na
Hio ni binafsi sisi tunaangalia brand boss na performance ya simu
Nina chip tatu ila mostly nnayoitumia ni Moja zingine labda kwenye mambo ya miamala so hua zinakua offline
 
Battery ndio chanzo.Smartphone hazikai na chaji muda mrefu inabidi uwe na lini ya kiswaswadu ili uwa hewani muda wote
Inategemea na sim yako, me natumia Samsung inakaa charge siku 2 na muda mwingi nimewasha data naperuzi
 
Mimi nina simu 2 laini 5.
  • Simu ya kwanza laini 3,
  • simu ya pili laini 2.

Matumizi yake sasa
° Laini 2 zinajulikana na watu wote. Mojawapo ya hizi nimesajililia sehemu kama email, bank, nida, kwenye CV nk. Hizi muda mwingi hewani.
° Laini ya 3 inajulikana na watu wote isipokuwa kazini. Nikiamua, nawazimia kazini laini 2 za hapo juu halafu naendelea na mishemishe mtaani huku mawasiliano yakitumika kwa laini hii ya 3. Nikiibuka nasema nilikuwa shamba huko.
° Laini ya 4 nikitongoza demu au mtu ambaye sitaki mawasiliano naye baada ya kazi fulani mfano polisi nk. ndio nampa hiyo namba. Hiyo kuizima muda wowote sionagi kazi hata siku 5.
Hii pia ndio naitumia kama afisa ubashiri.
° Laini ya 5 ni Lipa namba. Hii simpigii mtu yeyote, hata nikipigiwa najua ni wrong number, nitajibu tu umewrong.

Nalinda sana mawasiliano.
Siwezi kumpigia mtu kwa namba ambayo haimhusu. Hata kama nimeishiwa salio na nina salio kwenye namba isiyokuhusu, nitajitahidi niunge kifurushi kwa namba husika.
 
Mimi nina simu 2 laini 5.
- Simu ya kwanza laini 3, - simu ya pili laini 2.

Matumizi yake sasa
° Laini 2 zinajulikana na watu wote. Mojawapo ya hizi nimesajililia sehemu kama email, bank, nida, kwenye CV nk. Hizi muda mwingi hewani.
° Laini ya 3 inajulikana na watu wote isipokuwa kazini. Nikiamua, nawazimia kazini laini 2 za hapo juu halafu naendelea na mishemishe mtaani huku mawasiliano yakitumika kwa laini hii ya 3. Nikiibuka nasema nilikuwa shamba huko.
° Laini ya 4 nikitongoza demu au mtu ambaye sitaki mawasiliano naye baada ya kazi fulani mfano polisi nk. ndio nampa hiyo namba. Hiyo kuizima muda wowote sionagi kazi hata siku 5.
Hii pia ndio naitumia kama afisa ubashiri.
° Laini ya 5 ni Lipa namba. Hii simpigii mtu yeyote, hata nikipigiwa najua ni wrong number, nitajibu tu umewrong.

Nalinda sana mawasiliano.
Siwezi kumpigia mtu kwa namba ambayo haimhusu. Hata kama nimeishiwa salio na nina salio kwenye namba ambayo haikuhusu, nitajitahidi niunge kifurushi kwa namba husika nipige kwa namba unayoijua.
KATAA NDOA.
Jamaa unashughuli.
 
Mimi nina simu 2 laini 5.
  • Simu ya kwanza laini 3,
  • simu ya pili laini 2.

Matumizi yake sasa
° Laini 2 zinajulikana na watu wote. Mojawapo ya hizi nimesajililia sehemu kama email, bank, nida, kwenye CV nk. Hizi muda mwingi hewani.
° Laini ya 3 inajulikana na watu wote isipokuwa kazini. Nikiamua, nawazimia kazini laini 2 za hapo juu halafu naendelea na mishemishe mtaani huku mawasiliano yakitumika kwa laini hii ya 3. Nikiibuka nasema nilikuwa shamba huko.
° Laini ya 4 nikitongoza demu au mtu ambaye sitaki mawasiliano naye baada ya kazi fulani mfano polisi nk. ndio nampa hiyo namba. Hiyo kuizima muda wowote sionagi kazi hata siku 5.
Hii pia ndio naitumia kama afisa ubashiri.
° Laini ya 5 ni Lipa namba. Hii simpigii mtu yeyote, hata nikipigiwa najua ni wrong number, nitajibu tu umewrong.

Nalinda sana mawasiliano.
Siwezi kumpigia mtu kwa namba ambayo haimhusu. Hata kama nimeishiwa salio na nina salio kwenye namba ambayo haikuhusu, nitajitahidi niunge kifurushi kwa namba husika nipige kwa namba un
Duh
Kama jambazi mzee
 
Back
Top Bottom