Ukistaajabu ya tozo za mabenki utaona tozo ya kuongeza salio kwenye laini za simu

Missile of the Nation

JF-Expert Member
May 24, 2018
13,502
51,098
Mwigulu Nchemba na tozo nyingine tena.

Tozo hii ni tozo ya laini ya simu. Yaani Ukiweka vocha tu kwenye simu yako wanakukata Tozo, licha ya ukweli kwamba kila ukiweka salio kwenye simu yako unakatwa kodi ya asilimia 18 ya VAT.

Halafu Mwigulu Nchemba anakuja na habari zilezile za kodi ikajenge shule.

Nashangaa sana, Tulichukua mkopo wa Covid tukasema zikajenge shule, Tukaweka tozo ya miamala ya simu( hizi M-Pesa, Tigo Pesa) tukasema zikajenge shule, Tumeweka tozo za miamala ya kibenki excuse ni hiyohiyo ya kujenga shule, Sasa tunaweka tozo ya kuongeza salio tunasema eti ni za kujenga shule. Nobody can buy this nonsense!

Na hoja eti zikapeleke maji vijijini, kwani hizo kodi nyingine rasmi tunazolipa kila kukicha ikiwemo income tax, PAYE, VAT, na maushuru kedekede vinafanya kazi gani?.

This is too much, naona hawa akina Muigulu wanamuingiza Samia chaka naye hajastuka. Badala ya wao kubana matumizi, badala ya kuongeza vyanzo vipya vya mapato kwa raia, wao wanaingia kuchukua kibabe katika mifuko yao kutwaa vijisenti vyao.

Msikilize huyu jamaa hapa bungeni akitangaza kuweka kodi ya kuongeza salio kwenye laini za simu.

16641763028481.jpg
 
View attachment 2369389
Wote tulioshabikia uchaguzi 2020 tuna kibarua cha kutubu kwa Mungu kwa kweli.

The dragon is unleashed and now it devour blood of our children
 
Mwigulu Nchemba na tozo nyingine tena.

Tozo hii ni tozo ya laini ya simu. Yaani Ukiweka vocha tu kwenye simu yako wanakukata Tozo, licha ya ukweli kwamba kila ukiweka salio kwenye simu yako unakatwa kodi ya asilimia 18 ya VAT.

Halafu Mwigulu Nchemba anakuja na habari zilezile za kodi ikajenge shule.
Nashangaa sana, Tulichukua mkopo wa Covid tukasema zikajenge shule, Tukaweka tozo ya miamala ya simu( hizi M-Pesa, Tigo Pesa) tukasema zikajenge shule, Tumeweka tozo za miamala ya kibenki excuse ni hiyohiyo ya kujenga shule, Sasa tunaweka tozo ya kuongeza salio tunasema eti ni za kujenga shule. Nobody can buy this nonsense!

Na hoja eti zikapeleke maji vijijini, kwani hizo kodi nyingine rasmi tunazolipa kila kukicha ikiwemo income tax, PAYE, VAT, na maushuru kedekede vinafanya kazi gani?.

This is too much, naona hawa akina Muigulu wanamuingiza Samia chaka naye hajastuka. Badala ya wao kubana matumizi, badala ya kuongeza vyanzo vipya vya mapato kwa raia, wao wanaingia kuchukua kibabe katika mifuko yao kutwaa vijisenti vyao.

Msikilize huyu jamaa hapa bungeni akitangaza kuweka kodi ya kuongeza salio kwenye laini za simu.

View attachment 2369389
Wamegundua kuwa baada ya tozo watu wakapunguzuza kutumiana pesa sasa tuone kama salio la vocha hamtaongeza.

Vv
giphy.gif
 
Uliyo andika mkuu naunga mkono hoja lakini nakuja kutofautiana na Wewe sehemu moja kusema kwamba Mwigulu anamuingiza rais Samia Chaka, unataka kusema rais wetu ni myopic leader kiasi kwamba kila ushauri yeye ni ndio pasi kushilikisha reasoning yake binafsi hasa kufanya critical thinking Kama ni hivyo nachelea kusema kwamba tuna feckless government na dipshit ndo viongozi uku wise wakiwa wafuasi.
 
Huwa wanamlinda huyo mama yao kwasababu maalumu, wana agenda za siri, wanawatumia wengine kama ngao ya kumkinga mama yao dhaifu, sasa wanamtumia Mwigulu kuficha incompetence ya Samia.

Hawa ni wanafiki wakubwa wasiofaa kuungana nao kwenye kudai haki, kwani watakuacha peke yako siku yoyote pale wanaempenda atakapoingia ikulu.
 
Umenena vema Sana ndio maana majuzi hapa rais wa Zambia kasema hilo kwamba watu wanadai kiongozi ni mzuri lakini anazungukwa na watu wabaya mwisho akasema wanao mzunguka ndio uhalisia wake mwenyewe huyo kiongozi.
 
Uliyo andika mkuu naunga mkono hoja lakini nakuja kutofautiana na Wewe sehemu moja kusema kwamba Mwigulu anamuingiza rais Samia Chaka, unataka kusema rais wetu ni myopic leader kiasi kwamba kila ushauri yeye ni ndio pasi kushilikisha reasoning yake binafsi hasa kufanya critical thinking Kama ni hivyo nachelea kusema kwamba tuna feckless government na dipshit ndo viongozi uku wise wakiwa wafuasi.
Kabisa. Mbwa akimuuma mpita njia atakaeshitakiwa ni huyo m'miliki wa mbwa na sio mbwa.
 
Back
Top Bottom