Mapendekezo ya bajeti ya 2021/2022 ni kwamba moja ya vyanzo vya fedha iwe ni kodi ya laini za simu.
Kila laini ya simu kwa mujibu wa mapendekezo yaliyosomwa na waziri wa fedha itakatwa kati ya Tshs 10/= mpk Tshs 100/= kwa kila siku. Bila kusahau VAT na makato mengine yaliyokuwepo yataendelea...
Habari wakubwa, kuna laini nilikuwa natumia ya airtel sikuisajili kwa vidole (ilifungiwa), juzi hapa nimepata namba ya NIDA sasa kabla sijaenda kuikamilisha wezi wameniibia simu ambapo hiyo laini ilikuwa ndani niliiweka tu.
Kuna uwezekano wa kurenew laini ya namna hii?
Mwanzo niliisajili kwa...
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imeondoa zuio la kampuni za simu nchini kuwatumia mawakala kusajili laini za simu mitaani.
Akizungumza Jumatano Aprili 14, 2021 mkurugenzi wa mamlaka hiyo, Dk Jabir Bakari amesema mamlaka hiyo imeondoa zuio hilo na sasa kampuni za simu zitaendelea...
Hii ni kifaa cha kampuni fulani.nimekinunua kwa hela nyingi lakini mwisho wa siku kikawa hakina kazi kutokana na mtandao husika kutokuwa na coverage kwenye remote areas.Coverage ipo mijini tu.Ni jambo la kushangaza sana katika kipindi hiki cha Sci & Tech eti mtandao unashika mjini tu.Nimeamua...
Naona Pepsi inazidi kupendwa sana na wabongo, sijui kwanini juzi kati nilikuwa Dar kama unavyojua Dar jua kali sana sehemu za vinywaji laini wengi walikuwa wanaagiza pepsi na maji.
Sasa hivi mkoa niliopo kulikuwa na sherehe mahali nami nikawepo hapo kulikuwa hamna pombe bali ni aina zote za...
Kuna promosheni pendwa sana maalufu " laini ya chuo"
Hii ni simcard iliyokuwa na lengo la kumrahisishia mwana chuo kupata mawasiliano akiwa chuoni kwa bei nafuu!
Huduma hiyo mwanzo ilihitaji kitambulisho cha chuo ili kuunganishwa kutoka mitandao yote!
Sasa hivi kila mtu hata tusiokuwa wanachuo...
Sheria ya umiliki wa laini moja ya simu kwa kila mtandao imeanza kutumika leo Julai Mosi 2020 ambapo ndio siku ya kwanza ya mwaka wa fedha wa serikali.
Hata hivyo, Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imesema kuwa sheria hiyo haimzuii mtu kumiliki laini zaidi ya moja kwa mtandao mmoja...
Wakuu heshima kwenu, kuna wakati nlisikia kuna sheria TCRA inatulazimu kuwa na ulazima wa kumiliki line moja kwa kila mtandao na mwisho ni tareh 30 Juni, 2020, hii imekaaje? Tutafungiwa laini leo?
Pata kujua jinsi watu wanavyounlock modem unakaribishwa kwa maswali na utasaidiwa.
BAADHI YA MASWALI YALIYOULIZWA NA WADAU KUHUSU JAMBO HILI
---
---
===
UFAFANUZI WA JUMLA WA NAMNA YA KUFANYA JAMBO HILI
A. Jinsi ya kuunlock modem ya E303s-1
Kwa njia hii utaweza kuunlock modem zote za...
BUNGE limebaini dosari katika utungaji wa sheria ndogo nchini, ikiwamo sheria inayoweka zuio kwa Mwananchi kuwa na laini ya simu zaidi ya moja
Akiwasilisha bungeni jijini hapa jana, taarifa ya Kamati ya Sheria Ndogo kuhusu uchambuzi wa sheria ndogo zilizowasilishwa katika mikutano ya 18 na 19...
Mchekeshaji huyu alikuwa akishikiliwa katika Kituo cha Polisi Oysterbay kwa takriban siku 8 akifanyiwa mahojiano.
Haijajulikana ni mashtaka gani atasomewa lakini kwa wa mujibu wa Polisi, walikuwa wakimuhoji kwa tuhuma za kujaribu kuharibu ushahidi na makosa mengine ya Kimtandao.
Endelea...
Habari za wakati huu,
Leo nilienda katika duka la halotel kubadilisha laini yangu kuwa ya 4G.
Sasa kutokana na simu janja yangu ninayoitumia ilikua ni ya laini moja ikabidi hii laini ya halotel niiweke kwenye simu ya hizi ndogo wengi wanaziita kiswaswadu kutokana na wakati huo nilikua sina...
Niko na bwashee Kavishe hapa ananiambia wabunge wote wa Chadema waliohamia CCM ni wale soft soft ambao hawajawahi kuwekwa mahabusu wala kulala polisi kwa sababu za kisiasa.
Bado natafakari lakini kwa haraka nakumbuka Mwita Waitara amewahi kulala mahabusu kwa siku kadhaa.
Wengine ......Ole...
Wakuu,
Baada ya kuchoshwa na usumbufu wa laini moja ya mtandao (kwa sasa sitaji jina la kampuni husika na laini hiyo), ambayo nimeisajili kwa taratibu rasmi zilizoelekezwa na TCRA; ninafikiria kwenda kuondoa/kufuta taarifa zangu nilizotumia kusajili laini hiyo kwenye kampuni mtandao husika...
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), James Kilaba amesema uzimaji wa laini za simu ambazo hazijasajiliwa kwa alama za vidole unafanyika kwa awamu kuanzia jana Jumatatu Januari 20, 2020 ili kuondoa usumbufu.
Amesema hadi jana saa nne usiku walikuwa wamezima laini 975,041...
Kwanza ni kinyume cha Katiba ya uhuru wa kupata mawasiliano, pili ni uhujumu uchumi kwa serikali yenyewe na tatu kuzuia wananchi kupata habari kupitia mitandao ya kijamii. Kesi inafunguliwa jumatatu kanda ya Dar es Salaam.
Mimi sio wakili ila nimewasiliana na mawakili wangu 3 na tunakusudia...
Kwa mujibu wa comparitech Tanzania ndio nchi inayoongoza kwa sera mbovu za usajili ambazo zinafanya mtumiaji wa simu akose faragha ya simu yake, kwa kukosa sharia zinazohusu faragha ya mtu kutumia simu,
Usajili wa kutumia alama za vidole unaofanywa pia unaongeza hatari kwa kuwa taarifa za mteja...
Hii ni hasara, laini nyingi za MPESA na TIGO pesa zilikuwa zinauzwa mtaani kwa sh 100,000 au zaidi ya hiyo, unakuta mtu kanunua laini yenye majina hata hamjui aliye isajili, wengi walifanya biashara hiyo ya MPESA na TIGO PESA kwa laini zisizo zenye majina yao, leo zimefungwa, watapata wapi laini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.