Maake hapa kwanza ncheke..!Hili neno kama ntakuwa nimekosea kuliandika pia nipo tayari kurekebishwa naomba kufahamu maana yake halisi na linatumika mazingira yapi??
Nimejaribu kugoogle sijapata na kamusi pia hakuna....Ahsanteni,Asbh Njema.
Juzi kuna mtu kanitumia ujumbe wenye maneno hayo nikaona nimuache kwanza , nadhani wale wa tyuu na xaxa wanaweza kua na majibu sahihiHili neno kama ntakuwa nimekosea kuliandika pia nipo tayari kurekebishwa naomba kufahamu maana yake halisi na linatumika mazingira yapi??
Nimejaribu kugoogle sijapata na kamusi pia hakuna....Ahsanteni,Asbh Njema.
Maana yake hapo kwanza nicheke, haya maneno yamesemwa kwenye simulizi ya watu wawili wakiwa kijiweni, anayesimulia ametoka kwenye tukio la kupigwa chenga manjagu.Hili neno kama ntakuwa nimekosea kuliandika pia nipo tayari kurekebishwa naomba kufahamu maana yake halisi na linatumika mazingira yapi??
Nimejaribu kugoogle sijapata na kamusi pia hakuna....Ahsanteni,Asbh Njema.
Hakuna neno "Maanaake" kwenye Kiswahili sanifu, bali kuna maneno mawili "Maana Yake"Manaake hapo, subiri kwanza nicheke.
Hicho ndio kiswahili sanifu.
Watu wa pwani wanaharibu kiswahili.
#MaendeleoHayanaChama
Ahaaahaah limekaa kishoga hilo nenoJuzi kuna mtu kanitumia ujumbe wenye maneno hayo nikaona nimuache kwanza , nadhani wale wa tyuu na xaxa wanaweza kua na majibu sahihi
For sureMisemo inayotumiwa na wajinga halafu ukiandikwa na mbaba anakuwa kama kubwa jinga tu