kuzuia

Kikosi Maalum cha Kuzuia Magendo Sports Club, or simply KMKM SC is a football club from Zanzibar based in Unguja.

View More On Wikipedia.org
  1. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Ni katiba mpya pekee itayoweza kuzuia ufisadi huu unaoenda kufanyika vinginevyo ni ni maumivu kwa taifa letu

    Lazima mapema iwezekanavyo tuwe na katiba mpya ambayo itaweza kumdhibiti na kumuawajibisha rais anayetumia madaraka vibaya. Rais ambaye anaweza kugeuza ikulu ni mahala pa biashara na kutumia mwanya huo kushirikiana na wajanja wachache kujitajirisha huku wananchi wakibaki na umasikini mkubwa...
  2. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania DRC yaanza kutoa chanjo ya Ebola baada ya wawili kufariki, 230 wakiambukizwa

    Mama aliye kwenye matibabu akitenganishwa na mtoto wake kutokana na kupata maambukizi ya Ebola Dozi 200 za chanjo ya Ebola zimepelekwa Nchini DR Congo na nyingine zinatarajiwa kupelekwa katika siku zijazo baada ya watu wawili kuripotiwa kufariki kwa ugonjwa huo. Shirika la Afya Duniani (WHO)...
  3. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Urusi yatishia kuzuia usambazaji wa gesi kwa mataifa mengine ya Ulaya

    Baada ya Urusi kusitisha usambazaji wa gesi kwa Nchi zaPoland na Bulgaria, sasa taifa hilo limesisitiza kuwa itafanya hivyo kwa mataifa mengine ya Ulaya ambayo hayatakubali kulipia gesi kwa fedha ya Urusi (rubles). Taarifa ya Msemaji wa Ikulu ya Urusi, Dmitry Peskov amesema uamuzi wa Urusi wa...
  4. LUKAMA

    JamiiForums Tanzania Vita vya Ukraine: Urusi yaharibu miundombinu ya reli kuzuia silaha za kigeni kuingia Ukraine

    Urusi iligonga miundombinu ya reli kote Ukraine siku ya Jumatatu kwa lengo la kuzuia usambazaji wa silaha za kigeni, huku Marekani ikitangaza kuwa itatoa silaha zaidi licha ya pingamizi la Moscow. Takriban watu watano waliuawa na 18 kujeruhiwa katika mashambulizi ya Urusi katika eneo la...
  5. Lanlady

    JamiiForums Tanzania Kama tunaamini katika kusimamisha mvua, kwanini hatukuamini katika kusimamisha covid-19?

    Mambo ya imani siku zote hayapingiki. Inawezakana ni kweli kuna wenye uwezo wa kusimamisha mvua na pia wapo wanaoamini ktk kuondoa magonjwa kwa njia ya imani. Je, kumpinga mtu katika kile anachoamini ni sawa? Je, Watanzania wote wanaamini suala la kuzuia mvua isinyeshe? Natamani kupata majibu...
  6. KENZY

    JamiiForums Tanzania Kambi za Jeshi Tanzania zina vizuizi vya kuzuia picha zipigwazo na satelite?

    Kwa sisi raia wa kawaida tumewekewa sheria kuwa haturuhusiwi kupiga picha kambi ya jeshi zaidi zile zenye taarifa muhimu za jeshi. Ndio sipingi na ni sahihi maana kwa kutumia picha tu adui anaweza kupata taarifa nyingi na ikawa ni angamizo kubwa. Hivi sasa tupo kwenye ulimwengu wa teknolojia...
  7. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuzuia tatizo la kuharisha safarini

    Tatizo la kuharisha safarini linatatiza sana na pia huabisha. Shida hii husababishwa na sumu zilizotengenezwa na bakteria au virusi uliowameza kwenye msosi. Ni jinsi gani ya kujizuia. 1. Usile vyakula vichafu hasa usiku kabla ya safari. Wengi wanaopata shida ya kuharisha safarini si sababu ya...
  8. The Assassin

    JamiiForums Tanzania Wanasayansi: Vidonge vya uzazi wa mpango kwa wanaume vina uhakika wa 99% kuzuia mimba

    Wanasayansi kutoka American Chemical Society huko nchini Marekani wamegundua ama wamefanikiwa kutengeneza dawa za uzazi wa mpango kwa wanaume ambazo zina uhakika 99% kuzuia mimba. Wanasayansi hao wanatarajia kuanza majaribio kwa binadamu mwezi June 2022 na wana matumaini kua hili litafanikiwa...
  9. Yoda

    JamiiForums Tanzania Nyuklia zina ubabe; Teknolojia ya kuzuia madhara ya silaha za nyuklia italeta mapinduzi makubwa katika uwanja wa vita

    Katika vita ya uvamizi inayoendelea kufanywa na Urusi nchini Ukraine ilifikiriwa na wengi ungekuwa uvamizi rahisi ambao ungedumu siku chache na Putin angetimiza malengo yake kwa gharama ndogo na kwa muda mfupi lakini uhalisia haujawa hivyo, jeshi la Urusi lilikouwa linaonekana kuwa imara sana...
  10. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Vita vya Ukraine: $ 1bn zatolewa kuzuia uhaba wa chakula barani Afrika

    Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) inapanga kuchangisha $1bn (£759m) katika muda wa wiki moja kusaidia uzalishaji wa kilimo barani Afrika na kulinda bara la Afrika kutokana na uhaba wa chakula unaotokana na uvamizi unaoendelea wa Urusi nchini Ukraine. Nchi nyingi za Kiafrika zinategemea...
  11. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Uswizi yatangaza kuzuia zaidi ya Tsh. Trilioni 350 za Warusi

    Jumuiya ya Wanabenki wa Uswizi imetangaza kuwa raia wa Urusi wameweka kati ya Dola bilioni 160 - 213 nchini humo. Fedha hizo ni sawa na Tsh. Trilioni 372 – 495. Mbali na #Uswizi kusifiwa kwa utunzaji wa taarifa za wateja Rais wa Nchi hiyo, Ignazio Cassis amesema watazuia fedha hizo za Rais...
  12. tutafikatu

    JamiiForums Tanzania Tanzania Tujifunze: Russia inafadhili vikundi vya mazingira, vinavyopiga kelele Ulaya na Marekani kuzuia uzalishaji nishati

    Kuna vikundi vitatu vikubwa nchi za Ulaya na Marekani, ambavyo vimekuwa vikibweka sana kuzuia miradi mikubwa ya uzalishaji nishati mbadala kwa Ulaya na Marekani ambavyo vimesababisha uzalishaji wa nishati kwa nchi hizo upungue sana, hadi kuifanya Ulaya sasa kutegemea Nishati ya Russia kwa...
  13. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Njia rahisi ya kuzuia mfumko mkubwa wa bei unaokwenda kutokea ni kupunguza zile kodi zilizowekwa kwenye mafuta

    Zipo njia kuu mbili za kuzuia bei ya mafuta isipande sana ndani ya nchi. 1. Kuchukua mafuta yaliyonunuliwa kwa bei ndogo na kuhifadhiwa, mafuta hayo unayaingiza sokoni na kuyauza kwa bei za kawaida. Hichi ndicho wamefanya US. Kwa Tanzania hili ni haliwezekani hatuna kawaida ya kuhifadhi mafuta...
  14. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kuna mteule wako anapiga simu kuzuia habari ya wananchi Kigamboni isisambae, kuna kitu hapo si bure

    Wadau nina jambo hapa tuweke siasa kando tujadili maendeleo Baada ya huu uzi hapa chini kutolewa Rais Samia wasaidie wananchi hawa wa Kigamboni kuna wakubwa ‘wanawapiga’ katika ardhi yao Inaelezwa kuwa kuna kigogo mmoja pande za kule kwenye kuvuka maji kule, Kigamboni anahaha kupiga simu...
  15. MK254

    JamiiForums Tanzania Wananchi wa Ukraine wajazana barabarani kuzuia misafara ya Urusi, waamua kujitoa mhanga kutetea bendera yao

    Kadiri Urusi inashindwa kuteka Kiev ndio wananchi wanapata ujasiri na kuwa sugu. Putin ana shida maana itabidi aue hadi wananchi kwenye nchi yao...
  16. L

    JamiiForums Tanzania Vyoo vya kisasa vinavyohamishika vyasaidia kuzuia maambukizi ya virusi kwenye Michezo ya Olimpiki ya Beijing

    Teknolojia zimetoa mchango mkubwa kwenye mapambano ya China dhidi ya janga la virusi, hasa kwenye kipindi ambacho inakuwa mwenyeji wa Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi ya Beijing. Vyoo vya kisasa vinavyohamishika vimekuwa sifa maalumu ya mfumo wa mzunguko uliofungwa kwenye michezo hiyo...
  17. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Madhara ya kidonge cha kuzuia mimba (P2), hakifai kwa kila mtu

    Vidonge vinavyofahamika kama P2 au vidonge vya asubuhi ni miongoni mwa aina ya udhibiti wa kuzuia mimba. Mtandao wa kliniki ya Mayo inafafanua kuhusu vidonge hivi; Uzazi wa mpango wa dharura ni chaguo bora kwa kuzuia mimba baada ya kujamiiana bila kinga, lakini haifai kama njia zingine za...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuzuia makelele ya muziki wa juu kutoka kwa majirani...

    Kuna jirani zangu wanapiga mziki kwa kutumia spika kubwa saana kila mwisho wa wiki. Naomba ushauri wenu kama kuna jinsi ya kufanya jambo la kuingilia/kuzuia makele ya mziki wao bila wao kujua..manake nimajribu kuongea nao hatuelewani....niliwahi kuambiwa kwamba kuna vifaa ukifunga vinaingiliana...
  19. dmketo

    JamiiForums Tanzania Msaada wa dawa ya kuzuia magugu: Rilo R500

    Habari wanajamvi. Kama kichwa cha bandiko langu linavyosomeka. Mimi ni mkulima wa Mpunga bonde la Usangu, nina uhitaji wa dawa ya kusindika magugu iitwayo Rilo R500. Naomba msaada mwenye kujua wapi naweza kupata dawa hii. Natanguliza shukrani zangu za dhati.
  20. Tony254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tit for Tat. Baada ya Kenya kuzuia ndege za UAE kutua Kenya, UAE wameamua kuondoa marufuku waliokuwa wameweka dhidi ya ndege zinazotokea Kenya

    Wivu battalion ya TZ ilikuwa inasema kwamba kitendo cha Kenya kulipiza kisasi kwa kuzuia ndege za UAE kutua Kenya haijazaa matunda. Hio ni uongo kwa sababu UAE wameamua kuondoa marufuku waliyokuwa wamewekea ndege kutoka Kenya. Mimi kutoka mwanzoni nilisema hawa wajinga waarabu wanastahili...
Back
Top Bottom