Uswizi yatangaza kuzuia zaidi ya Tsh. Trilioni 350 za Warusi

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
5,009
9,874
Jumuiya ya Wanabenki wa Uswizi imetangaza kuwa raia wa Urusi wameweka kati ya Dola bilioni 160 - 213 nchini humo. Fedha hizo ni sawa na Tsh. Trilioni 372 – 495.

Mbali na #Uswizi kusifiwa kwa utunzaji wa taarifa za wateja Rais wa Nchi hiyo, Ignazio Cassis amesema watazuia fedha hizo za Rais Vladimir Putin, wanasiasa na wafanyabiashara.

Urusi imewekewa vikwazo na Jumuiya ya Ulaya (EU) kutokana na mashambulio ambayo #Urusi ameendelea kuyatekeleza dhidi ya #Ukraine
===

Swiss banks disclose how much Russian money they hold

The Swiss Bankers Association revealed there’s around $160-$213bn of Russian clients’ money held in Swiss accounts.

Swiss banks are usually prized for their anonymity and safety, the rare estimation of holdings by Russian clients being made amid sanctions slapped on Moscow.

Setting aside the tradition of neutrality, President Ignazio Cassis announced that Switzerland would freeze the assets of Russian President Vladimir Putin and 370 politicians and businessmen sanctioned by the EU.

Subscribe to RT t.me/rtnews
 
Putin anajifanya mzalendo kumbe kaficha pesa nchi za watu!?
 
STRUGGLE MAN sijui atachangiaje hapa kwasabab ana residence ya uswis na pia ni pro kremlin.

Ila hii hatia za magharib kuzuia mali na asset za watu siyo vizuri. Watu wamepambana kutafuta hela na mali kwa nguvu, bidii na akili halafu ghafla tu unawapora.
 
Mzozo wa Urusi na Ukraine: Sheria tata ya Putin ya kutorudisha zaidi ya ndege 500 za kibiashara kwa nchi za Magharibi​

17 Machi 2022
avion

Urusi inalipiza dhidi ya vikwazo vilivyowekwa na nchi za Magharibi.
Rais Vladimir Putin alitia saini sheria Jumanne kuzuia makampuni ya kigeni yaliyokodisha ndege zao kutoka Urusi kuzichukua tena.
Uamuzi huo umekuja baada ya makampuni kadhaa kuitaka Moscow kurudisha ndege walizokodi, ikiwa ni sehemu ya vikwazo vilivyowekwa na nchi za Magharibi baada ya uvamizi wa Urusi nchini Ukraine.
Na ni kwamba karibu 75% ya ndege zinazotumiwa na mashirika ya ndege ya Kirusi hukodishwa, kulingana na data rasmi, kwa jumla ya ndege 515 zenye thamani ya zaidi ya dola za Marekani milioni 10,000. 🤣🤣🤣
 
sasa Hela za Warusi na vita vinahusiana nini au ndio kufa kufaana mnataka muwadhulumu hela zao ?
 
Back
Top Bottom