Jinsi ya kuzuia makelele ya muziki wa juu kutoka kwa majirani...

kasenene

JF-Expert Member
Jun 6, 2008
1,632
2,413
Kuna jirani zangu wanapiga mziki kwa kutumia spika kubwa saana kila mwisho wa wiki. Naomba ushauri wenu kama kuna jinsi ya kufanya jambo la kuingilia/kuzuia makele ya mziki wao bila wao kujua..manake nimajribu kuongea nao hatuelewani....niliwahi kuambiwa kwamba kuna vifaa ukifunga vinaingiliana na muziki wao na kutoa mlio wa ajabu...naomba ushauri
 
Nunua wakwako uwapigie siku za katikati ya wiki
 
Undava undava.
IMG_20220105_130405.jpg
 
Kiboko ya hayo makelele ni zile spika za Kwenye mashughuli ya kislamu(makawa) zile kukodisha pamoja na amplifier yake ni buku 8 tu,Sasa ile unaiunganisha na deki,au pc Kisha unaweka zile sauti za ving'ora Mara ambulance hapo lazima wasande.
 
Back
Top Bottom