Wanasayansi: Vidonge vya uzazi wa mpango kwa wanaume vina uhakika wa 99% kuzuia mimba

The Assassin

JF-Expert Member
Oct 30, 2018
4,355
17,321
Wanasayansi kutoka American Chemical Society huko nchini Marekani wamegundua ama wamefanikiwa kutengeneza dawa za uzazi wa mpango kwa wanaume ambazo zina uhakika 99% kuzuia mimba.

Wanasayansi hao wanatarajia kuanza majaribio kwa binadamu mwezi June 2022 na wana matumaini kua hili litafanikiwa kwani limefanikiwa kwa panya kwa 99%.

Wanasema njia hii ni hakika zaidi ya kuzuia mimba na kuondoa migogoro ya uzazi usiotarajiwa.

Soma hapa

=======

Contraceptive pill for males is 99% effective in preventing pregnancy
Alexander Martin

A new birth control pill for males has been found to be 99% effective in preventing pregnancy in tests in mice.

The breakthrough medication could bring balance to the contraceptive burden, with far fewer options available to men.

Presenting their findings at the spring meeting of the American Chemical Society on Wednesday, scientists will announce the creation of a new non-hormonal male contraceptive pill that effectively prevents pregnancy in mice without obvious side-effects.

While women can take several pills or use patches or intrauterine devices, men only have access to single-use condoms which are prone to failure and largely irreversible vasectomies.

Vasectomies are surgical procedures which can potentially be reversed, but are generally considered a permanent form of male sterilisation.

The reversal surgery is "expensive and not always successful", the researchers said, showing the need for "an effective, long-lasting but reversible contraceptive, similar to the birth control pill for women".

"Scientists have been trying for decades to develop an effective male oral contraceptive, but there are still no approved pills on the market," Dr Abdullah Al Noman, who is presenting the work at the meeting, said.

There are several compounds undergoing clinical trials but they target the male sex hormone testosterone, which could cause weight gain, depression and other side-effects.

"We wanted to develop a non-hormonal male contraceptive to avoid these side effects," Dr Noman, a graduate student in the Gunda Georg laboratory at the University of Minnesota, said.

The team hopes to begin human clinical trials in the second half of this year.

Dr Georg, head of the medicinal chemistry department at the university, said: "Because it can be difficult to predict if a compound that looks good in animal studies will also pan out in human trials, we’re currently exploring other compounds as well."

Source: Sky News
 
Mdogo mdogo wanataka kutuhasi sio, wamewakorokocha wanawake zetu wameona haitoshi, wamerudi kwetu, pumbavu zao!!
 
Yaani na mie ninywe madonge sijui ya kuzuia....vitu vya ajabu sana.Halafu,unawezaje kuzuia kitu ambacho huwezi kuwa nacho mimi na mimba wapi na wapi waseme ni madonge ya kuzuia uzalishaji wa mbegu tungewaelewa ila si kuzuia mimba sisi wanaume hatupati mimba hivyo hatuhitaji kuzuia
 
Wanaume tunataka watoto tu, hapa nimeanza tu safari nina watoto wanne, uchoyo wa watu wa Ulaya kuzaa, kumewafanya watu weupe kuwa hatarini kutoweka miaka ijayo, maana waarabu walioenda ulaya ndio wanazaa na kushika ofisi nyingi ambazo zimekosa watenda kazi kwa sababu ya kupungua nguvu kazi. TUZAE NA TULEE JAMANI.
 
Hivi kuna mwanaume mwenye akili timamu anaweza kunywa hizo takataka? Bora utumie mpira tu au umwagie nje

 
Na serikali ilivyo utashangaa wanavileta 🤣

Kitaumana kwenye kunywa Sasa nani anywe?
 
Dah. Mungu endelea kuwabariki wadhungu...wanazidi kitupa raha haoa duniani. Hapa sasa ni kugegeda kwa kwenda mbele....ni kukojolea ndani tuu mademu wapate raha ya shahawa motomoto
 
Back
Top Bottom