kuuza

  1. CM 1774858

    JamiiForums Tanzania Tanzania nchi ya umeme wa bei chee zaidi EAC

    Tanzania yatajwa kuwa ndio nchi yenye umeme wa bei chee zaidi Africa mashariki || Rwanda yatajwa kuuza umeme bei ya ghali zaidi nchi za maziwa makuu, " Hakuna kama Samaia " Tanzania baada kutajwa kama nchi yenye gharama ndogo ya mafuta ya taa, Petroli na dizeli ukiilinganisha na nchi zingine...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Je, unatafuta Investors au Masoko Kuuza Bidhaa nje?

    Kama wewe ni mjasiriamali au mfanyabiashara na unatafuta wawekezaji wa ndani au nje ya nchi, karibu tukupatie ushauri na fursa ya kuuza wazo lako kwa wawekezaji. Pia ikiwa unatafuta masoko ya nje kwa bidhaa zako, pia tutakupa ushauri, muongozo na kukutafutia wanunuzi wa nje kwa bidhaa...
  3. Dizasta Vina

    JamiiForums Tanzania SoC01 Biashara ya kuuza Matumaini

    HITAJI LA MATUMAINI LINAMEA Mwaka 2010 aliyekuwa Askofu mstaafu wa kanisa la kilutheri Tanzania (ELCT), marehemu Ambilikile Mwasapile alitangaza kuwepo kwa dawa inayotibu magonjwa yote ikiwamo magonjwa sugu kama Ukimwi, Kisukari, Kansa na Kifua kikuu dawa ambayo kwa mujibu wa maelezo yake...
  4. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Watatu wakamatwa kwa kufanya Biashara ya kusafirisha Watoto wakafanye kazi za Majumbani

    Jeshi la Polisi Mkoani Mbeya linawashikilia watu watatu kwa tuhuma za kuwasafirisha watoto wenye umri wa miaka 10 na kuwapeleka kutumikishwa kazi majumbani, kilimo na ufugaji katika maeneo mbalimbali. Kamanda wa Polisi mkoani Mbeya, Urlich Matei amesema leo Septemba 7, 2021 wakati akizungumza...
  5. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Tanzania tuna magenge ya kuuza Nyanya Somaliland wana magenge ya kuuza pesa za kigeni nyingi bila ulinzi wowote

    Ulishakutana na magenge ya kuuza pesa za kigeni mitaani ona somaliland
  6. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya yaendelea kuuza majani chai huko Afghanistan kwa Mataliban, mtajua wenyewe na maugomvi yenu

    Kunatisha lakini, ila binadamu walioko huko wanahitaji majani chai yetu, kikubwa sisi tutie ndani mkwanja...... ==================================== The Taliban takeover of Afghanistan is yet to hit the export of tea to that country as most of the commodity is still accessing Kabul through the...
  7. Analogia Malenga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uingereza: Mchungaji Mwenye Asili ya Kenya Kortini kwa Kuuza Mafuta analiyodai yanatibu Covid-19

    Askofu Climate Wiseman mwenye asili ya Kenya amefikishwa mahakamani kwa tuhuma za kuuza mafuta anayodai yanatibu COVID19 Askofu huyo anayeishi Uingereza anakabiliwa na Mashtaka ya udanganyifu na kufanya Biashara isiyo na usawa (fairness) Hakimu wa Mahakama ya Lavender Hill ameshindwa kutoa...
  8. Pascal_TZA

    JamiiForums Tanzania Kijana atajirika kwa kuuza uume, korodani, ni milionea "Wanawake wanagombania, freemanson kawaida"

    Ukistaajabu ya Mussa utayaona ya Firauni! Msemo huu unajidhihirisha baada ya kauli ya Onesmo Mbasha, ambaye ni mmoja wa vijana wanaouza bidhaa mbalimbali zitokanazo na wanyama zikiwamo sehemu za uzazi za ng’ombe dume zinazojumuisha uume na korodani. Zipo taarifa kuwa viungo hivyo vya ng’ombe ni...
  9. C

    JamiiForums Tanzania SoC01 Jinsi timu ya Yanga inavyoweza kutengeneza mabilioni ya shilingi kwa kuuza bidhaa zenye nembo ya timu

    Jinsi timu ya Yanga inavyoweza kutengeneza mabilioni ya shilingi ndani ya msimu mmoja.
  10. Kibenje KK

    JamiiForums Tanzania SoC01 Namna ya kuuza Kipaji, Ujuzi au Taaluma yako

    Ni wazi kuwa kwa sasa kuna tatizo kubwa la ajira nchini. Ni jambo la kawaida kabisa Watu 1000 kugombea nafasi tano za kazi. Rejea Ajira za Elimu na Aya zilizotolewa na Tamisemi mwaka Huu 2021. Pamoja na changamoto nyingi za Kujiajiri lakini tunaweza kuanza taratibu hatimaye Kujiajiri kupitia...
  11. Mstahiki Mea

    JamiiForums Tanzania SoC01 Unavyoweza kuuza Kiswahili Kidigitali na kujiingizia kipato

    Je Kiswahili ni bidhaa? Kwa vipi Kiswahili kinaweza kuuzika? Swala hili linaweza kuwa geni kwako hasa kama hujawahi kupata fursa yakutangamana kimazungumzo au maandishi ya manguli hawa walugha yakiswahili kuhusu ubidhaishaji wa Kiswahili, ambao ni prof, Clara Momanyi, Dkt Mahenge, Wallah bin...
  12. konda msafi

    JamiiForums Tanzania Tunachimba visima na kuuza machine za kuchujia maji chumvi kuwa maji baridi

    Samaritan Water Solution LTD ni wataalamu wa kuchimba visima kwa kutumia mitambo ya kisasa kabisa. Tunafanya survey kwa bei nafuu. Pia tunatengeneza machine za kuchujia maji kwa wale wenye visima vya maji chumvi. Pia tunafunga irrigation system kwa wale wanaofanya kilimo cha umwagiliaji. Pia...
  13. REJESHO HURU

    JamiiForums Tanzania Sheria inasemaje ukifanya maamuzi ya kuuza Mali bila mshirikisha mweza wako au familia

    Watalamu tunaomba msaada wa hili Jambo una mashamba yako ambayo ulinumua kwa hati ya manunuzi ikiwa na jina lako familia inajua mkeo au mumeo anajua tuna mashamba uko Morogoro. Kutokana na changamoto za hapa na pale unaenda chukua hati unauza lile shamba bila mshirikisha mumeo au mkeo baada ya...
  14. Shomary47

    JamiiForums Tanzania Biashara ya kununua na kuuza vitu used

    Leo naomba kupata maoni Juu ya biashara ya kununua na kuuza Vitu Used vya majumbani mfano Furnitures, Vyombo, TV, Vingamuzi, Fridges, vitanda, magodoro n.k... Kuna watu ambao wanahama mikoa, wanahamishwa kikazi na wale ambao Wanauza Vitu vyao Kwakua wanashida na pesa ya haraka. Watu hawa...
  15. T

    JamiiForums Tanzania Gharama kiasi gani kulisha kuku 500 wa nyama kwa Dar es Salaam mpaka kuuza?

    Habari wadau wa ufugaji Naomba kujua gharama za kufuga kuku wa nyama idadi 500 kuanzia siku ya kwanza mpaka hadi kufikia mwezi kwa mtu ambaye anafanya shughuli hizo au alishawahi kufanya kwakipindi kisichopungua miezi 8 iliyopita.
  16. Cards Fantasy

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Partner au Partners 2 Tufanye biashara ya Kuuza Kuku Pamoja

    Habari za Leo Wanafamilia! Pole na Majukum, Mm naitwa Hussein, naishi Tandika Magorofan, nna miaka 34, nna mke na watoto watatu. Nnajishughulisha na Ufugaji, utengenezaji dawa za Asili za Kuku na uuzaji wa Kuku, kwa Sasa nimejikita zaidi kwenye Kuku wa nyama kwa kuwanunua directly kwa Wafugaji...
  17. V

    JamiiForums Tanzania Ni njia ipi nzuri ya kuuza vitabu/courses na muziki online nikiwa Tanzania?

    Pamoja na kwamba mimi ni mgeni humu lakini naomba kupata mawazo juu ya uchapishaji kazi za sanaa online hususani vitabu, njia ambayo inaonekana sasa kuwa mkombozi kwa watunzi wengi tofauti na zile zama za giza ambazo ilimpasa mtu apige kwanza magoti kwa makampuni makubwa ndipo kazi yake iweze...
  18. EMMANUEL JASIRI

    JamiiForums Tanzania Fanya haya ili biashara unayoianzisha isife

    1. Fanya biashara unayo ielewa vizuri zaidi, usiige tu kwa kuona mwingine anafanikiwa. Hakikisha wewe mwenyewe una ujuzi nayo. 2. Hakikisha umeyasoma mahitaji ya wateja wako watarajiwa. Hakikisha umeyaelewa kiundani zaidi mahitaji yao na unaweza kuwatimizia ipasavyo. 3. Amua kujenga mahusiano...
  19. GeoMex

    JamiiForums Tanzania Tunafuma na kuuza masweta ya nyoka

    Kipindi cha baridi hiki, mfugo wako asiteseke, tunafuma na kuuza masweta yao kwa bei nafuu. Mikoani pia tunatuma kwa bei nafuu.
  20. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Lindi: TAKUKURU yawafikisha Mahakamani Wafanyabiashara wa Nachingwea kwa Kuuza Viuatilifu visivyosajiliwa

    Mkuu wa TAKUKURU (M) LINDI Mhandisi Abnery J. Mganga akitoa taarifa kwa umma kuhusu kuwafikisha mahakamani wafanyabiashara watatu (3) ambao ni: 1. Bw. Abdallah Said Luyaya, Mfanyabiashara na mmiliki wa duka la pembejeo liitwalo LUYAYA KILIMO KWANZA lililopo Wilaya ya Nachingwea 2. Bw. Ismail...
Back
Top Bottom