Tunachimba visima na kuuza machine za kuchujia maji chumvi kuwa maji baridi

konda msafi

JF-Expert Member
Sep 5, 2018
1,666
8,582
Samaritan Water Solution LTD ni wataalamu wa kuchimba visima kwa kutumia mitambo ya kisasa kabisa. Tunafanya survey kwa bei nafuu. Pia tunatengeneza machine za kuchujia maji kwa wale wenye visima vya maji chumvi. Pia tunafunga irrigation system kwa wale wanaofanya kilimo cha umwagiliaji. Pia tunatengeneza mabwawa ya kufugia samaki (fish ponds). Tunajenga minara ya kuwekea matanki ya maji, tunauza pump za maji, tunauza generators, tunaweka mifumo ya umeme wa jua (solar system) na mengine mengi.

Wasiliana nasi kwa simu namba +255682717749, +255676405024 email: info@samaritanwater.co.tz

IMG-20210621-WA0000.jpg


IMG-20210621-WA0001.jpg


IMG_20210618_131450_379.jpg


IMG-20201109-WA0014.jpg


IMG-20201017-WA0016.jpg
 

Attachments

  • VID-20201021-WA0002.mp4
    13.3 MB
Geita 1M bei gani
Survey inatakiwa ifanyike kwanza ili kujua aina ya udongo na pia kujua maji yanapatikana kuanzia mita ngapi. Tukishapata majibu ya hizi parameters ndio tunajua tumchaji mteja kiasi gani kwa meter ila bei zinarange between 60,000 to 100,000 kwa meter, pia kuna cost zingine mbali na hizo.
 
Back
Top Bottom