Sheria inasemaje ukifanya maamuzi ya kuuza Mali bila mshirikisha mweza wako au familia

REJESHO HURU

JF-Expert Member
Mar 6, 2014
4,451
9,374
Watalamu tunaomba msaada wa hili Jambo una mashamba yako ambayo ulinumua kwa hati ya manunuzi ikiwa na jina lako familia inajua mkeo au mumeo anajua tuna mashamba uko Morogoro.

Kutokana na changamoto za hapa na pale unaenda chukua hati unauza lile shamba bila mshirikisha mumeo au mkeo baada ya mda kupita mkeo au mumeo anaenda shambani kule anambiwa shamba lishauzwa mkeo au mumeo anarudi kukuuliza unamwambia ndio niliuza kutokana na changamoto Ile niliona nikikushirikisha utakataa Ila nishauza.

Je sheria inasemaje mke au mume anaweza kwenda kufungua mashitaka kudai fidia kuwa apewe mgao wa pesa iliyopatikana au kufungua mashitaka ya kumfukuza mnunuzi kwa kumwambia katapeliwa

Kwa kiifupi huwezi, na utaingia kwenye migogoro mikubwa sana:

1. Usikubali kununua kitu kwa mtu ambaye kaoa bila sahihi ya Mama, na Mwana familia mmoja ikiwezekana!
2. Aliyenunua hana uhalali kabisa, na ndiyo atakufuata na kukudai fedha zake, ni Kama fraud kabisa!

Kama unataka kumiliki kitu binafsi ukiwa na ndoa sheria inataka ukubaliane na mke/mme wakati wa kununua kwamba hii ni Mali binafsi, na ukitakiwa kuonyesha makubaliano wakati wa kuuza uwe nayo!
 
Kwa kiifupi huwezi, na utaingia kwenye migogoro mikubwa sana:

1. Usikubali kununua kitu kwa mtu ambaye kaoa bila sahihi ya Mama, na Mwana familia mmoja ikiwezekana!
2. Aliyenunua hana uhalali kabisa, na ndiyo atakufuata na kukudai fedha zake, ni Kama fraud kabisa!

Kama unataka kumiliki kitu binafsi ukiwa na ndoa sheria inataka ukubaliane na mke/mme wakati wa kununua kwamba hii ni Mali binafsi, na ukitakiwa kuonyeaha makubaliano wakati wa kuuza uwe nayo!
 
Waza sana sana kabla ujaoa! Is like giving 50% of everything; not only materials, everything!

Sikuwahi kujua unaweza ukaoa ukalala na mwanamke kitanda ki moja then ukawa na nyege zaidi ya kabla ujaoa!

Wanawake tabu sana kabisa!
Hahahahha hio inawezekana kabisa na ukaamka na stress za kufa mtu kila siku! Ndoa inataka watu imara sana thus why wale ambao wako shallow inawashinda mapema sana!
 
Basi tu ni ustaarabu na Mambo mengine, dawa ya Mwanamke ni awe na mwenzake ili ajitahidi, nje ya hapo atakutesa sana!

Ninalo hili lakwangu hapa pembeni na hii baridi ya makambako linakoroma, ukiligusa fujo!

Tabu sana, ningekuwa bachela ningekuwa nimelala mwenyewe na saikolojia yangu haina shida, ila liko hapa na Hakuna msaada!

Anza kuuza Mali, linaenda mpaka kwa rais kulalamika!
 
Ni ushauri ila si mzuri sana. Ni kama kuzima moto kwa petrol.
 
Basi tu ni ustaarabu na Mambo mengine, dawa ya Mwanamke ni awe na mwenzake ili ajitahidi, nje ya hapo atakutesa sana!
Ndio namna rahisi ya ku manage changamoto hata na hivyo, mwanamke ukimpa 100% comfortability huwa anasumbua sana. Watu hutumia njia za kinyemela kuwa na mahawara ili kuleta balance katika ndoa sababu walau hupata upande wenye comfort licha ya uchungu wa mke! Akikukera unaenda kupoozea mtaa wa pili siku zinakwenda.

Wale wa dini ya kiarabu waliliona hili mapema sana na kwa hekima wakaweka slots za kumiliki wanawake mpaka wa 4 kadri ya uwezo wako! Hili limesaidia sana ni ngumu kukuta muislamu anayeteseka na stress za mke labda wale ambao hali zao za kiuchumi ni duni sana na kwa kuwa wanawake hujua kuwa kuna uwezekano huo basi huishi katika adabu na utii sana kwa waume zao! Ukichunguza hili utaona wanawake wa kiislamu hawana kero kama wale wa kikristo ukimpata anayejitambua na kufahamu dini vizuri kamwe hawanaga usumbufu wa kijinga.
 
Ndio namna rahisi ya ku manage changamoto hata na hivyo, mwanamke ukimpa 100% comfortability huwa anasumbua sana. Watu hutumia njia za kinyemela kuwa na mahawara ili kuleta balance katika ndoa sababu walau hupata upande wenye comfort licha ya uchungu wa mke! Akikukera unaenda kupoozea mtaa wa pili siku zinakwenda.

Wale wa dini ya kiarabu waliliona hili mapema sana na kwa hekima wakaweka slots za kumiliki wanawake mpaka wa 4 kadri ya uwezo wako! Hili limesaidia sana ni ngumu kukuta muislamu anayeteseka na stress za mke labda wale ambao hali zao za kiuchumi ni duni sana na kwa kuwa wanawake hujua kuwa kuna uwezekano huo basi huishi katika adabu na utii sana kwa waume zao!

True story:

Kuna rafiki yangu Mama yake alistaafu, Baba yake alikuwa na umri wa Kama miaka 72 hivi wakati Mama yake anastaafu!

Akapewa Kama 160m! Sasa Mshua wa huyu jamaa akamfuata mwanaye; akamwambia oya, Mshawishi Mama yako ajenge Manyumba ya kupanga hizo hela ziishe maana atanisumbua sana akiwa na cash!

Dogo akaingia mzigoni, ka msawishi Mama kajenga manyumba ya kupanga mpaka yakaisha, then hela ikakata, dingi akasema sasa hapa tunaenda sawa!
 
Nishawahi nunua kiwanja Iringa Mjini karibu! Kimepimwa, sasa kukaanza kelele lazima nikiendeleze!

Nikawa Nina 3m, bado kama 5m ni kamili she fency, nikamcheki wife Kama ana kitu; akasema sina! imagine nalisha familia, ada nalipa kila kitu!

Basi Bwana huyu Mama anafanya Kazi Bank nikaenda hapo process mkopo, jamaa ananambia unakopa hiyo hela na huku kwenye account Shem Ana 16m!

Nikavunga tu nika process mkopo, nikaweka fency! Sasa siku nataka uza hilo eneo atadai ushirikishwaji, Yani hawa wanawake hawa ni Hatari sana!
 
Basi tu ni ustaarabu na Mambo mengine, dawa ya Mwanamke ni awe na mwenzake ili ajitahidi, nje ya hapo atakutesa sana!

Ninalo hili lakwangu hapa pembeni na hii baridi ya makambako linakoroma, ukiligusa fujo!

Tabu sana, ningekuwa bachela ningekuwa nimelala mwenyewe na saikolojia yangu haina shida, ila liko hapa na Hakuna msaada!

Anza kuuza Mali, linaenda mpaka kwa rais kulalamika!
Dah, kwa hali ya makambako aisee ni changamoto sana endapo mke hakupi ushirikiano! Jitahidi kumchana kuwa mambo anayofanya sio aisee!

Wanawake wanakera sana kwa hio tabia halafu ukianza kuchepuka atajifanya kulialia eti kwanini umemsaliti jinga kabisa hio mama, tabia mbovu sana hio na ukute anakufanyia kusudi akutese tu sababu anajua huna akili ya wanawake nje!
 
Anajua sina mambo mengi! ILA dawa wake naipika taratibu Kama dawa ya korona ya kujifukiza
 
Nishawahi nunua kiwanja Iringa Mjini karibu! Kimepimwa, sasa kukaanza kelele lazima nikiendeleze!

Nikawa Nina 3m, bado kama 5m ni kamili she fency, nikamcheki wife Kama ana kitu; akasema sina! imagine nalisha familia, ada nalipa kila kitu!

Basi Bwana huyu Mama anafanya Kazi Bank nikaenda hapo process mkopo, jamaa ananambia unakopa hiyo hela na huku kwenye account Shem Ana 16m!

Nikavunga tu nika process mkopo, nikaweka fency! Sasa siku nataka uza hilo eneo atadai ushirikishwaji, Yani hawa wanawake hawa ni Hatari sana!
Hapo mie nakiuza aisee na wala sitaki story. Ushirikishwaji wa kazi gani wakati nimenunua kwa pesa zangu na documents zina jina langu! Hakuna hizo habari labda utake mwenyewe tu.

Mkuu wife wako ni mbinafsi, sorry to say so ila she is so damn selfish. Mie napingana na hizo habari daily humu na nashauri sana vijana wenzangu tuhakikishe tunaoa wanawake ambao they can spare their money on us! Its hard to get them ila wapo.

Mwanamke ambaye mbinafsi kwa maisha ya kisasa hafai kabisa ukute ana make naye anunue kitu chake kimya kimya bila wewe kujua!
 
Hapo mie nakiuza aisee na wala sitaki story. Ushirikishwaji wa kazi gani wakati nimenunua kwa pesa zangu na documents zina jina langu! Hakuna hizo habari labda utake mwenyewe tu.

Huwezi uza, Jamhuri atakuja, ataenda lia kwa Mkuu wa Wilaya, uliyemuuzia atawekwa ndani, wewe utakuja takiwa lipa deni mabalaa yanaanza, utakufa kabla ya wakati!
 
1625108951753.png
 
Huwezi uza, Jamhuri atakuja, ataenda lia kwa Mkuu wa Wilaya, uliyemuuzia atawekwa ndani, wewe utakuja takiwa lipa deni mabalaa yanaanza, utakufa kabla ya wakati!
Kama mwanamke ana akili hizo huyo hafai hata kwa kulumangia! Wanasema kosea kote ila sio hapo.
 
Huwezi uza, Jamhuri atakuja, ataenda lia kwa Mkuu wa Wilaya, uliyemuuzia atawekwa ndani, wewe utakuja takiwa lipa deni mabalaa yanaanza, utakufa kabla ya wakati!
Wewe tatizo lako linaonekana sio sheria bali mkeo amekupanda kichwani na unaamini kwamba ana leverage fulani kwenye mali zako na maisha yako.

Situation kama hizo kuwa unaconsult lawyers ujue the best way possible, hakuna kinachoshindikana.
 
Kasome sheria ya ndoa mjinga wewe! Mwanasheria ni mtafsiri wa sheria, Kama unaweza kusoma na kuelewa maana yake, inatosha kujua mipaka yako!
 
Back
Top Bottom