It’s highly unusual for a 20 year+ established Stock Exchange to have a trading volume of 0 - a whole trading day without a single share being traded. Not even a cent! One for the financial history
I just announced that we're launching Facebook Shops today – the basic idea is that any small business can easily start a shop to sell things directly across our apps. If you visit someone's shop, you'll be able to see that small business's story, see their featured products, and buy them in our...
Mbunge wa zamani wa Ndanda, Cecil Mwambe amesema ameitwa jijini Dodoma na mh Spika Ndugai naye ameitikia wito. Mwambe amesema ataukaribisha kwa moyo mweupe ushauri au uamuzi utakaotolewa na Spika wa bunge.
Amesema sasa anarejea rasmi bungeni kumalizia muda wake wa ubunge kwa kipindi kilichobaki...
Watu wengi wamekuwa wakisikia nje ya mipaka ya Tanzania kuna soko kubwa la bidhaa mbali mbali zinazozalishwa nchini Tanzania lakini hawajui nini cha kufanya ili kupata wanunuzi walio nje ya Tanzania na ni hatua gani zinatakiwa kufatwa ili kuweza kuuza bidhaa nje ya nchi.
Kujiandaa kupeleka...
Hello kama inavyoeleza hapo juu changamkia fursa hii ya kutoa Mchanganuo wa kukuza na uendeshaji wa biashara ya Gas za majumbani. Hapa tanzania zawadi nono itatolewa kwa mshindi
Kutokana na janga hiki la Corona serikali ijikite kwenye uuzaji bidhaa nje kwa bidhaa kuanzia vyakula nk
Vikwazo vyote viondoldwe upesi kodi ,ukiritimba nk viondolewe kwa spidi ya haraka ili Ku encourage mtanzania yeyote ana yetaka kuuza chochote auze nje na yeyote wa nje anayetaka kununua...
Habari wakuu na poleni kwa changamoto za Covid-19.
Nipo kazini hapa na boss Ritesh, ana gari yake ya passo ka-import mwaka jana mwishoni ili aiuzie kampuni hii ambayo yeye ni afisa manunuzi.
Sasa kampuni imeyumba kiuchumi, na Ritesh mkataba umeisha anatakiwa arudi India soon, hivyo kanipa kazi...
Iringa. Wajumbe wa Baraza maalumu la madiwani wa Halmashauri ya Manispaa ya Iringa nchini Tanzania wamemuondoa madarakani meya wa manispaa hiyo, Alex Kimbe.
Kimbe ambaye anatokana na chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania cha Chadema ameng’olewa madarakani leo Jumamosi Machi 28, 2020 katika...
Naomba kuuliza iwapo mtu amekopa fedha na akaweka kiwanja kama dhamana na kukawa na mkataba wa maandishi kuwa akishindwa kulipa deni basi kiwanja alichoweka Kama dhamana kitachukuliwa na kuwa mali ya mkopeshaji na ambachi atakiuza ili kulipia deni.
Kwa mfano,hata kama mkataba unamruhusu...
Je unafahamu kwamba Watanzania wanaagiza Magari kupitia mitandao?Je unafahamu kwamba pia wapo watanzania ambao wanauza magari yao ambayo ni used in Tanzania?Je unafahamu kwamba hii ni fursa kwako wewe kuingiza kipato cha ziada kwa commission
Jifunze leo kuhusu namna biashara hii inavyofanya na...
Hi to you all.
Kuna mtu anatafuta dada wa kazi ya kuuza duka la cosmetics. Umri 20 to 30 awe anaishi Tanga. Ambaye yuko interested ani PM Mawasiliano yake for more details.
Asanteni.
Wakuu,
Hawa jamaa nimewachoka sasa. Mara ya kwanza niliagiza mzigo mwaka jana, ilikua ni Flash ya 128 GB kwenye Limited Offer.
Cha kushangaza ilidumu kwa siku 5 tu, ikawa haifanyi kazi tena kwenye computer.
Chengine kinachoboa zaidi ni muda unaochukua mpaka kupata bidhaa yako.
Mali yako inakaa...
Harmonize anapambana ili aweze kuachana kabisa na WCB. Alitakiwa kulipa shs milioni 500 ili aweze kuwa msanii huria na kufanya kazi zake kama yeye mwenyewe. Jambo ambalo linamaanisha kwamba kama msanii huria, fedha yote atakayoipata katika kazi zake za sanaa itakuwa ni yake.
Alivyokuwa chini ya...
Salaam waungwana, ndugu zangu nina wazo la kutaka kufungua biashara ya kuuza mabegi aina zote yaani mabegi makubwa ya nguo, saizi ya kati, ya mgongoni na hand bags za wadada. naomba mnisaidie mawazo kwenye mambo yafuatayo:-
- Chimbo la kupata mabegi makubwa yale ya nguo kwa jumla hapa dar...
Salama wakuu? kwema? niende kwenye mada moja kwa moja.
Nafikiria kuanzisha duka la kuuza vifungashio vya bidhaa mbali mbali mfano: asali, karanga, ubuyu wengine wanawekea pilipili kiujumla wale wanaofanya biashara ya ku process na ku - pack vyakula vilivyoongezewa thamani hua wanatumia sana...
Mtandao wa Amazon umelalamikiwa huko India kwa kuuza vidonge vya kusababisha bikra feki.
Vidonge hivyo ambavyo vinajulika kama i-virgin: blood for the first night vinakuwa na unga mwekundu ambao mwanamke anatakiwa jiwekea sehemu yake ya siri na akienda lala na mwanaume basi wakati wa kujamiiana...
SHIRIKA la Nyumba nchini (NHC) linakusudia kujenga nyumba 1,000 mkoani Dodoma za kuuza na kupangisha kwa lengo la kutumia fursa ya Serikali kuhamia mkoani hapo.
Akizungumza jana, Mkurugenzi Mkuu wa NHC, Maulid Banyani mbele ya Kamati ya Hesabu za Serikali alisema hivi sasa wapo kwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.