kuuza

  1. Civilian Coin

    JamiiForums Tanzania Hatimaye nimepata Usajili wa Kimataifa wa Muziki wangu(ISRC), naweza kuuza popote na kuchezwa TV au Redio yoyote duniani

    OFFICIALLY NOW ON TV& RADIO. Thanks almighty God, all my audios and Videos songs now have Copyright under ISRC(International Standard Recording Code) and can be Played anywhere all over the World and I can sell anywhere all over the World. Now I have my own Registrant code number. Join with me...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Story ya kuuza mechi ya Simba Cairo na mkasa wa Shafii Dauda. Zimbwe jr, Kapombe vs Kaizer Chiefs

    2003 simba sc ilitikisa afrika nzima kwa kuwatoa mabingwa watetezi zamaleki waliokuwa kama weeks mbili nyuma wametoka kutoa draw na real madrid ya kina zidane,gutti kwenye club bingwa ya dunia Marahemu james siang'a mkenya aliyekuwa kocha wa simba anasema kuna mtanzania mwenye asili ya kiasia...
  3. U

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kuuza hisa zangu!

    Naomba mwenye ujuzi wa taratibu za kufuata ili niuze hisa zangu naomba mwongozo!Mwaka 2013 nilinunua hisa za benki ya Mwalimu.Hadi leo hakuna kinachoendelea nimeishiwa kupewa tu risiti.Kila nikiuliza nakutana na "uswahili"uliosheheni na majibu yasiyoeleweka!Naombeni utaratibu wa kuuza hisa hizo...
  4. TheDreamer Thebeliever

    JamiiForums Tanzania Uganda: Rais Museveni amshukuru Rais Samia kwa kumruhusu kuuza sukari Tanzania

    Habari wadau! Sasa kilio cha upungufu wa sukari kitapungua maana mama amefungua milango na kuamuru sukari iingie nchini. Mubashara toka Kololo Uganda kupitia TBC 1 kwenye uapisho wa Rais Museveni .Rais wa Uganda Yoweri Kaguta Museven leo katika hotuba yake amemshukuru Rais wa JMT mheshimiwa...
  5. stineriga

    JamiiForums Tanzania Mfanyakazi wa kuuza duka la viatu, rasta anahitajika Dodoma

    Mfanyakazi wa kuuza duka la viatu, rasta na vitu vingine anahitajika. Majukumu: Atauza vitu vya dukani na kupiga mahesabu ya dukani ya kila siku na kuchukua maoni ya wateja na kupendekeza nini wateja wanahitaji. Kituo cha kazi/duka lilipo: Mkonze, Dodoma Jinsia: awe mwanamke /msichana Umri...
  6. Manton

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nahitaji kujua duka la kuuza na kununua lulu(akoya) kwa Dar es Salaam

    Salam kwenu, wakuu. Naomba kujua mahali ambapo naweza kuuza lulu aina ya "akoya" kwa Dar es salaam, duka lilipo, ili nipate kufika kufanya biashara. Naomba msaada wa anwani yao. Endapo kuna mtu anahitaji naye anaweza kununua.
  7. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania AAR Healthcare (T) Ltd imetangaza kuuza vifaa vyote vilivyopo kwenye kliniki zake saba Nchini kutokana na kufilisiwa

    Kampuni ya AAR Healthcare (T) Ltd imetangaza kuuza vifaa vyote vilivyopo kwenye kliniki zake saba nchini vilivyokuwa vikitumika kutoa huduma za afya. Hatua hiyo imekuja siku chache baada ya kampuni hiyo kutangaza kufunga kliniki zake zote zilizokuwa zinatoa huduma kwa wagonjwa wa nje kote...
  8. LESIRIAMU

    JamiiForums Tanzania Lazaro Nyalandu jibu hizi tuhuma

    PDF la Lazaro _ Part 1. Kwa kuwa Mh Lazaro umerudi CCM, na umerudi kwa kuomba Msamaha, kwa dhati kabisa ukapokelewa pale kwenye mkutano mkuu maalumu wa kumchagua Mwenyekiti wa CCM Taifa, na kwa maelezo yako ni kwamba umeomba radhi kwa uongozi wa CCM na ndo maana umepokelewa. Sawa, naomba hizi...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Anahitajika mfanyakazi wa kuuza duka la vifaa vya TEHAMA Arusha Mjini

    Nafasi ya kazi kuuza duka la vifaa vya TEHAMA: Kituo cha kazi: Arusha mjini Mwisho wa kupokea maombi: 14 May 2021 Taarifa kuhusu kazi: Anahitajika mfanyakazi wa kuuza duka la vifaa vya TEHAMA (Computer networking accessories). Kazi za kufanya: • Kuuza vifaa vya data kwa wateja watakaofika...
  10. U

    JamiiForums Tanzania Kama uliwahi kula mishkaki ya mia mia, Morogoro basi uliwahi kula mbwa, jamaa wamekamatwa huko

    Mbwa ni mnyama ambaye amekuwa akitumiwa na binadamu kwa muda mrefu kwa ajili ya ulinzi katika maeneo mbalimbali, ikiwamo majumbani. Ni mnyama ambaye amekuwa akitumia nyama kama chakula chake kikuu. Pamoja na kuwa na sifa hizo, miaka ya zamani mnyama huyo alikuwa akitumiwa kama kitoweo na kabila...
  11. beth

    JamiiForums Tanzania Hasunga: Ushirika unalazimisha wasio wanachama kuuza mazao yao kupitia Vyama. Serikali ina mpango gani kuruhusu Wafanyabiashara kununua kwa wakulima?

    Mbunge wa Vwawa, Japhet Hasunga amesema kwa mujibu wa Sheria, Ushirika ni kwa Wanaushirika wenyewe lakini hali ilivyo sasa, Ushirika umekuwa ukiwalazisha watu wasio Wanachama kuuza mazao yao kupitia kwenye Vyama vya Ushirika. Akiwa Bungeni Dodoma, Hasunga ambaye amewahi kuwa Waziri wa Kilimo...
  12. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Makampuni 49 ya Tanzania yaruhusiwa kuuza maharage soya China

    Ubalozi wa China nchini Tanzania umetangaza makampuni 49 ya Tanzania yaliyoruhusiwa kuuza maharage soya nchini China. Hatua hiyo ya Mamlaka ya forodha kuruhusu maharage soya ni fursa kwa wakulima wa Tanzania kwa kuwa sasa wana soko la uhakika.
  13. 6WaS9

    JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu Biashara ya Kuuza Computer: Laptop/dektop used

    Habari wakuu. Ni wapi zinapatikana Computer used nzuri kwa bei ya jumla? Nitapata kwa Tshs. Ngapi kwa pc 1 kutokana na specifications za computer husika? Yaani bei ya kila pc na specifications zake. Kwa wanaofahamu ma Supplier wa China na Dubai watujuze pia. Kwa mzigo wa kutoka nje gharama...
  14. Kasomi

    JamiiForums Tanzania Dkt. Kalemani: Marufuku kuuza mafuta yasiyo na vinasaba

    Dodoma, Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani amepiga marufu uuzaji wa mafuta ya Petroli, Dieseli, na Mafuta ya Taa yasiyo na vinasaba unaofanywa na baadhi ya wafanyabiashara nchini. Dkt. Kalemani alitoa maagizo hayo Jijini Dodoma wakati wa ziara yake ya kushtukiza ya kukagua vinasaba kwenye...
  15. Kurunzi

    JamiiForums Tanzania Bandari ya Bagamoyo Ijengwe au Isijengwe? Soma Makala hii Tujadili

    MIAKA sita iliyopita, Mradi wa Ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo nchini Tanzania ulikuwa ukitajwa kama mmoja wa miradi ya kimkakati yenye fursa kubwa ya kuzimua uchumi wa taifa hilo. Midomoni kwa watumishi wa umma na viongozi wa serikali, neno bandari ya Bagamoyo halikutoka. Hata hivyo, miaka...
  16. M

    JamiiForums Tanzania I wish kufungua duka la Paramedical and childcare equipment. Jee soko lipo Tanzania?

    Habari zenu wakuu, I wish kufungua duka la Paramedical and childcare equipment. Jee soko lipo Tanzania? Naoembeni maoni yenu kuhusu biashara hii?
  17. KiuyaJibu

    JamiiForums Tanzania Nataka kufanya biashara ya kuuza gesi

    Nina rafiki yangu mmoja ambaye amebahatika kukutana na kuongea na bosi mmjo wa kampuni moja kubwa iliyojikita kwenye biashara ya mafuta na gesi; katika maongezi yao rafiki yangu alipendezwa na kufanya biashara ya kuuza gesi. Wakakubaliana kuwa anataka kufanya biashara ya kuuza gesi iliyoko...
  18. U

    JamiiForums Tanzania Why Rayvanny anajisifu kuuza sana online wakati mapato hayo mengi yanaenda kwa Platnumz?

    Nimesikia haya Mambo kuwa Rayvanny anaongoza mauzo katika digital platform, ni kweli lakini mi sioni kama ni hoja. Sawa anauza sana hata Zuchu anauza sana lakini kuna hasara yake kwa upande mmoja au mwingine, asilimia kubwa ya mauzo ya Rayvanny na Zuchu yanakwenda kwa Diamond , so hata kama...
  19. H

    JamiiForums Tanzania Nilichoelewa ndege zetu Gharama yake ni Trilion 1.28 tu

    Nilicho elewa ndege zetu Gharama yake ni Trilion 1.28 tu Ukiigawanya hiyo pesa kwa Watanzania milioni 60 Trillion 1.28 ÷ milioni 60 1,280,000,000,000 ÷ 60,000,000 = 21333 Kila mtanzania atapata elfu 21. Sasa kazi kwenu mziuze ndege zetu au mtafute bodi ya wakurugenzi yenye wataalamu wa...
  20. kikoozi

    JamiiForums Tanzania Ushauri wenu: Baba anataka kuuza mali, hataki kunigawia mimi mwanae

    Habarini ndugu zangu, poleni na majukumu ya kazi, naombeni ushauri wenu maana nimeshikwa na gadhabu sana tangu siku ya jana. Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 39, na kwetu tumezaliwa watatu tu mimi nikiwa wa kwanza, elimu yangu ni degree 1, baada ya kumaliza chuo na kukosa ajira nikawa tu...
Back
Top Bottom