Habari wadau, kazi iendelee
Kwa wale wenye uzoefu wa biashara ya simenti tupeni dondoo Kwa maana ya faida, changamoto na namna ya upatikanaji.
Hii ni moja ya biashara nayopenda kuifanya japo baada ya kuuliza hapa na pale,kuna jamaa alisema eti Ili uone faida yake ni nzuri mtu akianza na mzigo...
Salama ndugu zangu, kwa machinga wa karume dar es salaam poleni sana.
Nina shida na computer LAPTOP nzuri ambayo bei yake ni ya range 250,000/= (laki mbili na elfu 50) mpaka 350,000/= (laki 3 na elfu 50). pia nina shida na bettry ya computer aina ya TOSHIBA (PORTEGE R705)
Location nilipo ni...
Tulisikia kwenye vyombo vya habari kuwa Kenya wamepata tenda ya kupeleka nyama Uarabuni na shehena ya kwanza ya tani 500 imeshaondoka.
Kwa uelewa wangu Tanzania ndio yenye mifugo kwa wingi kuliko nchi zote East Africa, ila baada ya kupata tenda hiyo ghafla nyama Bongo ikapanda, je kuna uhusiano...
Habari wadau, ninahitaji mfanyabiashara wa asali au mfugaji wa nyuki ambae ana vibali stahiki vya kuuza na kusafirisha maana nina wafanyabiashara wapo kenya wanasafirisha asali kwenda dubai n.K, hvyo nahtaji mtu wa kushirikiana nae soko tayari lipo ila mim sina mtaji na utaalam wa kuitambua...
Mambo job seekers wenzangu.
Nimepata kazi kwenye kampuni ya kuuza pedi kama mtu wa sales. Mshahara laki 8 kabla ya makato ila naona aibu kuifanya sababu naona kama sitokuwa comfortable kuuza pedi hizo za wadada.
Mnanishaurije?
Wapendwa sana wanaJF, habari za asubuhi...
Siku chache zijazo nimefikiria kuanzisha biashara ya kuuza soda za chupa na za kopo (take away) kwa bei ya jumla na rejareja.
Mwenye uzoefu na biashara hii naomba anijuze kuhusu mtaji, faida na changamoto za biashara hii. Aidha kama kuna maujanja...
Wanabodi, imekuwa kawaida kwa Bucha zetu nchini kuuza nyama na mifupa yake. Awali walitumia mashoka kupasua mifupa hiyo na sasa misumeno inayoendeshwa na umeme imetamalaki.
Kwa hali ilivyo sasa katika Bucha nyingi, mifupa ni muhimu katika kutengeneza faida kwao na karaha kwa walaji.
Uwa...
Habari za mida..
Kuna dalili za njaa mwaka ujao kutokana na Hali ya ukame inayoendelea Nchini kwa sasa.
Sio jambo la kawaida kwa mwezi huu wa disemba mikoa ya Nyanda za Juu Kusini kutokuwa na mvua.Sehemu nilipo wananchi bado hawajaotesha Mazao kwa sababu mvua hazipo.
Hali ya hewa ni...
Siku zingine kabla hamjakurupuka Kuwaondoa ( Kuwafurumusha ) muwe mnaitisha Kwanza Kura za Maoni kutoka Kwetu Wadau na Wadaawa wakuu wa hizo 'Nyama' zao tamu na tukuka.
Kwahiyo mnavyowaondoa mnataka sasa tubake Wanafunzi ili mtufunge vizuri Miaka yenu 30 au tuanze kuwapa Mimba 'House Girls'...
Tanzania ina potential kubwa sana ya uzalishaji mdogo wa umeme wa maji. Hizi ni zile zinazoweza zalisha 5KW hadi 10MW.
Utafiti uliofanyika unaonyesha mikoa kama Ruvuma, Rukwa, Njombe, Mbeya, Songwe, Kagera na zingine kwa kiasi zina potential kubwa sana za micro hydro dam, ni kama inafika 500MW...
Jamani wapendwa nataka kuanzisha biashara ya kuuza dawa za kuua nyasi kama vile round up kalachi nk.
Naombeni mwenye uzoefu anipe faida na hasara za biashara hii.
Asanteni sana
Hello wanaforum naitwa richard nimegraduate degree ya finance university of dsm natafuta nafasi ya kazi ya kujitolea kwenye kampuni yoyote nipate uzoefu Napatikana Dar Es Salaam Tanzania namba zangu 0657710078
baada
banda
chuma
dar
dar es salaam
daressalaam
duka
fundi
godown
halali
internship
kariakoo
kazi
kazi yoyote
kibarua
kuuzakuuza duka
maduka
mafundi
manual
msaada
natafuta
natafuta kazi
sugu
ujenzi
warehouse
Jana nilikuwa naongea na bwana mdogo anafanya mitihani ya wahasibu ya CPA mbayo inaanza jumanne. Bwana mdogo amefanya hii mitihani muda mrefu sasa jana namuuliza unamaliza lini mbona kila mara unarudia rudia, dogo akajitetea kwamba kutokana na shughuli zake huwa anakosa muda wa maandalizi vizuri...
Unaambiwa!
Ikiwa biashara ya viungo vya ndani vya binadamu bado ni haramu katika nchi karibia zote duniani,
Iran ndio nchi pekee duniani inayotoa vibali na ruhusa kwa watu kuuza figo zao kihalali.
Serikali huandikisha wanunuzi na wauzaji, kuwalinganisha na kuweka kiwango cha bei elekezi kwa...
*manula.... huyu hata kumuelezea ni ngumu siku akiamua kudaka anadaka kwelikweli siku akiamu kuvurunda kama jana utafurahi mwenyewe kwa huzuni
*Boko .... Huyu naye kama Manula probably hana miaka 32 kama anavyosema
*Wawa .... Hili ndilo kubwa la magodfather huwa halipendi kuruka kama goli...
LEOO NIMEANGALIA WAKULIMA WANAVYOLIA LINDI KUSA M ADA KUJA NA BEI ZA HASARA KABISA KAKUMBUKA .MENGI SANA
WANANCHI WA LINDI MMENUFURAHISHA SANA WALIPOFIKA MNADAN WAKAKUTA BEI ZA AJABU WALICHO FANYA N KUGOMA NA KUAIRISHA . MNADA
DC NA MKUU WA MKOA NAJUA UNALIJUA HILI NAMANI KUONA UKITOA NENO...
CCM KUWEKA MISINGI MADHUBUTI KUENDELEZA SANAA NCHINI
Dar es Salaam
25 Septemba, 2021
Akizungumza kupitia jukwaa la wasanii liloandaliwa na kampuni ya Marketing Africa Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Ndugu Shaka Hamdu Shaka amesema serikali ya CCM itaendelea kuweka misingi Imara ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.