kuuza

  1. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Steve Nyerere: Kikwete alinisisitiza nisome, niache kuuza Big G

    "Wakati nipo Form One nilianza biashara ya kuuza Big G pale shopaz ili nimsaidie mama kupata ada. Nilikutana na Jakaya Mrisho Kikwete wakati huo akiwa Waziri wa mambo ya Nje. Mimi nilikuwa mtu wa kuongea sana. Nilikuwa namjua. Siku hiyo alifika na akiwa amevaa kanzu nilikuwa naongea huku nauza...
  2. Replica

    JamiiForums Tanzania India yaruhusu kuuza tani 30,000 za mchele Tanzania

    Serikali ya India imetoa kibali cha kuuza tani 30,000 za mchele mweupe kwa nchi ya Tanzania na tani 80,000 kwa Taifa la Djibouti na Guinea Bisau. India ilipiga marufuku tangu Julai 20, 2023 kuuza nje mchele mweupe usio wa Basmati katika jaribio la kudhibiti bei ya mchele nchini India na...
  3. Nahman

    JamiiForums Tanzania Vikoba imekua sababu kubwa iliyowaingiza akina dada kwenye biashara ya kuuza mwili

    Hi guys… VIKOBA NI NINI? ni mfumo wa kuweka na kukopa kwa wanachama waliojiunga kwa pamoja na kuunda kikundi kwa malengo ya kujikwamua kiuchumi. Ni na ni sahihi ya kua vikundi hivi vimekua na matokeo chanya kijamii, na familia kiujumla Ila kwa bahati mbaya kwa mkosaji wa kipato kwa muhusika...
  4. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Katavi: 18 wamekamatwa kwa kuuza sukari nje ya bei elekezi

    Wafanyabiashara 18 Mkoa wa Katavi wamekamatwa kwa kuuza sukari kinyume na bei elekezi ya Serikali ambapo katika mkoa wa huo sukari inapaswa kuuzwa kuanzia Tsh. 2,900 hadi 3,200. MrinMkuu wa Mkoa wa Katavi, Mwanamvua Mrindoko amewataka Wafanyabiashara kuzingatia maelejezo ya Serikali hususani...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Fence wires na senyenge

    Tanzania fence factory:(0789020813) tupigie. Tunatengeneza na kuuza fence wire aina zote na senyenge Kwa bei ya kiwandani. 2.0mm bei yake ni 55,000/= 2.5mm bei yake ni 75,000/= 2.5mm(kijani)bei yake=80,000/= Fence wires zote ni mita 11. Tupo Kinondoni mkwajuni dsm Tunafanya delivery Kokote ulipo...
  6. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Shinyanga: Wafanyabiashara 6 wakamatwa kwa kuuza Sukari kinyume na Bei elekezi

    JESHI la Polisi mkoani Shinyanga, linawashikilia wafanyabiashara sita wa sukari kwa tuhuma za kuuza sukari kinyume na bei elekezi ya serikali. Taarifa hiyo imetolewa na Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Christina Mndeme, katika kikao alichofanya na wafanyabiashara wa sukari mkoani humo kilichokuwa na...
  7. G

    JamiiForums Tanzania Daftari la mauzo linapendeza lakini ukweli ni kwamba hakuna faida. Mzigo niliojumua 3.8M na kuuza 8.2M umenipa faida ya laki 1 tu

    Ni hesabu nilizopiga katika duka langu dogo nililoweka binti wa kazi mwaka jana, Nimehitimisha biashara ilikuwa inapiga nondo / kujitekenya / BREAK EVEN. Biashara hii mzigo wa dukani sio wangu hadi pale tu nitapouza, nisipouza naweza kuurudisha, mzigo ukiisha naenda kuchukua mwengine, hivyo...
  8. Logikos

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mnipangie Bei ya Kuuza Sukari?

    Haya mambo ya ajabu sana Tuliowapa kazi wameshindwa wanamtupia lawama mtu anayecheza na fursa.... Kama mtu ali-gamble akachukua shehena ya sukari fingers crossed kwamba bei zitapanda na yeye ajipatie bahati kwanini tumpangie bei ya kuuza wakati bei labda zikishuka (Mkeka wake usipotiki)...
  9. MrsPablo1

    JamiiForums Tanzania House4Sale Appartments zinauzwa Mbezi Mwisho Msakuzi

    ..
  10. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Amuua mkewe, na yeye kujiua kisa mzozo mume kuuza vitu vya ndani

    RASHIDI Mkayala mkazi wa Mtaa Gemu Kata ya Mwanga Kusini Manispaa ya Kigoma Ujiji amemuua mke wake Bernadeta Cosmas(33) kwa kumnyonga shingo hadi kufa chanzo kikielezwa kuwa ni mgogoro baina ya wanandoa hao. Muda mfupi baada ya Mkayala kutekeleza tukio la kumnyonga mkewe, naye alijinyonga kwa...
  11. Mjanja M1

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Polisi washikiliwa kwa kuuza pombe haramu na kuua watu 17

    Katika kisa kilichoshangaza katika eneo la Kirinyaga nchini Kenya, watu 17 wamepoteza maisha baada ya kunywa pombe haramu ambayo inadaiwa waliuziwa na maafisa wa polisi. Tukio hilo limetokea baada ya maafisa hao kudaiwa kuvunja ghala la polisi na kuiba kileo hicho kilichokuwa kimewekwa kama...
  12. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Ubalozi wa Marekani kufanya mnada wa kuuza vitu nchini

    Ubalozi wa Marekani Dar es Salaam unapenda kutangaza kuwa itauza mali mbalimbali katika mnada utakaofanyika tarehe 10 Februari 2024, kuanzia saa 3 asubuhi. Mnada huu utaendeshwa na kufanyika UNIVERSAL AUCTION CENTRE, iliyoko karibu na Golden Resort, Lion Street, Sinza, Dar es Salaam (Angalia...
  13. banalunda

    JamiiForums Tanzania Natafuta kijana wa kuuza chipsi

    Habarini za majukumu, kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu. Nahitaji kijana muaminifu na mzoefu wa jiko la kuuza chipsi, mishkaki, samaki n.k, kwa hapa Dar es Salaam. Aliye serious anicheki PM tafadhali.
  14. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Tunduru: Wafanyabiashara 28 washikwa na kuachiwa kwa dhamana kwa kuuza bei ya juu sukari

    Mkuu wa Wilaya ya Tunduru Mkoani Ruvuma, Julius Mtatiro Mkuu wa Wilaya ya Tunduru Mkoani Ruvuma, Julius Mtatiro amesema mara baada ya Serikali kutoa muongozo wa bei elekezi ya sukari uongozi wa Wilaya ukafanya vikao kwa ajili ya kutoa mwelekeo. Amesema “Kwanza ilikuwa kupata orodha ya watu...
  15. E

    JamiiForums Tanzania Tangazo la kijana wa kiume anayeweza kuuza Pharmacy

    Anahitajika kijana wa kiume ili auze pharmacy mwenye leseni au kama hana boss anaweza kumlipia na watakatana kwa salary Duka lipo Lindi mjini, Kijana huyo atapatiwa sehemu ya kulala ambayo chumba na sebule Umeme na maji vinapatikana na vinalipiwa na boss Kwa mawasiliano zaidi piga +255 627...
  16. F

    JamiiForums Tanzania Ugomvi mkubwa wa Mirathi. Familia ya Mandela yaanza kuuza mali za marehemu. Kweli Africa tunafanana Tabia

    Habari wadau. Ugomvi mkubwa wa mirathi ya marehemu Nelson Mandela umefikia pabaya. Baada ya baadhi ya wanafamilia kuanza kuuza mali za Marehemu. Watoto na Wajukuu wa mandela wameingia kwenye ugomvi mkubwa wa kugombania mali za babu yao marehemu Mandela. Africa tunafanana tabia. Kwenye swala...
  17. U

    JamiiForums Tanzania Rekodi ya kuuza copy nyingi, nani mkweli, Mr. Nice niliuza nakala 1.7 mil, feruzi 200k ndani ya wiki?

    Mr. NICE ALIWIKA sana lakini anaonekana ni Mzee wa maneno ya kujisifia sana, kumekuwa na takwimu zisizo eleweka za mauzo ya kazi za wasanii hapo zamani. Huku Mr. Nice akitamba kwamba yeye aliuza nakala milioni 1.7 na aliemfuatia alikuwa around laki 380,000/= wakati huo huo tunaambiwa na Feruzi...
  18. BwanaSamaki012

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza cement zangu, Mwanza

    Habari zenu wadau? Nilikuwa kwenye process za ujenzi ila kwa bahati mbaya huu mwaka sijauanza vizuri na kiukweli sioni dalili za kuendelea na ujenzi hivi karibuni naona nikiendelea kukaa na hizi cement kwa muda mrefu zaidi kuna uwezekano zikaganda nimeamua kuziuza ili nipunguze/niziuze hasara...
  19. MKATA KIU

    JamiiForums Tanzania Mke kuuza Penzi ndani ya ndoa, Mke kunywa P2 ndani ya ndoa, wanaume wengi wanalamika hii tabia. Ndoa zimekuwaje?

    Habari wadau Kuna kesi nyingi za wanandoa wanaume wanalalamika kwamba bila pesa ama kutimiza matakwa ya wake zao. Wanagomewa kupewa penzi. Mtu ameoa ana mke ndani ila hana uhakika wa kupata penzi akiwa na hamu nalo. Hii inakuwaje? Yaani ununue vyakula ndani ila usiwe na uhakika wa kula...
  20. macho_mdiliko

    JamiiForums Tanzania Zimbabwe: Wakamatwa kwa kuuza tiketi za kwenda mbinguni

    Tito and Amanda Watts mtu na mkewe, walikamatwa mwishoni mwa wiki kwa kuuza ''ticket za dhahabu za kwenda mbinguni'' kwa mamia ya watu. Wanandani hawa, waliokuwa wanauza tiketi hizo kwa dola za kimarekani 99.99 kwa kila tiketi, huku wakiwaambia wanunuaji kuwa zilikuwa zimetengenezwa kwa dhahabu...
Back
Top Bottom