Amuua mkewe, na yeye kujiua kisa mzozo mume kuuza vitu vya ndani

Mjanja M1

JF-Expert Member
Oct 7, 2018
3,854
13,224
RASHIDI Mkayala mkazi wa Mtaa Gemu Kata ya Mwanga Kusini Manispaa ya Kigoma Ujiji amemuua mke wake Bernadeta Cosmas(33) kwa kumnyonga shingo hadi kufa chanzo kikielezwa kuwa ni mgogoro baina ya wanandoa hao.

Muda mfupi baada ya Mkayala kutekeleza tukio la kumnyonga mkewe, naye alijinyonga kwa kutumia kilemba cha kiume cha kuvaa kichwani.

Akielezea chanzo cha tukio hilo lililotokea usiku wa kuamakia leo Februari 21, 2024, Mwenyekiti wa mtaa huo, Buswalu Mkama amesema chanzo ni mgogoro uliotokea siku za nyuma ambapo mke wa marehemu alifika kwa mwenyekiti huyo na kutoa taarifa ya vitendo vya mume wake kuuza vitu vya ndani bila makubaliano baina yao.

Amesema amekuwa akisuluhisha kesi za wanandoa hao ambazo zimekuwa zikiripotiwa katika ofisi yake mara kadhaa kwaajili ya kutafutiwa ufumbuzi na kuondoa changamoto.

“Siku moja kabla tukio Bernadetha alilala nyumbani kwangu baada ya kumkimbia mumewe kutokana na kipigo alichokipata, alinusurika kuuawa kwa kunyongwa na waya wa umeme, alipopata nafasi ya kuchomoka alikimbilia kwangu ambapo alilala na kuondoka kesho yake (siku ya tukio)” ameeleza mwenyekiti huyo

Uchunguzi wa awali unaonesha kuwa marehemu Rashid alimnyonga mkewe kwa mikono hadi kumuua na baadaye kutoka nje ambapo alifunga mlango kwa nje na kurudi ndani kwa kupitia dirishani ambapo alifunga milango yote na madirisha na yeye kujinyonga kwa kitambaa cha kichwani.

Kwa upande wa mtoto wa marehemu, Hussein Rashidi amesema wazazi wake wamekuwa wakigombana mara kwa mara na kwamba mama yake alikuwa akimkimbia baba yake na kulala kwa viongozi wa serikali za mitaa ili kujinusuru asiumizwe kutokana na vipigo alivyokuwa akipata kutoka kwa baba yake.

Hadi sasa miili ya wanandoa hao imehifadhiwa kwenye hospitali ya mkoa ya rufaa ya Maweni wakati uchunguzi wa tukio hilo ukiendelezwa na jeshi la polisi.

Source - Nipashe
 
Hao hapo....

Screenshot_20240221-211636~2.png
 
Kilemba cha kiume! makubas team.

Alikusudia kuua. Kama alijaribu kwa waya wa umeme halafu kanyonga kwa mikono, huyu ni gaidi

Mwanamke naye mjinga. Alinusurika halafu akarudi tena.
 
Unatafuta basha ukunwe? Wewe si wakuongea kwani baba si kawarihusu mkish fir**a mubarikiwe katika madhabahu ya bwana?

Kwani SHAKAHOLA wamemaliza kufikia maiti

Tafuta basha akubaramie ukenda kwenye madhabahu utabarikiwa tuu
 
RASHIDI Mkayala mkazi wa Mtaa Gemu Kata ya Mwanga Kusini Manispaa ya Kigoma Ujiji amemuua mke wake Bernadeta Cosmas(33) kwa kumnyonga shingo hadi kufa chanzo kikielezwa kuwa ni mgogoro baina ya wanandoa hao.

Muda mfupi baada ya Mkayala kutekeleza tukio la kumnyonga mkewe, naye alijinyonga kwa kutumia kilemba cha kiume cha kuvaa kichwani.

Akielezea chanzo cha tukio hilo lililotokea usiku wa kuamakia leo Februari 21, 2024, Mwenyekiti wa mtaa huo, Buswalu Mkama amesema chanzo ni mgogoro uliotokea siku za nyuma ambapo mke wa marehemu alifika kwa mwenyekiti huyo na kutoa taarifa ya vitendo vya mume wake kuuza vitu vya ndani bila makubaliano baina yao.

Amesema amekuwa akisuluhisha kesi za wanandoa hao ambazo zimekuwa zikiripotiwa katika ofisi yake mara kadhaa kwaajili ya kutafutiwa ufumbuzi na kuondoa changamoto.

“Siku moja kabla tukio Bernadetha alilala nyumbani kwangu baada ya kumkimbia mumewe kutokana na kipigo alichokipata, alinusurika kuuawa kwa kunyongwa na waya wa umeme, alipopata nafasi ya kuchomoka alikimbilia kwangu ambapo alilala na kuondoka kesho yake (siku ya tukio)” ameeleza mwenyekiti huyo

Uchunguzi wa awali unaonesha kuwa marehemu Rashid alimnyonga mkewe kwa mikono hadi kumuua na baadaye kutoka nje ambapo alifunga mlango kwa nje na kurudi ndani kwa kupitia dirishani ambapo alifunga milango yote na madirisha na yeye kujinyonga kwa kitambaa cha kichwani.

Kwa upande wa mtoto wa marehemu, Hussein Rashidi amesema wazazi wake wamekuwa wakigombana mara kwa mara na kwamba mama yake alikuwa akimkimbia baba yake na kulala kwa viongozi wa serikali za mitaa ili kujinusuru asiumizwe kutokana na vipigo alivyokuwa akipata kutoka kwa baba yake.

Hadi sasa miili ya wanandoa hao imehifadhiwa kwenye hospitali ya mkoa ya rufaa ya Maweni wakati uchunguzi wa tukio hilo ukiendelezwa na jeshi la polisi.

Source - Nipashe
Huyu mwananmke alikuwa ajielewe kila siku unapigwa HV huna kwenu

Si angeondoka kwurud kwao ona SAS amefariki kizembe

Kila siku mnawapa kataa ndoaaa point

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom