Mke kuuza Penzi ndani ya ndoa, Mke kunywa P2 ndani ya ndoa, wanaume wengi wanalamika hii tabia. Ndoa zimekuwaje?

MKATA KIU

JF-Expert Member
Nov 22, 2010
2,878
6,297
Habari wadau

Kuna kesi nyingi za wanandoa wanaume wanalalamika kwamba bila pesa ama kutimiza matakwa ya wake zao. Wanagomewa kupewa penzi.

Mtu ameoa ana mke ndani ila hana uhakika wa kupata penzi akiwa na hamu nalo. Hii inakuwaje?

Yaani ununue vyakula ndani ila usiwe na uhakika wa kula chakula mpaka umlipie mpishi fee mpya.

Hii ni sawa?
 
Back
Top Bottom