INAUZWA Nauza cement zangu, Mwanza

Jan 13, 2023
92
99
Habari zenu wadau?

Nilikuwa kwenye process za ujenzi ila kwa bahati mbaya huu mwaka sijauanza vizuri na kiukweli sioni dalili za kuendelea na ujenzi hivi karibuni naona nikiendelea kukaa na hizi cement kwa muda mrefu zaidi kuna uwezekano zikaganda nimeamua kuziuza ili nipunguze/niziuze hasara inayoweza kujitokeza, atleast hela nitakayoipata inisaidie kwenye kipindi hiki kigumu ninachopitia.

Nauza cement (Simba Cement) kwa bei ya kuanzia Tsh 20,000 - 18,000 kwa mfuko mmoja. Idadi ya cement ni mifuko 60+ yenye uzito wa 50kg

Location
Mwanza, Ilemela - Kanisani

Mawasiliano
Kwa yoyote mwenye uhitaji tuwasiliane kupitia namba za simu zifuatazo;
0758779170.

NB: Mimi sio dalali cement hizi ni zangu, ziko nyumbani hadi hivi sasa. Hii ni kwa wakazi wa Mwanza pekee.
 

Attachments

  • 20240120_131057522.jpg
    20240120_131057522.jpg
    934.2 KB · Views: 9
  • 20240120_131110837.jpg
    20240120_131110837.jpg
    1.2 MB · Views: 6
Back
Top Bottom