D
DeletedMember281674
Guest
Baada ya Ukraine kuwashambulia URUSI kwa drones na kwenda kupiga kwenye Shule ya Watoto wa Primary usiku wa kuamkia Jana, leo Rais Putin kaidhinisha vikosi vyote vya Nyuklia kuanza mazoezi na kujiandaa kumshambulia Adui yao atakayeivamia nchi yao lakini haijawekwa wazi Adui huyo ni nani???
Kauli hii ya Putin inakuja baada ya kutoka safari ya kikazi nchini China na kukutana na Rais Xi Pin, na wakati ambapo vikao vya Mawaziri wa Ulinzi wanaounda jumuiya ya NATO wakikutana siku ya leo nchini Switzerland.
Je, tutegemee vita ya Nyuklia??? Muda ni rafiki mzuri tuendelee kusubiri...