kutoka

Kutoka Interactive was an educational software company founded in Montreal, Quebec, in 1995. The company produced, developed, and distributed both subject-based and grade-based video games for Windows and Macintosh from 1996 to 2017. They were most famous for their Mia games.

View More On Wikipedia.org
  1. Annie X6

    JamiiForums Tanzania Barabara kutoka Cairo Misiri hadi capetown Afrika Kusini, hapa Tanzania inakatisha mikoa ipi?

    Huu mradi katika ukanda wa kati njia hii kutoka Cairo mpaka captown utapitia dsr es salaam nomba kujua mikoa mengine. Hii hapa nimepata nchi itakamo pita.
  2. Kichwa kikubw

    JamiiForums Tanzania Nimetumiwa mzigo kutoka Uingereza kuja Afrika Mashariki

    Habari za wakati huu wapendwa, Wana Jukwaa, naomba ufafanuzi. Kuna mtu amekutumia zawadi ya iPhone, laptop, na pesa taslimu $1500. Naomba msaada kwa wale wazoefu, maana mzigo ulitumwa jana usiku na umefika Kenya katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta, Nairobi. Naomba msaada...
  3. dem boyz

    JamiiForums Tanzania Yanga play like big European clubs

    Yanga play like big European clubs I don’t think Ronwen William will keep a clean sheet in this game ...Young Africans are unbeaten they play like big European clubs...it will be so hard for Masandawana - Mjagabani @mjagabani Habari za Yanga,Afrika nzima wanazo ila makoloudad tu kujifanya na...
  4. Richard

    JamiiForums Tanzania Serikali iziachie taasisi kama UDART na DART zijiendeshe zenyewe na ziteue watendaji wanofaa hata kama ni kutoka nje

    Maofisa watendaji wakuu wa taasisi yoyote ile ni maofisa waaandamizi kabisa wa kampuni au taasisi yoyote ya umma. Kwa miaka mingi kumekuwepo na teuzi na tenguatengua za watendaji wa makampuni na taasisi mbalimbali za serikali jambo linoonyesha kuwa kuna tatizo kwani taasisi hizo ama zimeitia...
  5. G

    JamiiForums Tanzania Kigoma: Mchungaji na waumini wanaowapinga kamchape wachezea kipigo kizito kutoka kwa wananchi

    kigoma ni mkoa mgumu sana ukianza kugusia suala la kutokomeza Kamchape
  6. Desierto

    JamiiForums Tanzania Wazungu ni watu wa upendo sana

    Leo hii kuna laptop nimefungua ndani nikakuta vitu Kama ifuatavyo Kule ndani nimekuta vifaa vya nchi kadhaa ikiwamo U.S.A Malaysia China Japan India Singapore Je sisi ngozi nyeusi tutaweza Nini Kama tumeshindwa kufanya tu hata vya kuiga vinavo onekana kwa macho. Tuache unafiki mfano. Mtu...
  7. Kusini pride

    JamiiForums Tanzania Wakristo huyu msanii wa injili ayeimba yesu ninyandue mbona anaachwa? Na wala hatujasikia kauli kutoka kwa viongozi

    Huu ni mtihani kwakweli hivi inakuaje mtu anaimba yesu ninyandue na bado watu wa dini hiyo wapo kimya? Ingekuwa upande wa pili sasa hivi angekatwa kichwa au wamemrest in peace Tunaomba kauli zenu viongozi wa kikristo kutokana na huu ujinga wa huyu mwimbaji wa injili.ili tumle.kichwa sie# yesu...
  8. P

    JamiiForums Tanzania Mungu fundi: Kutoka kwenye maono ya kuwa Air Hostess hadi kuwa nafasi ya juu

    Binadamu yeyote mwenye akili inayofanya kazi huwa ana maono/ ndoto ya kuja kuwa mtu fulani katika jamii. Maono haya yanatokana na uwezo wa mtu wa kufikiri, mazingira, elimu aliyonayo, vitu anavyoona au kusikia. Katika mazingira yote hayo, mtu mmoja alikuwa na ndoto ya kuja kuwa air...
  9. MK254

    JamiiForums Tanzania Qatar kuwafukuza HAMAS kutoka kwake kama hawataisikiliza

    Jamaa wamekomalia misimamo mikali huku wakiishi maisha mstarehe kwenye majengo ya kifahari Qatar, ilhali kule Gaza wenzao wanapokea kichapo kila siku, Qatar imeanza kuonyesha dalili za kuwatimua...... According to Egyptian and Hamas officials, Qatar has threatened to expel Hamas officially from...
  10. STUKA M1

    JamiiForums Tanzania App nzuri ya kuscan kutoka picha kuwa pdf

    Wakuu nahitaji Application ambayo ni easy kutumia inayoweza kupadili Image/picture kuwa pdf tena kwa kuunganisha kabisa
  11. G

    JamiiForums Tanzania Case study Havard University: Ni kwanini kuna wasomi wachache kutoka mataifa ya kiarabu kwenye vyuo bora duniani?

    Wanapuuza elimu? Uwezo mdogo wa darasani? Hawataki elimu dunia ? Sio kwamba waarabu hawapo kabisa hivyo vyuo lakini idadi yao ni ndogo Mfano mdogo ni idadi ya mataifa yanayoongoza kwa wahitimu kwa mwaka jana 2022/23 chuo cha Havard, hii ni kutoka moja kwa moja kwenye tovuti ya Havard Havard...
  12. UKWAJU WA KITAMBO

    JamiiForums Tanzania Support ya msanii Soggy Doggy kwa wasanii kutoka jijini Mwanza

    SUPPORT YA MSANII SOGGY DOGGY ANTER KWA WASANII WA MUZIKI WA BONGO FLEVA MKOANI MWANZA.. ____________________ ✍🏾 Bila shaka jina la Msanii Anselm Tryphone Ngaiza a.k.a soggy doggy anter sio jina jipya masikioni mwa watu Hasa Kwa wadau na mashabiki wa Muziki wa Bongo fleva Nchini Tanzania...
  13. Mto Songwe

    JamiiForums Tanzania CCM kutoka madarakani haimaanishi nchi itabadilika

    Ni muda sasa wakuambiana ukweli. Na ukweli ni kwamba sikweli kuwa changamoto na matatizo ya Watanzania yatatamatika pale CCM itakapo toka madarakani. Mtanzania ana matatizo na changamoto za aina mbili zinazo mkabili Moja changamoto ya yeye kuwa Mtanzania pale tu utakapo kuwa Mtanzania kuna...
  14. Mgaa gaa upwa

    JamiiForums Tanzania Je, naweza kuhamisha mkopo kutoka Benki ya ABC kwenda benki zingine kubwa?

    Wasalaam Jamani nilikwama nikajiingiza kwao Banc ABC kukopa nilichukua 3 million ila ilitakiwa nirejeshe 8 million sasa naona bora hili dwni nilipeleke CRDB bank. Sasa je kuna mtu anafahamu utaratibu wa kuhamisha deni tafadhari wakati nikiwa na lengo la kulipa hapo baadae.?
  15. ACT Wazalendo

    JamiiForums Tanzania Ado Shaibu aweka Wazi Wajumbe wa Sekretarieti ya ACT-Wazalendo

    Ado Shaibu: Aweka Wazi Wajumbe wa Sekretarieti ya ACT-Wazalendo. UTANGULIZI Jana tarehe 7 Machi 2024, Halmashauri Kuu ya Chama ya Chama cha ACT Wazalendo ilikutana kwenye kikao chake maalum kilichofanyika katika Ukumbi wa Hakainde Hichilema uliopo katika Jengo la Maalim Seif (Makao Makuu ya...
  16. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Mwenye uzoefu wa gari za Byd yangwang kutoka China

    Gari za byd yangwang zinazotengenezwa china mwenye kujua zipoje.je kwa afrika zinafaa maana wanateknolojia ya umeme na smart AI nyingi sana kwenye gari. Sifa ya injini yake inajitengenezea yenyewe umeme na kusukuma gari sio kama ile ya tesla mpaka uchaji ukilinginisha hii gari.
  17. F

    JamiiForums Tanzania Mbowe usifanye kosa la kuachia Uenyekiti CHADEMA kabla ya 2030 vinginevyo tutarudi miaka ile myeusi (1995)

    Sisi tanaangalia mzigo ufike panapohusika na sio hali ya punda! Tunakuomba sana mheshimiwa Freeman Mbowe kama unawapenda watanzania na CHADEMA usifanye kosa la kuachia uongozi wa chama kabla ya angalau 2030. CHADEMA sio chama cha kuchukuliwa kiepesi epesi, CHADEMA ndio upinzani nchi hii na...
  18. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Zaidi ya Abiria 300 wa Treni ya TAZARA kutoka Zambia wakwama Mbeya

    Abiria zaidi ya 300 wanaosafiri kwa gari moshi (Treni) kupitia reli ya TAZARA kutoka Nchi jirani ya Zambia,na Mikoa ya Songwe na Mbeya kuelekea Mkoa wa Dar es Salaam, wamekwama kwa zaidi ya saa nane katika stesheni ya TAZARA Mkoa wa Mbeya baada ya kichwa cha gari moshi hilo kupata hitilafu na...
  19. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Haiti yatangaza hali ya Hatari na Marufuku ya Kutoka Nje Usiku

    Serikali imetangaza hali ya dharura na amri ya kukaa ndani (kuanzia Saa 12 Jioni - 11 Asubuhi) hadi Machi 6, 2024 kwa Wakazi wa eneo la Ouest linalojumuisha Mji Mkuu katika jitihada za kukabiliana vurugu kwenye Magereza Mawili zilizowawezesha Maelfu ya wafungwa kutoroka Machi 3, 2024 Vurugu...
  20. Mpigania uhuru wa pili

    JamiiForums Tanzania Mwinyi hakuruhusu biashara huria bali yale ni masharti ya SAPs kutoka IMF kabla nchi haijapewa mkopo

    Mimi sio mwandishi mzuri bali mjitahidi kusoma hivyo hivyo Baada ya vita vya kagera hali ilikua mbaya sana kiuchumi na ukizingatia kipindi hicho ussr inapumulia machine kiuchumi Wale wenye akili timamu watakubaliana na mimi miaka ya 1980's mwanzoni hali ilikua ni ngumu sana kwa wananchi na...
Back
Top Bottom