Nini kimesababisha gharama za huduma ya choo Stendi ya Mbezi Louis ishuke kutoka Tsh. 500 hadi 200 tu?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,699
109,135
Tulilalamika sana tozo hii kubwa ya kutukumoa hapa Jamiiforums miaka mingi sana ila mkawa jeuri kwa kutoipunguza huku mkituambia kwa dharau nyingi kuwa kama hatuna hiyo Tsh. 500/- ya maliwatoni (chooni ) hapo tujikojolee/tujisaidie midomoni mwetu.

Leo GENTAMYCINE nimeshikwa na butwaa kubwa na ilinibidi niulize mara mbili mbili ili kujiridhisha kwa bei niliyoikuta ya Tsh. 200/- tu uwe kwa huduma ya haja kubwa na ndogo tofauti na bei ya kijeuri na nyodo ya zamani ya Tsh. 500/- ambayo kiukweli ilitesa watu wengi (hasa wasafiri na abiria) wa kituo cha daladala cha Mbezi Luis hadi wengine kuamua kwenda kujisaidia vichakani na kukamatwa na askari mgambo na kuswekwa ndani au kulipishwa faini kubwa.

Asanteni kwa kutushushia hiyo bei sisi abiria na watu wa kawaida akina GENTAMYCINE, ila mmechelewa mno na kupata hasara kubwa, kwani bei yenu ingekuwa ni nafuu kwa kila mtu kwa hiyo Tsh. 200/- badala ya Tsh 500/- ya awali mngepata faida kubwa na leo mngekuwa mbali sana kifaida.
 
Tulilalamika sana tozo hii kubwa ya kutukumoa hapa Jamiiforums miaka mingi sana ila mkawa jeuri kwa kutoipunguza ali sana kifaida.
Nasikia kapewa muwekezqji mpya kutoka Uarabuni ndiyo maana bei zimeshuka,na muarabu mizigo yenu anapeleka kwao na anauza kama mali ghafi huko viwandani!!
 
Tulilalamika sana tozo hii kubwa ya kutukumoa hapa Jamiiforums miaka mingi sana ila mkawa jeuri kwa kutoipunguza huku mkituambia kwa dharau nyingi kuwa kama hatuna hiyo Tsh. 500/- ya maliwatoni (chooni ) hapo tujikojolee/tujisaidie a kifaida.
Samia rais wa wanyonge,jiwe aliwajibu mavi yenu muwe mnayaacha makwenu,bila suluhisho
 
Aaaawapiii... Wasukuma wakishuka hapo wanakunya hadi lita 4 ndio iwe 200!!! Ila labda watu wa Dar wangefikiriwa wanye hata kwa 50, maana wana tumavi kidogo
 
Aaaawapiii... Wasukuma wakishuka hapo wanakunya hadi lita 4 ndio iwe 200!!! Ila labda watu wa Dar wangefikiriwa wanye hata kwa 50, maana wana tumavi kidogo
😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆
 
Back
Top Bottom