kutoka

Kutoka Interactive was an educational software company founded in Montreal, Quebec, in 1995. The company produced, developed, and distributed both subject-based and grade-based video games for Windows and Macintosh from 1996 to 2017. They were most famous for their Mia games.

View More On Wikipedia.org
  1. THE FIRST BORN

    JamiiForums Tanzania Hakuna Kocha Aliemdharau Mchezaji kutoka Afrika na mizimu ya Kiafrika ikamuacha salama, TUCHEL waulize Pep na Klopp

    Tuchel anachopitia ni Adhabu kutoka kwa Mizimu ya Mababu wa Sadio Mane na Mizimu ya Kiafrika. Huwez ukaamua ugomvi ule wa SANE na MANE kwa dharau Vile,.. Muulize Klopp alimdharau MANE hakufuzu UEFA yupo huko anapigania kombe na Team kama MACCABI HAIFA Pep Alimdharau YAYA TOURE kahangaika na...
  2. Webabu

    JamiiForums Tanzania Iran yazindua mtambo wake wa ulinzi wa anga mfano wa Iron dome na Patriot. Saudia wazidi kununua kachara kutoka Marekani na kukaribisha wanenguaji

    Leo sitaki niseme mengi.Mtajionea wenyewe hapo chini Iran unveils air defence systems as Middle East tensions soar Saudi Arabia signs $3.2B deal for South Korean air defense systems Saudi Arabian GP 2024: 3 international music stars will perform
  3. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Je mafanikio ni uchaguzi maalum kutoka kwa "higher power"?

    Wale wazee wa "tafuta pesa wewe" Kama sijakosea tumegawanyika katika makundi haya: ■masikini wa kutupwa ■masikini wa kawaida ■mwenye nafuu katika maisha ■mwenye nafuu zaidi ■mwenye nafuu maradufu ■mwenye utajiri ■mwenye utajiri zaidi ■mwenye utajiri wa kupindukia Naamini enzi na enzi hivi...
  4. D

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya Shule za Sekondari hasa za wilaya ya Lushoto hazina ufuatiliaji Mzuri kutoka kwa Viongozi wa Halmashauri

    Baadhi ya Shule za Halmashauri ya Wilaya ya Lushoto zimekuwa Mzigo kwa jamii kwani Bado shule hizo Mfano wana waagiza wanafunzi Review ( rejea)za masomo kitu ambacho rejea hizo zilipigwa marufuku na serikali kutokana na kuwafanya wanafunzi kukariri. Lakini bado Baadhi ya Shule hizo zimekuwa...
  5. Huihui2

    JamiiForums Tanzania Petition: Mradi wa Maji Kutoka Ziwa Victoria Uitwe Edward Lowassa Channel

    Mengi yamesemwa kuhusu mchango wa Edward Lowassa akiwa Waziri wa Wizara mbalimbali na akiwa Waziri Mkuu. Katika mazuri aliyofanyia Taifa ni kuongoza nchi za ukanda wa mto Nile (Riparian states) kupinga Mkataba wa Waingereza na Egypt wa mwaka 1929 kuhusu matumizi ya maji ya mto Nile...
  6. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Weka caption kwenye picha hii kutoka Monduli

  7. B

    JamiiForums Tanzania Mganga wa Kienyeji kutoka Tanzania na mgombea urais Seychelles kortini

    15 February 2024 Victoria, Seychelles Kiongozi wa United Seychelles, chama kikuu cha upinzani, Dkt Patrick Herminie na mchawi wake kutoka Tanzania Mahakama ya Ushelisheli mnamo Alhamisi ilifuta mashtaka yote ya watu watano kati ya wanane katika kesi ya uchawi iliyokuwa ikiendelea...
  8. Damaso

    JamiiForums Tanzania Chapulines: Kitoweo cha Panzi kutoka Mexico

    Chakula ni kipengele muhimu cha maisha ya binadamu, ni bidhaa ambayo wakati mwingi huwa ni matokeo ya jitihada, riziki na starehe. Hata hivyo, linapokuja suala la uchaguzi wa mapishi, mapendekezo yanaweza kutofautiana sana kutoka kwa mtu hadi mtu. Ingawa watu wengine wanaweza kupata sahani...
  9. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Kuhusu madai ya Mayele kutupiwa majini vs mganga huyu we kienyeji kutoka Kusini mwa Tanzania

    Huko kusini mwa Tanzania kuna mganga mmoja anasifika kwa kutoa dawa za biashara na mapenzi. Sifa ya kipekee ya huyu mganga ni kwamba ukienda kwake kutafuta lets say dawa ya biashara, atakupa dawa ya biashara ambayo atakuelekeza ukaizike eidha kwenye biashara yako au njia panda inayo ingia...
  10. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Wahamiaji kutoka Iran wadaiwa kuwa wengi zaidi nchini Afrika Kusini kwa bara la Afrika

    idadi ya wa iran iliyopo kitakwimu 5000 na ikadiliwa kuongeza south afrika. nacho jiuliza wameipendea nini south africa. Unamkumbuka huyu mama anayetishiwa na waisraeli .kumbuka miliki nyingi za South Afrika asilimia kubwa ni Waisraeli.
  11. Zikuh de Hammer

    JamiiForums Tanzania Morogoro mchele kg 100 imefika bei gani? Nataka nisafirishe mchele kutoka Moro to Dom

    Wanangu wa Morogoro hivi kg 100 ya mchele imefika bei gani?, nataka nisafirishe mchele kutoka Moro to Dom
  12. TODAYS

    JamiiForums Tanzania Picha ya vatican: Nini kinaendelea hapa?

    Wajuzi wa usomaji wa picha na matukio, hapa namuona madame president ameketi pamoja na ndugu Papa ila kuna tukio sijalielewa kwa mkao wa madame president kutokana na uwekaji wa mikono hapo kwenye meza. Nahisi kama kuna mtu anaapishwa hapa
  13. Damaso

    JamiiForums Tanzania Kifahamu Chakula cha Ajabu kutoka Ufilipino Kinachoitwa Pagpag

    Ulimwengu wa upishi umekuwa ni darasa kubwa ambalo watu hutumia kujifunza utamaduni na hata wengine kujipatia nafasi ya kuingiza kipato, ila wapo wanaovutika kutokana na ubunifu na pamoja na utamaduni za jamii mbalimbali, na hivyo maarifa kadhaa ya upishi yanasambaa zaidi. Walakini, mara kwa...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Washindi wa Kilimanjaro Marathon kuzawadiwa viwanja kutoka Lapex Properties

    Lapex Properties imetangaza kuwazawadia viwanja mshindi wa kiume na wa kike wa mbio za kilometa 42 za Kilimanjaro Premium Lager International Marathon 2024. Zawadi hizi zinatolewa kwa kushirikiana na mdhamini Mkuu wa Mbio za Km 42- Kilimanjaro Premium Lager na waandaaji wa mbio hizi. Tangazo...
  15. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Sebastien Haller: Kutoka kupambana na Saratani hadi kuwa shujaa wa Ivory Coast

    Baada ya Ivory Coast kutwaa ubingwa wa AFCON 2023, mfungaji wa goli la ushindi Sebastien Haller alihojiwa na Waandishi wa Habari, akiwa katikati ya mahojiano akaanza kulia. Hatua hiyo ilitokana na kumbukumbu kuwa mwaka mmoja uliopota alirejea uwanjani baada ya kuwa nje ya uwanja kwa miezi sita...
  16. Equation x

    JamiiForums Tanzania Je, umejipanga kutoka na nani humu ndani katika siku ya wapendanao?

    Zimebaki siku chache sana, siku ya wapendanao ifike. Mjuavyo tena, maisha ya mwanadamu kuna wakati yanahitaji faraja, ingawa kuna changamoto nyingi huwa tunazipitia katika harakati zetu za kila siku. Lakini ni vizuri pia kutenga muda na kufurahi pamoja, na mtu anayeweza kuteka hisia zako, na...
  17. Matulanya Mputa

    JamiiForums Tanzania MAKONDA MSHTAKIWA RASMI SASA BAADA YA KUTOKA KWENYE MFUMO

    Makonda ulinusurika kufanywa kama Sabaya, wazee wa korido au viambaza walikulinda kwa maelekezo ya Hangaya. Wajuzi wa mambo wakaenda mbali zaidi wakasema Hangaya alikupenda japo ulitoka familia ya jiwe,wengine wakasema Makonda hujawahi mchafua Hangaya akiwa makamu wa ofisi za Magigoni...
  18. Mpigania uhuru wa pili

    JamiiForums Tanzania Cyrill radcliff mwanasheria kutoka london aliyeigawanya india na pakistan

    Baada ya vita vya pili vya dunia uingereza kutoka na kutumia hela nyingi sana kwenye vita waliona ni mda muafaka wa kupunguza baadhi ya makoloni moja wapo likawa ni india Kwa kipindi ambacho mwingireza ametawala india aliona itakua ngumu kwa jamii mbili za waislaimu na wahindu kukaa pamoja kwa...
  19. CARIFONIA

    JamiiForums Tanzania Kwa haya anayoyafanya Makonda najaribu kufikiri nje ya box

    Ndugu zangu wadanganyika, Matatizo au changamoto ambazo kiini chake ni mfumo mzima mbovu wa nchi hii, auwezi kutatuliwa kwenye mikutano na wananchi, kwa kuinua mwananchi mmoja na kumsikiliza kisha unampigia simu sijui waziri au mkurugezi kutatua shida ya huyo mwananchi. Ukweli ni kwamba...
  20. Mpigania uhuru wa pili

    JamiiForums Tanzania Kampuni za Asia kupewa tenda nyingi Afrika ni janga lingine

    Miaka ya karibuni kumekua na wimbi kubwa la kampuni za asia kushinda tender hasa za barabara hii ni habari mbaya sana kwa sababu ubora wa miradi wanayojenga kampuni za asia ni mdogo sana baada ya miaka kadhaa tayari unakuta zimeanza kuharibika. Sheria ya mshindi wa tender lowest bidder itazamwe...
Back
Top Bottom