Stephano Mgendanyi
JF-Expert Member
- May 16, 2020
- 1,903
- 945
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo imepokea na kujadili taarifa ya hatua zilizofikiwa za utekelezaji wa maelekezo ya Spika wa Bunge kuhusu Malalamiko ya wakulima juu ya Matrekta ya URSUS kutoka Nchini Poland.
Taarifa hiyo imewasilishwa na Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji Oktoba 17, 2023 Katika Ukumbi wa Bunge Jijini Dodoma na kuhudhuriwa na Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Exaud Kigahe
Aidha, Kwaniaba ya Serikali Kikao kimehudhuriwa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge na Uratibu Mhe. Jenista Mhagama; Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Exaud Kigahe; Naibu Waziri wa Fedha Mhe. Hamad Chande; Katibu Mkuu wa Viwanda na Biashara Dkt. Hashil Abdallah pamoja na baadhi ya wakuu wa Idara na Taasisi.