kutoka

Kutoka Interactive was an educational software company founded in Montreal, Quebec, in 1995. The company produced, developed, and distributed both subject-based and grade-based video games for Windows and Macintosh from 1996 to 2017. They were most famous for their Mia games.

View More On Wikipedia.org
  1. OMOYOGWANE

    Mbinu anazotumia Gamond Yanga ameiga kutoka Al ahly

    Mwanzo na kati kati mwa msimu Gamond alionekana hana mbinu, Timu ndogo zikipaki bus alikuwa hana mbinu. Sasa hivi anambinu nyingi sana, Nilianza kuziona kuanzia ile gemu ya CR BELOUZDAD na ile ya Mamelod sundowns. Akikutana na timu ngumu akafanya sub moja au mbili mpira hubadirika ghafla...
  2. third eye chakra

    Haya ni baadhi ya mambo yanayoweza kukufanya ukapokea mapigo kutoka kwa maadui zako wa kiroho

    Mambo au Tabia Zinazofanya Kufifisha au Kudhoofisha Malango Yako/Nishati ya Ndani 1. 😞😞 Uzinzi au Ngono Hulela Ni vyema kuwa na mke/mume au mtu mmoja kwa nia ya mahusiano na sio kutangatanga. Mara leo uko huku, kesho kule, hapo utavaa karma nyingi ambazo hazikuhusu. Sio kila umuonae anakufaa...
  3. Meneja Wa Makampuni

    Kwanini Rais wa Tanzania hajawahi kutoka kwenye royal family?

    Haya ni maswali tunapaswa kujiuliza na kuyaweka kichwani. Ni kwanini Rais wa taifa letu hajawahi kutoka Royal family. Yaani ngoja niweke picha ya Ruto:
  4. T

    China yahitimisha kubadilisha majengo ya misikiti kutoka mtindo wa Kiarabu na kufuata mtindo wa Kichina

    Mwaka 2018 China ilitangaza kuyabomoa majengo yote ya kidini yenye usanifu wa tamaduni nyingine na kuyajenga kwa kufuata majengo ya Tamaduni za Kichina. Katika waraka huo wa mpango mkakati wa miaka 5, China ilisema itabomoa majengo mengi ya kidini ya mtindo wa Kiarabu ama mtindo mwingine usio...
  5. ezekeo

    Mshangao: Imekuwaje Rais Ruto awe Rais wa kwanza kutoka Afrika kufanya ziara rasmi ya kiserikali nchini Marekani?

    Nimejikuta katika wakati mgumu wa kuiamini taarifa inayosema eti rais Ruto wa Kenya ndie rais wa kwanza kufanya ziara rasmi ya kiserikali nchini marekani kwa kipindi Cha miaka 15 iliyopita. Swali ni je Hawa Marais wengine kutoka afrika ambao kwa mamia walioitembelea marekani kwenye hicho...
  6. F

    SoC04 Matumizi ya Tuzo ya Milioni 50 kutoka Jamii forums kwa Maendeleo Binafsi na ya Nchi kwa Miaka 25 Ijayo

    Utangulizi Kushinda shindano la "Stories Challenge" na kuibuka mshindi wa shilingi milioni 50 ni tukio la kipekee linaloweza kubadili maisha. Malipo haya ni fursa adhimu ya kuweka msingi imara wa maendeleo binafsi na ya nchi. Katika makala hii, nitaelezea jinsi ninavyoweza kutumia fedha hizi kwa...
  7. tpaul

    Mama amteka mtoto wake ili apate milion 20 kutoka kwa mumewe

    Dunia imeharibika sana. Katika hali isiyokuwa ya kawaida, mama mmoja amemteka mtoto wake wa miaka 3 na kumficha mtoto huyo kwa mama yake mzazi (bibi wa mtekwaji) ili kufanikisha mpango ovu wa kuvuna Tsh 20,000,000 kutoka kwa mume wake (baba wa mtekwaji). Kufuatia utekahi huu, mkuu wa mkoa wa...
  8. Mad Max

    Teach Men Fashion: Kuna baadhi ya Mavazi "Mwanaume" sio vema kuvaa na Kutoka Nje

    Wakuu. Hii nchi ni huru, kila mtu ana ruksa ya kuvaa nguo yoyote anayopenda kikubwa asivunje sheria tu za nchi. Ila kuna baadhi ya mavazi, mwanaume sio vizuri kuvaa na kutoka nje kutembea nje mbele ya kadamnasi. Hapa ni baadhi ya mifano mitano (5): 1. Vipensi kuonesha Mapaja. Kuna watu...
  9. Johnson Yesaya

    SoC04 Huduma za Kiserikali zitolewe kupitia TEHAMA/Mtandao, kupunguza rushwa, gharama na lugha mbaya kutoka kwa baadhi ya watumishi wa umma kwa wananchi

    1. 0 UTANGULIZI. Habari zenu watanzania na wananchi wenzangu wa nchi yetu pendwa ya Tanzania? Nawasalimu nikiwa na furaha kubwa sana na nikiwa na lengo la kuchangia mawazo yangu kwaajili ya kuboresha zaidi huduma za serikali dhidi ya wananchi wa Tanzania ambao ndio sisi (Mimi na Wewe). Wengi...
  10. E

    Ajira za ualimu zilizotangazwa kutoka kwa mwajiri ambaye ni MDAs na LGAs, je unaenda kufundisha wapi na level gani?

    1: wana JF naomba kuuliza kuhusu hizi ajira za ualimu zilizotangazwa kutoka kwa mwajiri ambaye ni MDAs na LGAs, je unaenda kufundisha wapi na level gani? Pia 2: je kuna faida yeyote kwa mwalimu aliye chini ya Tamisemi kuomba kuhamia MDAs na LGAs 3: nini tofauti ya kufanya kazi Tamisemi au...
  11. Ndagullachrles

    Profesa Ndakidemi aitaka serikali kununua bidhaa kutoka viwanda vya ndani

    MBUNGE wa Jimbo la Moshi Vijijini(ccm),Profesa Patrick Ndakidemi ameitaka serikali kutotumia mamilioni ya fedha kuagiza bidhaa kutoka nje ya nchi na badala yake wanunue bidhaa hizo kutoka kwenye vowanda vya hapa nchini. Profesa Ndakidemi alikuwa akichangia kwenye bajeti ya wizara ya viwanda na...
  12. P

    Hii hapa ni orodha ya wanasiasa ambao kwao nimejifunza mengi

    Binafsi nafuatilia sana siasi Kwani naelewa mustakabali wa maendeleo yetu kama binadamu unaletwa na siasa safi. Kwa upande wa Afrika Mashariki na kati na kwa kipindi hiki ambacho naelewa kinachoendelea duniani (2005 - 2024). Hii hapa ni list ya wanasiasa ambao kwao nimejifunza mengi. 1...
  13. Kipenzi Changu

    Baada ya mshahara kutoka watu wenye harusi wameanza simu

    Daaah, Inakata stimu kwa kweli. Yaani hata mama sijamrushia muamala. Yaani hata kuhemea bado napotezea ili mshahara upoe kwanza. Yaani hata hela haijampumzika kwenye akaunti. Yaani hata mwenyewe sijajipa pole na tulizo la nafsi. Wenye maharusi tupumzisheni jamani, wekeni bajeti kulingana na...
  14. GENTAMYCINE

    Wanaume wa Tanzania pokeeni Salamu zenu za Pongezi kutoka kwa Wanawake (Warembo) wa Kampala Uganda

    Nimetumwa niwafikishieni hizi Salamu zenu na Mimi kwakuwa ni Mjumbe wala sizicheleweshi ili nisije Kusahau kwani Kichwa changu kinawaza mambo mengi ya Msiba Iran, Kitendo cha Wapuuzi Ireland, Spain na Norway kuitambua Palestina kama Taifa Huru na Vita vya Mashariki ya Kati pamoja na yale...
  15. al1

    Nimekosea muamala kutoka CRDB bank kwenda muda wa maongezi

    Wakuu habari za usiku huu? Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza, nimekosea kufanya muamala kutoka crdb nikatuma kama muda wa maongezi na sijaunga kifurushi. Nimewapigia crdb bank wameniambia hawawezi kurudisha, msaada tafadhali mwenye kuweza kubadilisha muda wa maongezi kuwa pesa...
  16. Mohamed Said

    Taazia: Dkt. Tamim Kutoka Kalamu ya Dkt. Dau

    TAAZIA: DR. TAMIM KUTOKA KALAMU YA DR. DAU GAZETI LA RAIA MWEMA Tarehe 17 Mei 2024 Saa 1 asubuhi nimepokea simu kutoka kwa mwanangu Ahmed Dau. Wakati huo nilikuwa nipo safarini nchini Uturuki kuhudhuria Kongamano la 3 la Kimataifa kuhusu Halal Tourism ambapo niliombwa kuwasilisha mada kuhusu...
  17. Blasio Kachuchu

    TOA Tanzania yapata uwekezaji wa $30 Milioni kutoka BII za kupanua miundombinu ya mawasiliano na kuboresha huduma ya mawasiliano Tanzania

    ● Pesa zitatumika kujenga minara mipya 200 na kuongeza upatikanaji wa huduma ya mawasiliano vijijini ● Upanuzi wa miundombinu utaboresha upatikanaji wa mtandao, na kuongeza nguvu kwenye jitihada za serikali za kufikia malengo ya kidijitali, huduma jumuishi za fedha pamoja na kutoa nafasi za...
  18. GENTAMYCINE

    Yaani kuhamia CCM kutoka uliko ni mpaka umuombe Mungu? Tumpumzishe Mwenyezi Mungu kwa Unafiki wetu uliojificha

    Mbunge wa zamani wa Viti Maalum kupitia Chadema ambaye sasa amehamia CCM, Upendo Peneza amesema kabla hajama chama hicho, aliomba ushauri kwa Rais wa zamani wa Liberia Ellen Johnson Sirleaf na pia alifunga na kuomba kabla hajatimiza uamuzi huo. Chanzo: @MwananchiNews Ngoja nami GENTAMYCINE...
  19. Tommy 911

    Nahitaji mawazo yenu, nina mpango wa kununua nazi kutoka Lindi au Mtwara kwa bei ya jumla na kuuza Dar

    Habarini Wana JF, Nimepata wazo la kununua nazi Jumla na KUUZA DAR. Mwenye uzoefu au kujua bei za usafiri na masoko yapoje kwa Dar naomba mawazo YENU. Mtaji laki tano
  20. W

    Kutoka Muziki wa Hip Hop hadi kuwa viongozi

    Tasnia ya sanaa inaoneka kuwa mtu akiwa mwanamuziki au muigizaji au muhuni lakini imeonekana kuwa na faida baada ya kutoa viongozi mbalimbali nchini. Baadhi ni hawa: 1. Hamis Mwinjuma 'Mwana FA' Ni Mbunge wa Muheza pia ni Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo 2. Nickson Simon 'Nikki wa...
Back
Top Bottom