kutoka

Kutoka Interactive was an educational software company founded in Montreal, Quebec, in 1995. The company produced, developed, and distributed both subject-based and grade-based video games for Windows and Macintosh from 1996 to 2017. They were most famous for their Mia games.

View More On Wikipedia.org
  1. Ojuolegbha

    Msemaji Mkuu wa Serikali, Mobhare Matinyi azungumza na waandishi wa habari kufafanua kuhusu Mkopo wa Korea Kusini

    Mkurugenzi wa Idara ya Habari (Maelezo) na Msemaji Mkuu wa Serikali, Bw. Mobhare Matinyi, leo Juni 4, 2024 amezungumza na waandishi wa habari katika ukumbi wa idara hiyo uliyopo jengo la TTCL, jijini Dar es salaam, akitoa ufafanuzi kuhusu mkopo wa Dola bilioni 2.5 kutoka Korea. PIA SOMA - VoA...
  2. Ketoka

    Mwanamke anaachika kutoka kwa mume wake kisa mchepuko halafu anaenda kuambukizwa HIV kitaalamu tunaitaje?

    Baada ya mwanamke kujua/ kufahamu mume wake anachepuka na kidada fulani jirani,mwanamke anaachika huku akidai hawezi kuvumilia mwanaume amletee magonjwa ya zinaa na UKIMWI Akiwa huko anakutana na mwanaume mwingine na kukubali kuolewa naye na kupachikwa ujauzito na siku ya clinic anaambiwa ana...
  3. Ojuolegbha

    Serikali: Mkopo kutoka Korea hauna masharti ya kuweka rehani rasilimali za nchi

    UFAFANUZI WA MKOPO WA DOLA BILIONI 2.5 AMBAO TANZANIA IMEPATA KUTOKA KOREA Mobhare Matinyi. Mkurugenzi wa Idara ya Habari (Maelezo) na Msemaji Mkuu wa Serikali. Dar es Salaam Juni 4, 2024. Saa 8:00 Mchana. Ufafanuzi huu unafuatia habari yenye dosari iliyorushwa hewani jana na tovuti ya Idhaa...
  4. Mr Mlokozi

    Je, ni sahihi mzazi kumlaumu mwalimu moja kwa moja kutoka na kufeli kwa mtoto wake?

    sote tunapaswa kukubaliana kwamba ili matokeo ya wanafunzi yawe mazuri panahiitajika ushirikiano uliotukuka katika mzazi, mwalimu na mwanafunzi huku kila mmoja akitimiza wajibu wake kadiri impasavyo kufanya na ikitokea mmoja au wawili kati yao hajatimiza majukumu yake daima matokeo yataendelea...
  5. SteveMollel

    Kinachoendelea Msumbiji, magaidi na Jeshi - Part 3

    - Shambulizi la kigaidi mji wa Macomia mwezi jana. - Oparesheni ya SADC na jeshi la Rwanda. - Interest ya Kagame katika vita za wengine. Wa kwanza kufika hapa Msumbiji ni jeshi la Rwanda. Kwa makubaliano ya siri yalowekwa na raisi wa Msumbiji, Felipe Nyusi, na raisi wa Rwanda, Paul Kagame...
  6. Wakusolve

    Mchele kutoka Mbeya

    Karibu mchele grade 1 kutoka Mbeya Kwa jumla Debe 45, 000 , 35000 Mawasiliano 0627109582
  7. Suley2019

    Prof. Kitila Mkumbo akanusha masharti ya Mkopo wa Korea Kusini. Asema utalipwa kwa miaka 40

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo kupitia Ukurasa wakewa X (Twitter) amekanusha taarifa iliyotolewa na Sauti ya America inayoelezea Mkopo wa Tanzania na Masharti ya kuiachia kuchimba madini baharini. Soma: - Tanzania imepokea mkopo kutoka kwa Korea Kusini...
  8. NAMBA MOJA AJAYE NCHINI

    Kutoka kipindi cha mpito cha kufiwa na Hayati Magufuli hadi maandamano ya upinzani

    Za jioni. Jpm akaenda kwenye usingizi wa milele, Rais Samiah akashika hatamu katika kipindi kigumu sana, akatuvusha na Amani ikatawala Hadi sasa! Leo maandamano ya upinzani na mabango yao kila kona nchini, Lissu anaunguruma yote, nadhani kapata nafasi ya kisiasa ya kutosha sana tangu aanze...
  9. M

    SoC04 Kutoka kwenye sakafu ya moyo wangu kwa ajili ya wenye mioyo ya dhati

    Nimefurahishwa sana na ukweli kwamba mimi ni Mtanzania. Hii si kwa sababu nina pesa sana na matatizo yote ambayo nchi yangu inakabiliwa nayo, lakini kwa sababu ninaona wakati ujao ni bora na wakati ujao uko karibu. Hili linaweza kuwa wazo gumu kwa wengine kwani wanaweza kutaka kwenda mbali na...
  10. amir_halla

    Wadau samahani naomba kujua Njia ya kusafirisha Honda kutoka Dar es Salaam kuja Dodoma

  11. BARD AI

    Nigeria: Wafanyakazi waanza Mgomo wa Kitaifa kudai nyongeza ya Kima cha Chini cha Mshahara kutoka Tsh. 58,400 hadi Tsh. 962,865

    NIGERIA: Wafanyakazi wa Taasisi za Umma na Binafsi wameanza Mgomo wa Kitaifa usio na kikomo nchini humo wakidai maboresho ya Maslahi ya Kazi ikiwemo nyongeza ya Mishahara Mgomo huo unfautia kukosekana kwa muafaka wa Mazungumzo kati ya Chama cha Wafanyakazi (NLC), Umoja wa Wafanyakazi (TUC) na...
  12. JanguKamaJangu

    KERO Dampo la ‘Bakhresa’ Mkuranga, linahatarisha afya za wakazi Dar na Pwani. Matunda kutoka dampo hilo yauzwa tena sokoni

    Hapana shaka afya za wakazi wa Dar es Salaam na Pwani, zipo hatarini. Hii ni kutokana na kuuziwa matunda yanayookotwa katika Dampo hili ambalo wenyeji wa maeneo husika ya Kata ya Vikindu, Mkuranga mkoa wa Pwani, wanaamini mmiliki wa Dampo ni Bakhresa Group. Matunda yanayotupwa hapa, huokotwa na...
  13. O

    Ukikopa Bongopesa ukachelewa kulipa wanawatumia sms wote unaowasilaiana nao

    App za mikopo mitandaoni kama Bongopesa wanatoa mikopo kwa riba kubwa sana na ikitokea umechelewa kuwalipa kwa muda wanawatumia SMS namba zote unazowasiliana nazo na kuwaambia umekopa na kuwaweka wao mdhamana. Je kisheria ipo sawa hiyo kudukuliwa mawasiliano yako. Tunaomba kujua je wapo sahihi...
  14. Mad Max

    Kwa Million 15 Kushuka chini, naweza kupata Gari kutoka Japan?

    Habari za mishe mishe wakuu. Kila mtu anatamani harufu ya gari kutoka Japan. Tatizo linaweza kuja kwenye budget. Sasa tu-assume tuna maximum budget ya Mil 15 tu, je tunaweza kupata gari kutoka JP? Magari ya Million 15 na kushuka chini 1. Honda Fit (2nd gen, 2007 -2012) Unaweza ukapata hii...
  15. Richard

    Trump adai kuna wafungwa wa kutoka Congo DRC wanopelekwa Marekani. Je mambo yapi wanofanya hawa wahalifu huko Marekani?

    Mgombea mtarajiwa wa kiti cha uraisi wa Marekani na pia mshtakiwa aletiwa hatiani kwa makosa ya kughushi nyaraka Donald Trump leo ameongea na waandishi wa habari na wafuasi wake katika ofisi zake mjini New York. Akiongea kwa muda wa dakika zipatazo 40 kuashiria kila kosa alotiwa hatiani kwa...
  16. La3

    SoC04 Vitengo vya masoko vya mashirika ya umma na binafsi visimamiwe na wasomi kutoka jamii za wanaojua kuendesha biashara Ili kuongeza ufanisi

    Kumekuwa na changamoto ya kukosekana kwa ufanisi katika uendeshaji wa mashirika mbalimbali ya uma na makampuni binafsi hapa nchini Tanzania kwa muda mrefu sasa. Ndio maana kuna mashirika kadhaa ya serikali yalibinafsishwa mfano, viwanda kama zana za kilimo (zzk) kule Mbeya ambacho hakifanyi...
  17. F

    SoC04 Kwa miaka 5-15 Tanzania tuwekeze katika kubadili fikra za watu kutoka walaji(consumers)kuwa wazalishaji(producers)

    Mabadiliko Yote muhimu lazima yaanzie katika fikra na mtazamo. Watanzania wengi tumekuwa na changamoto ya kuwa na fikra na mtazamo wa utegemezi kutoka mahali fulani. Watoto wanakuzwa wakifundishwa kutegemea serikali kuwapatia kazi na maisha Bora. Viongozi wanategemea nchi kuendelea kwa misaada...
  18. G

    Kuna tatizo gani Nigeria ? Kutoka Naira 1 = Shilingi 5 za kitanzania mpaka shilingi 1.8 na bado inazidi kuporomoka.

    Ni kipi hasa kinaendelea huko kwa kina Oga, Tulishazoea kwa muda mrefu Naira moja ni shilingi 5.x ila kwa sasa imeshuka mpaka 1.79
  19. Mansakankani mussa

    Nataka kusafirisha pikipiki kutoka Dar es Salaam kwenda Babati

    Habari zenu wakuu, Naomba kujuzwa kampuni makini ya kusafrisha mizigo kutoka Dar kwenda Babati. Pia kama Kuna mtu aliwahi kusafirisha Kwa bus usalama wake ulikuwaje baada ya kufika. Natangulza shukrani kwenu.
  20. S

    Kwanini Wanafunzi wenye Account namba za CRDB hawajapata pesa kutoka HELSB?

    Wanafunzi wa Vyuo Vikuu hasa wale wa mwaka wa kwanza na watumiaji wa accounts za CRDB hadi sasa hawajapata boom Lao la 4 hii inasababishwa na nini wakuu?
Back
Top Bottom