kutoka

Kutoka Interactive was an educational software company founded in Montreal, Quebec, in 1995. The company produced, developed, and distributed both subject-based and grade-based video games for Windows and Macintosh from 1996 to 2017. They were most famous for their Mia games.

View More On Wikipedia.org
  1. Sir John Deere

    Israel yalalamika Hezbollah kupokea Mitambo ya ulinzi wa Anga (Air defense) kutoka Iran

    Katika hali ya kishangaza sana na kuuchekesha Ulimwengu taifa la mchongo Israeli leo limetoa taarifa kuwa wanamgambo wa Hezbollah kutoka nchi ya Lebanon 🇱🇧 wamepokea mitambo ya ulinzi wa anga kutoka Iran ( hii ni kweli ). Na kuelezea masikitiko yao kuwa dunia ipige kelele kitendo hicho...
  2. D

    Wafanya biashara wakubwa wamiminika Tanzania kutoka Kenya. Mazingira mazuri ya serikali ya rais Samia yanawavuta maelfu kwa mamia

    Nakupongeza sana Samia kuifanya nchi kuwa kivutio cha uwekeza nje ya Africa n Africa kwa ujumla. Nasikiliza hapa dw kuna majadala wa wa mazingir ya biashara Kenya. Wachangiaji wamewaka hapa wanasema samia ameua uchumi wa kenya kwa kuweka mazingira ya biashara kuw mazuri na kuwavuta wawekezaji...
  3. Victor Mlaki

    Mafundisho mapya ya kuhusu miujiza (masuala ya kiroho) kutolewa na Kanisa leo: Kwa nini historia inajirudia leo kutoka mwaka 1978?

    Mafundisho mapya ya kanisa kuhusu "matukio ya kimuujiza" yatatangazwa kwenye mkutano na waandishi wa habari utakaofanyika na Vatican siku ya Ijumaa. Taarifa hii imechapishwa kwenye tovuti ya Ofisi ya Vyombo vya Habari ya Holy See, na ndio sababu baadhi ya machapisho yameripoti kimakosa kuwa...
  4. G

    Mtoto ni baraka, kwanini wazazi mnawafungia watoto wenye ulemavu ndani?

    Kitu chenye baraka wengi hukiombea wakipate, kinyume chake watu huomba kiwaepuke Kwa imani zetu huwa tunaamini Mungu anahusika kwenye uumbaji hivyo hata mlemavu ni kazi yake, akipanga uwe na mtoto mlemavu kuna tatizo ? Naleta hii mada sababu inafikia kipindi wazazi wanafungia watoto wao wenye...
  5. ndege JOHN

    Kwenye ndege mnavuta oxygen kutoka wapi wakati ndege inaruka layer ya stratosphere kusiko na hewa

    Nielimisheni hii kitu sote tunajua tunaishi layer ya trotosphere 0-20 km na ndo kwenye hewa nzuri ya oxygen. Ndege za abiria zinakwenda stratosphere sasa ndege inatumia mfumo gani mpaka mnavuta hewa kawaida kama mpo chini huku. Je kuna mitungi ya oxygen inayozalisha na kuwasambazia? Huu...
  6. michu03

    SoC04 Kutoka Mito Hadi Mitaa: Safari ya Maji Yenye Hasira ,Tafakari za Mafuriko na Mustakabali wa Miji Yetu

    Maji, kama kioo cha asili, yanaakisi hali ya mazingira yetu. Kutoka kwenye milima yenye theluji hadi kwenye mitaa ya miji, safari ya maji ni simulizi ya mabadiliko, maendeleo, na wakati mwingine, hasira ya asili. Mito huanza safari yake kutoka vyanzo vya maji. Vyanzo kama chemchem, maziwa, na...
  7. G

    Kwa hali ya sasa kimaadili, nashauri watoto wawe wanaangalia tamthilia na katuni kutoka nchi za kiislam

    Yani sikuhizi ukiangalia muvi / series utagundua kwamba wameanza kuyapa nafasi kubwa mambo flani kuonesha kwamba ni kawaida, its ok, hakuna tatizo, n.k. Kuna kijana mdogo age kama 16 yupo hapa kwangu kwa masomo, akiwa free huwa anapenda kuangalia series kwenye tv, leo nimewasha tv nikakuta...
  8. M

    Usafirishaji mzigo mkubwa kutoka Mbeya kwenda Mwanza

    Wakuu habari.... Nahitaji huduma ya kusafirisha mzigo mkubwa kutoka mbeya kwenda mwanza tarehe 14 mpaka 16 may 2024 kama kuna mtu ana lori na ana safari ya mbeya mwanza ama yeyote anayehusika kusafirisha mzigo mkubwa kwa tarehe tajwa hapo juu naomba tuwasiliane kwenye namba hii 0758630294...
  9. S

    Rufaa ya Yanga dhidi ya Mamelodi, majibu yanapaswa kutoka lini?

    Habari Wadau, Naomba kujua rufaa waliyokata Yanga dhidi ya Mamelodi kuhusiana na maamuzi ya Mwamuzi kukataa goli la Azizi K kwenye mechi ya robo fainali mkondo wa pili huko Afrika Kusini kati ya Yanda na Mamelodi, majibu yake yanapaswa kutolewa lini kwa mujibu wa sheria na kanuni za CAF? Japo...
  10. Mparee2

    Kinachotokea kwenye mikutano mkuu wa mkoa Arusha kitufungue macho!

    Kinachotokea kwenye mikutano ya mkuu wa Mkoa wa Arusha kimeonesha kuwa, wananchi wengi wanateseka sana kwa kukosa haki zao kutokana na watendaji wabovu wa nafasi tofauti tofauti. Nafikiri hata viongozi wa juu wanashangazwa na uozo uliopo huku chini Ikimpendeza Muheshimiwa Waziri Mkuu atoe TAMKO...
  11. La3

    SoC04 Kujiajiri kwa mafanikio makubwa kunategemea shauku ya mtu mwenyewe kupenda kujiajiri kutoka ndani ya moyo wake

    Kujiajiri ni uwezo wa kuwa na chanzo cha kipato na kukiinua kutoka chini na kukiendeleza. Kujiajiri ni kuzuri sana kama mtu mwenyewe amependa. Sasa hapa hatutazami vijana wasomi tu, tunatazama vijana wote kwa ujumla (wasomi na ambao sio wasomi) Kuwa msomi hakumaanishi anaweza kujiajiri. Sasa...
  12. BARD AI

    DJ D Ommy ajiunga na Crown FM kutoka Clouds FM

    Kituo cha Redio kinachomilikiwa na Nyota wa Bongo Flava pamoja na Mtangazaji Salim Kikeke kimemchukua DJ D Ommy aka “The INTERNATIONAL DJ! JITU na sasa ni “Head of Music Department” hapa CROWN Media. @djdommy pale ni Nyumbani. WIKI YA MATUKIO Imeanza na TUKIO la kwanza la Kimkakati Limepigwa...
  13. peno hasegawa

    Mafuriko yaukumba Mji wa Bukoba, Mkoani Kagera

    Mafuriko yatikisa Bukoba, binti afariki dunia kwa kusombwa na maji Ijumaa, Mei 10, 2024 Baadhi ya maeneo yaliyokumbwa na mafuriko Manispaa ya Bukoba. Muktasari: Msichana aliyebainika kuwa mkazi wa Mtaa wa Kasarani Kata ya Bakoba, amefariki dunia baada ya kusombwa na maji wakati akitoka nje...
  14. G

    Anashindwaje kutoka hadharani na kuisafisha hali ya hewa? Amekubali yaishe?

    1. Wafanyakazi wanatema nyongo kuwa rais kakimbia hoja za kikokotoo Mei mosi. 2. Lisu anasema Rais mzanzibari anaouza rasilimali za Tanganyika kwa wajomba zake waarabu. 3. Wanaccm wanalalamikia uamuzi wa CCM kutoa fomu moja tu ya mgombea urais kupitia CCM 2025. Badala ya kukaa kimya Rais...
  15. FRANCIS DA DON

    Napendekeza dunia iwe na nchi moja tu ya ‘United states of Earth’ (USE). Raia wa kigeni ni yule wa kutoka sayari nyingine tu

    Kwahiyo Raia wote wa USE wanaweza kwenda popote pale duniani na kufanya biashara na kuoa na kufanya maisha yao bila vikwazo vya Visa nk. Utahitaji Visa labda kama unaenda sayari nyingine tofauti na dunia. Rais awe mmoja tu.., hapatakuwa na serikali mbili wala tatu.. ==========================...
  16. Mwanamke wa mithali 31

    Kufungua Bucha la samaki Dar kutoka Ziwa Victoria

    Kwa hapa Dar, je naweza kufungua butcher la samaki wabichi sato, sangara n.K kutoka Mwanza ? Kwa mtaji wa 2 milioni. Kwa wazoefu na soko la SAMAKI na usafiri pia Kutoka MWANZA to Dar hiyo pesa inatosha ?? Naomba mnielekeze
  17. COARTEM

    Maneno ya Hekima ya Maendeleo kutoka kwa Rais Museven wa Uganda yafaa kutekelezwa Tanzania

    Uzee dawa, Uzee hekima. Maneno ya Rais Museven kwenye mkutani wa viongozi wakuu barani Afrika kuhusu maendeleo. Msikilize mwenyewe kwenye hiyo video hapo chini. Bigup sana Museven.
  18. G

    Kutoka kwenye familia tuliyosomeshwa kwa gharama kubwa kumeniathiri kiuchumi, Kupeleka watoto kayumba ni aibu, Napambana kukwepa aibu

    Chekechea na Primary nimesoma english medium private. Sekondari Form 1 hadi 6 nimesoma Boarding private, Msosi Pilau kila J5 na J2, Ugali ni nadra sana. Chuo kikuu sikupata mkopo ila si haba sikuwahi kupata changamoto za kiuchumi. Rasmi na mimi nikawa baba, nikaanza kuwaza watoto waje kusoma...
  19. Tyanyi

    Je, Ukiwa mtumishi wa serikali ukitaka kujiendeleza kimasomo ngazi ya shahada unaruhusiwa kuomba MKOPO kutoka HESLB?

    Je? Ukiwa mtumishi wa serikali ukitaka kujiendeleza kimasomo ngazi ya shahada unaruhusiwa kuomba MKOPO kutoka HESLB
Back
Top Bottom