kutoka

Kutoka Interactive was an educational software company founded in Montreal, Quebec, in 1995. The company produced, developed, and distributed both subject-based and grade-based video games for Windows and Macintosh from 1996 to 2017. They were most famous for their Mia games.

View More On Wikipedia.org
  1. John Sin

    JamiiForums Tanzania Ni laana kulea mtoto wa mwanaume mwenzio anaepumua kwa bondi ya mbunye kutoka kwa mamaake

    Bora ukaathiri yatima Hela zako bora unywe pombe Ukishindwa kabsa kampe mwamposa Ukzidiwa sana nenda riverside Kama vipi bora humchangie kanji ujenzi wake kule Mumbai Lakn kulea mtoto wa mwanaume mwenzio ambae bado anavuta oxygen hapa dunian ni ulofa wa kiwango cha lami
  2. H

    JamiiForums Tanzania Nane nane njema kutoka kwa Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba

    Ninaungana na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, katika kuwapongeza na kuwashukuru wakulima, wafugaji na wavuvi kwa mchango wao mkubwa katika uzalishaji wa chakula, malighafi, ajira na ukuaji wa uchumi wa Taifa. Katika maadhimisho ya Siku ya Wakulima (Nane...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Isaya Yunge, Kijana kutoka Mwanza, anamuoa binti wa Rais wa Kenya, Charlene Ruto, Hii hapa Cv Yake

    Leo Agosti 8, nchini Kenya tukio kubwa ni engagement ya Charlene Ruto ambaye ni binti wa Rais Ruto. Katika tukio hilo, ametambulisha mumewe mtarajiwa ambaye ni Mtanzania Isaya Yunge. Historia yake si kubwa sana mtandaoni ila nimepata hints hizi. Kwanza jamaa kasoma IFM Bachelor of Science Degree...
  4. Yoda

    JamiiForums Tanzania Wajumbe wa Tume kutoka nje na hali ya nchi zao

    Uganda ni typical banana Republic (Jamuhuri ya ndizi) isiyo na utawala wa Sheria (due process) inayoongozwa na familia moja baba akiwa Rais, mama waziri na mtoto wao mkuu wa majeshi mropokaji hovyo na kujiamulia mambo anavyoona inamfaa. Namibia ni nchi ya watu milioni 3, demokrasia changa...
  5. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Sera za Kilimo za Samia zawezesha Ongezeko la Matumizi ya Mbolea kwa asilimia 211% Kutoka Tani 264,000(2021/22) Hadi Tani 1.2 Milioni(2025/26).

    My Take Mkifanikiwa kumvuta Dangote ajenge kiwanda Cha mbolea itakuwa ni big deal sana. Dangote anajenga kiwanda Kikubwa Ethiopia wakati Tanzania ndio food busket wa Africa. https://www.instagram.com/reel/Dbuph__AjA6/?igsh=MTBubnU5NWVpbW9rbg==
  6. B

    JamiiForums Tanzania "Asilimia kubwa ya vijana kutoka Tanzania na Afrika nzima ujumla wanaoletwa na wazazi kusoma Marekani na Canada wamegeuka kuwa machoko ".. Elli David

    Elly David m Tanzania anaeishi nchini Canada anasema asilimia kubwa ya vijana wa ki Tanzania na kutoka sehemu mbalimbali barani Africa wanaopelekwa na wazazi wao kusoma Marekani, Canada na Ulaya wengi wao huishia my wa machoko na mateja... Du kama ndo hivyo Bora wasome Kayumba na waishi hapa...
  7. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania VIDEOS;- Hekima, Nasaha, Busara, na Ushauri kutoka kwa Nelson Mandela

  8. Ahmed Saidi

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kupata provisional admission kutoka UDSM

    Habari Nimeomba chuo UDSM postgraduate, nawezaje kupata provisional admission?
  9. David ngayanimo

    JamiiForums Tanzania G . Pop kutoka planet 2000 ANAHITA msaada

    FAMILIA YA MUZIKI TUUNGANE : MSANII G . POP WA CREW YA PLANET 2000 ANAHITAJI MSAADA WETU Habari za wakati huu Ndugu, jamaa na Marafiki pia kwa heshima na taadhima kwa niaba ya Familia ya Ndugu JAMES KADUMA, napenda kuwataarifu kuwa Mwana Iringa mwenzetu JAMES KADUMA (G. POP) kutoka kundi la...
  10. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Sasa Magaidi wa Hamas kuhamisha makao yao rasmi kutoka Qatar hadi Uturuki!!

    Hamas inaripotiwa kujiandaa kuhamisha shughuli zake nyingi za siri kutoka Qatar hadi Uturuki, huku ikiendelea na shughuli zake nyingi za umma huko Doha, kulingana na Kan. Mabadiliko hayo yaliyoripotiwa yanakuja huku kukiwa na mvutano na Qatar kufuatia kuchaguliwa kwa Khalil al-Hayya kama...
  11. U

    JamiiForums Tanzania Prof Mark Mwandosya: Gereza ni chuo cha mwanasiasa nguli na madhubuti. Kutoka ni kuhitimu shahada ya uzamivu!

    Na Emily Mwakilembe Katikati ya hofu, kuvunjika moyo na giza la kisiasa, wakati mwingine hutokea mtu anayethubutu kuisema kweli chungu sana, ile ambayo wengi huogopa kuisema. Mwaka 2018, Profesa Mark James Mwandosya alipomtembelea nyumbani kwake Joseph Mbilinyi (Sugu), baada ya kutoka...
  12. E

    JamiiForums Tanzania Edwin Sifuna: Kutoka kuwa mtetezi wa ODM Sasa tishio jipya kwa Ruto 2027

    Kwa miaka kadhaa, jina la Edwin Watenya Sifuna limekuwa miongoni mwa yanayotajwa zaidi katika siasa za Kenya. Wakati wengi walimfahamu kama Katibu Mkuu wa Orange Democratic Movement (ODM) na mmoja wa watetezi wakubwa wa Raila Odinga, leo anatajwa kama mwanasiasa anayejaribu kujijenga kuwa...
  13. radhiya

    JamiiForums Tanzania Khanga kubwa kutoka Zanzibar zipo

    Khanga kubwa nzito kutoka Zanzibar zinapatikana. Bei ya Khanga: sh 18,000/=. Karibu kuchagua na kuweka oda yako, tupigie 0784 829565. @radhiyastore @prathrealestate
  14. Think2

    JamiiForums Tanzania Waogelea Kilomita 2–5 Kutoka Morocco Kuingia Ceuta, Eneo la Hispania

    Waafrika tutabaki kuwa waafrika tu raia wa morocco wanaikimbia nchi yao kisa hali ngumu ya maisha walilazimika kuogelea kilometa 2 hadi 5 kutoka pwani ya morocco kuingia ceuta eneo ambalo lipo afrika ila linamilikiwa na Hispania. Morocco inahadaa watu kuwekeza kwenye mpira lakini hali ya...
  15. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Marekani yaweka rasmi dhamana ya visa ya hadi $20,000 kwa Nchi 30 za Afrika. Tanzania ikiwepo

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani inatarajia kufanya kuwa wa kudumu mpango wa majaribio unaowataka raia wa mataifa 50, mengi yakiwa ya Afrika, kutoa dhamana kubwa wanapoomba viza, huku gharama zake sasa zikitarajiwa kufikia hadi $20,000. Ilani ya awali, iliyochapishwa Ijumaa katika Rejista...
  16. Gunner11

    JamiiForums Tanzania Jifunze Kutoka Safari ya Jux: Ndoa na Mahusiano

    Kwanza kabisa Jux is one among the artists ana inborn talent na anajua muziki, rnb zake mwanzoni kabisa zikiwakosha wengi.... Kama mnafatilia anatumia real life scenes kutunga nyimbo na Zina enda kweli.. Kabla ya kujumuika na mwambino(Diamond platnumz) alikuwa anafanya kazi Nzuri sana vibao...
  17. D

    JamiiForums Tanzania Gari la kusafisha pikipiki kutoka Dodoma Hadi Ngara Kagera.

    Nahitaji usafiri wa gar kwa ajili ya kusafirisha pikipiki kutoka Dodoma kwenda Ngara - Kagera.
  18. kavulata

    JamiiForums Tanzania Nadhani Jay Ruty anavuta mpunga mrefu kutoka Diadora kupitia Simba. Tuamke

    Navaa jezi ya Diadora yenye jina tena la Jay Ruty. Je, Diadora tunamtangaza kwa bei gani na Jay Ruty kwa bei gani kupitia Simba sc?
  19. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania inapotenga bajeti ya kujenga magereza mengi ijifunze kutoka nchi ya Uholanzi

    Uholanzi ni mfano wa nchi iliyoonyesha kwamba usalama wa taifa haujengwi kwa kuongeza magereza pekee, bali kwa kupunguza sababu zinazowasukuma watu kuingia kwenye uhalifu. Kwa miongo miwili iliyopita, idadi ya wafungwa nchini humo ilishuka kwa kiasi kikubwa, hali iliyosababisha kufungwa kwa...
  20. radhiya

    JamiiForums Tanzania Khanga kubwa kutoka Zanzibar Zinapatikana

    Khanga kubwa nzito kutoka Zanzibar zinapatikana. Bei ya Khanga: sh 18,000/=. Karibu kuchagua na kuweka oda yako, tupigie 0784 829565. @radhiyastore @prathrealestate
Back
Top Bottom