kutoka

Kutoka Interactive was an educational software company founded in Montreal, Quebec, in 1995. The company produced, developed, and distributed both subject-based and grade-based video games for Windows and Macintosh from 1996 to 2017. They were most famous for their Mia games.

View More On Wikipedia.org
  1. Fbn

    JamiiForums Tanzania Pumzi imeshakata kutoka kujivisha Umagufuli mpaka kuanza kukejeri

    Alipopewa tu U-waziri mkuu akajua vile viatu vya JPM au kassimu anaviweza. Mwisho wa siku kawa yule yule na tabia zake. Ile siku anajisema yeye ni kama JPM.
  2. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Nataka kutoka familia ya Nyerere

    Unajua saying,Did he jump or was he pushed? Nataka kutoka familia ya Nyerere. How do I do it legally?
  3. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Kutoka kwa Hilda: Hawa nao wamendaliwa Press kwa ajili ya Makamu Mwenyekiti CHADEMA

    ‼️ALERT ‼️ Muda huu huko Kilwa Madalali wamekusanya Watu wa CCM, wamewavalisha nguo za CHADEMA na kuwarekodi wakimshambulia Mhe. Heche kwa malipo ya laki moja moja. Muda wowote kuanzia sasa mtaona video yao ambayo inatokana na hii picha niliyowapostia, Vibaraka wa Nduli Idd Amin Mama...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Kutoka Rio Ferdinand hadi DJ Khaled: Kwanini diplomasia yetu ya utalii inafeli na kutia Taifa aibu kimataifa?

    Wana-JF salam, Hali ya mambo mitandaoni imezidi kuchafuka baada ya picha na video zikisambaa zikimwonyesha msanii na prodyuza nguli wa Marekani, DJ Khaled, akiwa ameshika jezi ya timu yetu ya taifa (Taifa Stars) yenye nembo ya "Visit Tanzania". Kurasa nyingi za udaku, huku zikipewa nguvu na...
  5. M

    JamiiForums Tanzania wewe ni mtu wa kuchill nyumbani au wa kutoka kwenda viwanja, vijiweni, n.k ?

    Wewe ni mtu wa kuchill nyumbani 🏡 au wa kutoka kwenda viwanja
  6. DodomaTZ

    JamiiForums Tanzania Gari yangu haijawahi kutoka Dodoma, ila ina deni linaloonesha ilikamatwa Dar

    Askari wa Usalama Barabarani waache kubambika madeni kwenye magari ya watu, gari yangu ilikatiwa deni ambalo siyo langu, ilionekana ilikamatwa kwa Mwingira Dar es Salaam wakati gari haijawahi kutoka nje ya mkoa ninao ishi ambao ni Dodoma. Nimefuatilia na ikajulikana traffic aliyefanya hilo kosa...
  7. Matunzo 02

    JamiiForums Tanzania Habari mpya kutoka mtandao wa Google

    Ule mtandao pendwa wa google unaojua kila kitu leo asubuhi saa 12 umefungia simu zenye uwezo mdogo kuutumia asa vile viswaswadu venye operamin
  8. Troll JF

    JamiiForums Tanzania Viongozi watatu wa CHADEMA kutoka mikoa ya Morogoro na Tanga wamewasilisha malalamiko rasmi kwa Msajili wa Vyama vya siasa

    Viongozi watatu wa chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA kutoka mikoa ya Morogoro na Tanga wamewasilisha malalamiko rasmi kwa Msajili wa Vyama vya Siasa, wakipinga hatua zilizochukuliwa dhidi yao walipopaza sauti kuhusiana na tuhuma za ubadhirifu wa pesa za michango ya wadau kwa chama hicho...
  9. Zekoddo

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum kwa ajili ya kupeana updates za vibali vya uhamisho kutoka Utumishi

    Kama wewe ni Mtumishi wa Umma na Umeomba uhamisho kutoka Taasisi Moja na kwenda nyingine basi tukutane hapa kwa ajili ya kupeana updates, najua kuna watu maombi yao yamefika Utumishi siku na miezi mingi imepita bila majibu basi tuzidi kupeana infos hapa ili kama wewe mwenzetu umefanikiwa...
  10. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nairobi Drivers Wapewa Pigo as County Proposes Parking Fee Hike kutoka KSh300 hadi KSh535

    Madereva wa Nairobi wanaweza kulipa zaidi kwa ajili ya maegesho ya magari baada ya Nairobi City County kupendekeza kuongeza ada ya kila siku ya parking kutoka KSh300 hadi angalau KSh535 chini ya sera mpya ya ushuru na bei. Kaunti imesema ada za sasa hazitoshi kugharamia matengenezo ya barabara...
  11. Frank Wanjiru

    JamiiForums Tanzania Mawakili wa TID kufungua kesi kudai fidia ya 500ml kutoka Bar ya Kitambaa Cheupe kwa kumchafulia jina

    Mwanamuziki wa Bongofleva, T.I.D (Khalid Mohamed), kupitia ofisi ya mawakili wake wanaomsimamia masuala yake yote ya kisheria, ametoa notisi ya siku saba (7) akiidai Bar ya Kitambaa Cheupe, kupitia Mkurugenzi wake Jessica Kikumbi, kulipa fidia ya Sh500 milioni. Katika notisi hiyo, T.I.D pia...
  12. Etwege

    JamiiForums Tanzania Niliyojifunza kutoka kwenye utekwaji wa Humphrey Polepole

    Utekwaji wa balozi Humphrey Polepole na kupotezwa mazima umeacha mafunzo kadhaa kwa nchi yetu. 1. Adui wa maendeleo ya Tanzania siyo mabeberu mbali ni watanzania wenzetu waliojificha kwenye tawi la Chama cha Mapinduzi linaloitwa CCM mtandao. CCM hawana nia ya dhati ya kutatua matatizo ya...
  13. A

    JamiiForums Tanzania Kutoka Kwenye Maisha ya Anasa ya Serikali hadi Kwenye Uzalishaji: Kilimo, Elimu, na Afya Ndio Mkombozi wa Kijana wa Kitanzania

    Ndugu Wakuu, Katika uzi wangu uliopita, tulijadili jinsi mzunguko usio na tija wa kodi ya mvuja jasho unavyoishia kufadhili anasa za wachache huku mtaani vijana wakipambana na ukata wa mitaji. Leo naomba tushuke chini zaidi kwenye mifumo ya kibajeti ya nchi yetu. Tanzania ni nchi changa...
  14. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wafanyakazi wa NSSF hawatusaidii waajiliwa wa private sectors kupata stahiki zetu kutoka Kwa waajili wetu

    Hii changamoto ya wafanyakazi wa NSSF haswa wakaguzi wanaopewa majukumu ya kwenda kukagua katika taasisi mbalimbali kutotimiza majukumu Yao vizuri. Nimekumbwa na changamoto hii baada ya kupeleka malalamiko yangu katika Moja ya ofisi za NSSF zilizopo hapa Dar es salaam kwamba Kwa kipindi kirefu...
  15. A

    JamiiForums Tanzania KERO OTP kutoka HESLB inasubiriwa kwa Saa 72 kabla ya kuomba nyingine, kama haijafika kwa mdhamini

    Kipengele Cha Mdhamini kwenye mfumo wa kufanya application kwa mikopo wanafunzi wa Vyuo. Kuna utaratbu wa kutumiwa OTP kwa namba ya simu ya mdhamini kisha ijazwe kwenye mfumo wa maombi ya mkopo. OTP haifiki kwa kwa mdhamini na wanaonkupa MASAA 72 Ili kuomba OTP nyingne. Hii inakwamisha zoezi...
  16. Gunner11

    JamiiForums Tanzania Wamatumbi: Amkeni Kutoka Matrix!

    Enyi wamatumbi acheni kuwa kama nguruwe. Acheni kuruka ruka kama nyani mkichekana nyuma zenu. Acheni kupoteza potential zenu mkifanya jambo lile lile kwa miaka 50. Hamkuumbiwa kufanya kazi kama mashine. Hamkuumbiwa dharau na u fukara wa kupewa matusi na dhihaka kutoka kwa binadamu wenzenu...
  17. Boeing787-8

    JamiiForums Tanzania Je inawezekana mwalimu mwenye Degree kuhama kutoka halmashauri(shuleni) kwenda NECTA, TIE, NACTVET etc....?

    Hello, I hope mko poa. Mie ni mwalimu wa masomo ya Sayansi nafundisha shule moja ya Secondary hapa mkoani. Nimeajiliwa na serikali, 2 years ago. Sasa katika kutafuta changamoto mpya, nimekuwa nikiona matangazo ya kazi uko ajira portal, lakini nkitaka kuomba mfumo unakataa Kwa sababu Nina...
  18. CAPO DELGADO

    JamiiForums Tanzania Je Selikali Itafyata mkia kwa masharti kutoka kwa Jumuia ya Madola (Commonwealth)?

    4. MASHARTI NA MUDA MAALUMU (The Ultimatum) Kutoka Jumuia ya madola Kutokana na mapendekezo ya Mjumbe Maalum, CMAG imetoa maelekezo yenye ukomo wa muda (Time-bound actions) kwa Tanzania: Ndani ya Siku 30: Kutatua suala la kushikiliwa kwa Tundu Lissu kupitia njia za kisiasa au kisheria, na...
  19. S

    JamiiForums Tanzania KERO Hivi mnakaa siku kadhaa maji hayatoki yakija kutoka ni maji yenye chumvi ndani yake na imeshakuwa mazoea sasa

    M ninaenda Moja Kwa Moja kwenye mada ni hali ya kawaida sana Kwa sisi watanzania hususani wa hapa Dar miaka na miaka toka enzi za Nuwa Hadi sasa dawasco kuwaamini wao katika kutupatia maji safi na salama Kwa matumizi mbalimbali kubwa likiwa ni ugidaji wa maji hayo tena bila ya kuyachemsha hiyo...
  20. Forrest Gump

    JamiiForums Tanzania Nawaambia wadada kuwa njia pekee ya kumtunza bwana ako, kumfurahisha na kumzuia kutoka nje ni kuwa malaya kitandani.

    Kuwa class nje Kuwa mrs mtaani Ila unapokuja kitandani weka pembeni mambo ya kuwa descent YAaani tingisha makebo zaidi ya wale wadada kwenye porno, lia kama mtoto, ikalia huku ukilala, igeukia kwa nyuma huku ukigeuka ukimwangalia machoni mwake. Nakuambia hivi, mme wako atakuwa anarudi...
Back
Top Bottom