Mioyo yetu inavuja damu, na hatuwezi kuendelea kukaa kimya tena

baharia 1

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2019
Posts
2,832
Reaction score
4,080
Wakuu
Tutaacha lini kuwa wanyonge

Umwagaji damu wa October 29, utekaji wa akina Polepole, na kupotea kwa hofu ya sheria: Tunaelekea wapi
Ndugu zangu Wana JF

Mioyo yetu inavuja damu, na hatuwezi kuendelea kukaa kimya mbele ya upumbavu, ushenzi, na unyama wa kiwango cha juu unaoendelea katika taifa letu.

Yale yaliyotokea tarehe October 29 hayakuwa ajali ulikuwa ni unyama wa makusudi,Katika nchi za wenzetu, raia wanadhibitiwa kwa weledi bila kumwaga hata tone la damu, lakini hapa kwetu, kisa tu mtu kapewa bunduki na posho ya laki na nusu anajiona ana haki ya kuua raia wasio na hatia kama takataka ya dampo.

Ukatili huu haukuishia kwa wananchi wa kawaida tu, sasa hivi unyama huu umefika mbali kiasi cha kutisha na unatafuna hadi watu wao wenyewe,

Humphrey Polepole ,Huyu alikuwa mtu wenu wa ndani, kada wa CCM mwenzenu aliyekipigania chama, lakini mmeamua kukaa kimya mpaka leo kana kwamba hakuna kilichotokea.

Ukimya wenu unazua maswali mazito

Hivi hii serikali sasa hivi imegeuka kuwa ushetani au ni kitu gani, Mbona inashindikana kueleweka.
Kama mtu wa ndani ya mfumo anauawa na mnafyata mikia, raia wa kawaida ataponea wapi, Tunaona mifano mingi ya wazi ya unyama huu kila kukicha, hata Dude naye katekwa na kuuawa kinyama, huku mifumo yetu ikiwa imepooza.

Kupotea kwa Hofu ya Sheria

Tunaelekea Wapi

Kibaya zaidi ni kwamba, huu uozo na ulegevu wa serikali umezua janga lingine kubwa ndani ya jamii yetu.

Wananchi wamepoteza kabisa hofu ya sheria na hofu ya Mungu, Watu wanauana wenyewe kwa wenyewe kama wanyama wa mwituni kwa sababu hawaoni mfumo thabiti wa sheria unaoogopeka, Mfano wa wazi kabisa ni tukio la juzi ambapo dogo wa chuo kakatwa kichwa kinyama na kutupwa mtoni, Hivi kweli tumefikia hatua hii, Hata kama wahalifu hao wamekamatwa, swali la msingi inabaki, Mbona watu hawana hofu tena. Mbona hawaiogopi hii serikali wala mamlaka zake, Jibu ni rahisi mamlaka zimepoteza makali na uhalali mbele ya macho ya wananchi.

Shida yetu kubwa ni hii uongozi wa sasa ambao usipokuwa wa kweli hautufai kabisa, Kuanzia Mamlaka ya Kwanza kabisa mpaka ya Nne wote wamekaa na kuendekeza ujinga.

uzwazwa, na uwoga wa kutisha. Mamlaka zenye vyombo vyote vya dola zinasita kuchukua hatua madhubuti, zikiogopa kikundi kidogo cha watu wachache wasio hata ndani ya serikali.

Huu ni ushenzi wa kulindana unaogharimu maisha na usalama wa watanzania, Familia zinapoteza wategemezi watoto wanabaki yatima halafu serikali imekaa kimya inaleta takwimu za kifala na za uongo, Hivi hizo takwimu zenu za kupika ndio zitalea hao yatima waliooachwa
Kwanini hamchkui mfano wa viongozi wa kweli

Mbona hamjifunzi kutoka kwa Mwalimu Julius Nyerere na Rais wangu John Joseph Magufuli, Wale walikuwa viongozi waliosimamia nchi, waliosimika nidhamu na hofu ya sheria, waliojali utu wa mnyonge, na wasiojaribu kucheka na wahalifu au kuogopa watu wachache.

Uongozi wa sasa umekuwa wa kinyonge na wa hofu, ukiacha taifa liishe kwa mauaji ya ovyo na watu kujikatia tamaa, Hili halikubaliki.

Ndugu zangu, sasa imetosha
Kulalamika nyuma ya keyboard hakusaidii tena wakati damu za ndugu zetu zinamwagika na usalama wetu umepotea.
Ni lazima wananchi tuingie tena barabarani kwa nguvu zote kudai haki zetu, Tuingie barabarani tuone kama kuna mseng yeyote atathubutu kutuua wote Haki haitolewi kwenye sahani.

Laana ya damu za akina Polepole, Dude, na wahanga wote wa October 29 haitawaacha salama wale wote waliohusika na wanaofumbia macho uovu huu.

Serikali iamke na iache utani na maisha ya watu, la sivyo nguvu ya umma itawaonyesha maana halisi ya maisha.

NAWASILISHA
 
Kabisa manake viongozi wa nchi hii wamekuwa na dharau kubwa kwa wananchi.
 
Watawala sikiliza ujumbe huu toka huko X:

Damu haifutwi kwa propaganda

Damu haifutwi kwa kuteka zaidi

Damu haifutwi kwa kuua zaid

Damu haifutwi kwa kwenda Urusi

Damu haifutwi kwa kufunga watu jela

Damu haifutwi kwa kunyamazisha watu.

Ndio maana TUNATOKA 7.7 kudai walichokuwa WANADAI ndugu zetu waliouawa!
 
Taifa limekuwa imara, lipo imara na litaendelea kuwa imara dhidi ya wenye Nia ya kuharibu nchi kama walivyotaka kufanya okt 29, 2025. Naamini serikali ipo imara na tayari kulinda raia wake na Mali zao.

Jaribuni!
 
Oooh
 
Ni mifumo waliojitengenezea walio juu, kushinda hiii vita ni almost impossible kwa sasa
 
Duh,
Serikali kupitia Tume yake ya jaji Chande ilikuwa na fursa ya kuponya majeraha na kuleta utengamano nchini, lakini wakachagua kujikita kwenye uzushi, uongo, propaganda na kupika takwimu.

Wahenga walisema usipoziba ufa utajenga ukuta
 
Back
Top Bottom